Esokoni
Member
- Aug 1, 2018
- 81
- 116
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kuanzia leo tarehe 1/5/2023 kuanza zoezi la ufuatiliaji katika Mikoa yote wasafirishaji wa vifurushi/ vipeto kuhakikisha wanatoa risiti za EFD kwa wateja wao.
Kumbuka: Ukikutwa haujatoa risiti adhabu yake ni kulipa faini kuanzia 3,000,000 hadi 4,000,000 na ukikutwa haujadai risiti adhabu yake ni faini kuanzia 30,000 hadi 1,500,000.
Kwa wafanyabiashara unaweza kujipatia Mfumo wa VFD na mashine yake (Kutoa risiti kwa kutumia simu) kwa gharama ndogo sana ya 280,000 (unlimited ) maelezo zaidi piga/whtsp 0753688348