finance bill

A Finance Act is the headline fiscal (budgetary) legislation enacted by the UK Parliament, containing multiple provisions as to taxes, duties, exemptions and reliefs at least once per year, and in particular setting out the principal tax rates for each fiscal year.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President William Ruto Signs Finance Bill 2026 Into Law as 187 MPs Miss Crucial Vote

    President William Ruto ametia saini Finance Bill 2026 na kuifanya kuwa sheria rasmi, hatua inayofungua njia ya utekelezaji wa mpango wa serikali wa fedha kwa mwaka wa 2026/27. Rais alisaini mswada huo leo katika hafla iliyofanyika State House, Nairobi, baada ya kupitishwa na Bunge la Kitaifa...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 187 MPs watoroka kura ya Finance Bill 2026. Wakenya wauliza; walikuwa wapi?

    Huku Finance Bill 2026 ikipitishwa Bungeni, mjadala mkubwa umeibuka baada ya kubainika kuwa zaidi ya nusu ya wabunge hawakushiriki kura muhimu iliyogusa ushuru na matumizi ya fedha za umma. Kati ya wabunge 349 wa National Assembly, ni 162 pekee walioshiriki kupiga kura. Wabunge 122 waliunga...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MPs Approve Finance Bill 2026 as It Heads to President Ruto for Assent

    The National Assembly has passed the Finance Bill 2026 after weeks of debate, clearing the way for President William Ruto to sign it into law. A total of 122 MPs voted in support of the Bill while 40 opposed it, with no abstentions recorded. Initially, the House approved the Bill by...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania New Tax Filing Dates Explained by CS Mbadi Amid Finance Bill Debate

    Treasury Cabinet Secretary John Mbadi has defended a proposal in the Finance Bill 2026 that seeks to shorten the period within which taxpayers file annual income tax returns, saying the move is intended to improve tax administration efficiency and not to burden taxpayers. Under the current...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lawmakers Warn Against Misinformation on Finance Bill 2026

    Wabunge wameibua wasiwasi kuhusu kuenea kwa misinformation na fake information kuhusu Finance Bill 2026, wakiwataka Wakenya kupata taarifa sahihi kutoka kwa official document iliyochapishwa kwenye website ya Parliament badala ya kutegemea taarifa zinazozunguka kwenye social media. Akizungumza...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Today Is Your Last Chance to Have a Say on Kenya's Finance Bill 2026

    The clock runs out at 5 pm, and what happens next will shape how much Kenyans pay in taxes for the next financial year. Parliament is set to conclude public participation on Kenya's Finance Bill 2026 today, following the lapse of the two-week window period that saw consultations with...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Paid Spectacle: Students Used to Stage Fake Finance Bill Forum in Rongai

    At Asyana Gardens in Ongata Rongai, a supposed public participation forum on the Finance Bill was staged to appear as grassroots engagement. Behind the polished setup lay a troubling reality: students were recruited with promises of Ksh1,500 or more, transport, and meals. To further the illusion...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CS Mbadi Under Fire Over Missing PAYE Relief in 2026 Finance Bill

    Treasury Cabinet Secretary John Mbadi is facing mounting criticism after the much-anticipated reduction of PAYE tax for salaried workers failed to appear in the 2026 Finance Bill. The backlash follows earlier promises by the government that low-income earners would receive tax relief to cushion...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Finance Bill 2026: Serikali Yalenga Mitumba, Simu na Magari — Je, Mwananchi wa Kawaida Ataumia Zaidi?

    Finance Bill 2026 imeleta mjadala mkali sana miongoni mwa Wakenya, especially kwa sababu inagusa vitu za everyday life kama mitumba, simu na hata juice. Serikali inasema hii ni njia ya kuongeza revenue, lakini wananchi wengi wanaona mzigo unaongezeka. Kwa mfano, wafanyabiashara wa mitumba sasa...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbadi Rules Out New Taxes in Finance Bill 2026, Shifts Focus to KRA Efficiency

    Treasury Cabinet Secretary John Mbadi has ruled out the introduction of new taxes in the upcoming Finance Bill 2026, signaling a shift in the government’s revenue strategy. Instead of increasing the tax burden, the government plans to focus on improving efficiency within the Kenya Revenue...
  11. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Finance Bill 2024 PASSED Silently!

    https://youtu.be/X61w6HrLHms
  12. R

    JamiiForums Tanzania Where is a finacial bill 2025?

    Introduction Each year, the Finance Act is among the most consequential pieces of legislation passed by Parliament. It sets out the legal framework through which all fiscal and tax measures are implemented, affecting not only government revenue but also the wider business environment, investment...
  13. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: Wakenya wengi walioandamana hawajui yaliyomo kwenye Muswada wa Fedha

    Alipokuwa akihojiwa jana tarehe 30/6 na waandishi wa habari, Rais Ruto alisema japo amekubali kuondoa na kutokusaini Finance bill hiyo lakini anasikitika sana kwani bill hiyo ilikuwa na manufaa makubwa wa wakenya wote na ililenga kuikomboa kuingia kwenye madeni makubwa. Alisema kuwa Wakenya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Sidhani kama Wabunge huwa wanaelewa maana ya Finance Bill, wangeelewa wasingekuwa wanasema hela zinatolewa na viongozi wa serikali

    Muswada wa Fedha(Finance Bill) ikishapitishwa na Bunge na kusainiwa na Rais wa JMT inakuwa Sheria. Kwahiyo kila Matumizi yatakayofanywa yanakuwa ni Kwa mujibu wa sheria na ndivyo ilivyokuwa hadi Mzee Kikwete anamaliza muda wake. Ilipoingia awamu ya 5 ndio tukaanza kusikia Wabunge wanamshukiru...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa utaratibu wa jumuia ya Afrika Mashariki, bajeti zote hupitishwa siku moja, nini athari ya Kenya kuondoa Finance Bill?

    Hili ni suala muhimu kwa sababu lazima katika baadhi ya mambo nchi zote zifanane katika sheria za kikodi
  16. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni

    Rais Ruto amegoma kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Hili limetokea baada ya maandamano yalikuwa yakiongozwa na Gen Z kufanyika zaidi ya wiki nchini humo. Ikulu imeripoti kwamba Rais Ruto anatarajia kuurudisha Mswada huo Bungeni kabla ya Bunge kuvunjwa baadaye leo. Rais Ruto...
  17. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gen Z hii Finance bill mmechelewa, subirini mwakani

    Hii Finance bill inaenda kuwekwa saini mapema asubuhi. Wakati KDF wakiimarisha ulinzi. Jaribuni mwakani. Asanteni kwa kushiriki
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbona hatuoni hata uchambuzi wa muswada wa fedha Tanzania achilia mbali kuugomea kama Kenya. Au tunasubiri kulia tukikutana na bei mpya

    Nchini Kenya muswada wa fedha ulizua balaa huku wachumi wakiuchambua kila kipengele na kuelezea athari zake kwenye uchumi wa Taifa na mwananchi mmojammoja. Huku kwetu wametuita Dodoma tena wametupa siku mbili, hamna anayeuongelea. Mwendo wa HS code kwenye muswada, wachumi wetu wako wapi...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Serikali yasalimu amri mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo, yakubali kusitisha kamatakamata ya TRA na kuleta mfumo mpya wa kodi

    Hiyo ndio Taarifa ya sasa baada ya mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo unaoendelea ======= Waziri wa Viwanda na Biashara, Kitila Mkumbo amesema wamekutana na wafanyabiashara wa Kariakoo na kutoka sehemu nyingine Tanzania wakiongozwa na mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo, Majid Mbwana...
  20. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pamoja na Maandamano Kenya, Muswada wa Fedha wapitishwa na wabunge

    1. Huko Kwa jirani pamoja na finance bill kupingwa Kwa maandamano kila kona Wabunge wameipitisha Kwa kishindo. 2. Muswada (finance bill 2024) unapelekwa kwenye Kamati, kisha uende Kwa Mhe. Dr Rais William S. Ruto 3. Tuna ya kujifunza hapa? --- Despite widespread protest in the country, the...
Back
Top Bottom