kuuzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    UZUSHI Pen (kalamu) zinazolipuka kama bunduki zinagawiwa na kuuzwa mashuleni

    Leo nimeona video ambao imewekewa sauti ya mtu akisema wametumiwa video hiyo kwenye group la shule ya Themihill, video hiyo inaonesha mtu akifungua kitu kinachoonekana kama pen (kalamu) ambacho ndani yake kina risasi na baadaye kufyatuliwa. Anayeelezea video hiyo anadai pen hizo zinagawiwa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Hivi kauli ya nchi kuuzwa ni porojo za kisiasa au ni kweli kihistoria kuna nchi iliwahi kuuzwa? Wanasheria embu tusaidieni

    Kwema Wakuu! Nimekua nikisikia hizi kauli kwenye majukwaa ya kisiasa. Lakini moja ya viongozi wa juu niliowahi kuwasikia wakisema kauli hiyo ni pamoja na Spika mstaafu Mzee wetu Job Ndugai. Sasa kila nikisikia au kusoma ujumbe wenye maana ya nchi kuuzwa ninajikuta ninamaswali. Miongoni mwa...
  3. BARD AI

    Sukari yaanza kuuzwa kama Bangi mtaani

    Sukari sasa imeanza kuuzwa kwa mfumo kama wa biashara haramu katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwa ni siku ya saba tangu Serikali ilipotangaza bei elekezi ya bidhaa hiyo. Waandishi wa Mwananchi wamebaini baadhi ya maduka yanauza bidhaa hiyo kati ya Sh4,000 hadi 5,000 kwa kilo kwa wateja...
  4. Terrible Teen

    Tetesi: Watanzania tukatae Uwanja wa KIA kupewa Oman

    Nina taarifa za ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka Oman ya kuchukua shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri Mbarawa kuwa shughuli za KADCO zimerejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni...
  5. 5 Nyingi

    Bunge Linaweza Kuuzwa?

    Kwamfano nikiwa na hela, nikapenda eneo ambalo bunge limejengwa naweza kununua na kufanya miradi yangu kama vile ufugaji wa kuku wa mayai, njiwa nk? Kama hairuhusiwi ni kwa mujibu wa sheria gani? Kama inaruhusiwa natakiwa kuanzia wapi? Asanteni.
  6. Magical power

    Pipi kifua kuuzwa Tsh 1000

    Jana nimeenda kununua nikakuta inauzwa 1000 nimeludi bila kugeuka jamn twambiane ni kwann zimepanda bei
  7. I

    Hii maana yake nini? Ndio tunaenda kuuzwa rasmi?

    I think this is the poorest decision She has ever made? Tunaheshimu tu Katiba lakini hafai kiwa kiongozi mkuu wa nchi. Asaini asisaini. Hili jambo ni la kupingwa kwa nguvu zote. Kimyakimya na waziwazi.
  8. Lil Sanguine

    Simu za oppo kuuzwa kwa bei chini

    Kwa miezi takribani mitatu iliopita tumeshuhudia simu za oppo zikianza kuuzwa kwa bei ndogo kuliko kawaida kwenu wataalamu wa simu mnafikiri inatokana na nini?
  9. Wadiz

    Watanzania mkijichanganya mkakomaa na katiba mkasahau kuhusu Bandari zetu kuuzwa laana itamea juu yenu

    Wasalaam nyote, Katika mikutano ya chadema hivi sasa ya +255 , swala la kuhamasisha umma kuhusu uhuni wa kuuzwa bandari zetu lipewe uzito kila sehemu, CCM hawana dhamira njema na dhati kwa nchi hii, viongozi wengi ni ni wanachama wa illuminati na freemasons. Msitarajie huruma haitatokea...
  10. saidoo25

    Wakili Mwabukusi amevunja rekodi za viongozi wote kutetea mali za umma, atalipwa wema hadi kizazi chake cha mwisho

    Wakili Boniface Mwabukusi yuko Mahabusu kwa siku kadhaa sasa kwa kosa la kupigania haki za Watanganyika kuzuia Bandari zake kuuzwa kwa Mwarabu. Mwabukusi anakuwa Mtanzania wa kwanza wa kizazi cha sasa kupinga mipango ya familia za watu wachache Serikalini kuuza mali asili za watanzania wote...
  11. Evelyn Salt

    Nini kinafanya hoho nyekundu na njano kuuzwa ghali kuliko za kijani?

    Wakulima hizi hoho nyekundu na njano zina nini special ukiachana na rangi za kuvutia, kwanini zenyewe bei iko juu kuliko za kawaida? Soko la ilala mara ya mwisho nlinunua hoho za kijani kilo moja ni elf 3....lakini hoho nyekundu na njano moja inauzwa elf moja. kwanini ni ghali, au kilimo chake...
  12. Mwande na Mndewa

    CCM yaamua kutuma meseji kwa kila Mtanzania kuwakataa wanaopinga mkataba wa kuuzwa kwa bandari zetu

    Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama...
  13. Dr Akili

    Je, upungufu na kupanda bei ya mchele, mahindi na sasa petroli unatokana na bidhaa hizi kuuzwa Kenya kwa TSH?

    Nchi jirani yetu ya Kenya imekumbwa na matatizo makubwa ya balaa la njaa tangia lock downs za COVID na ukame mfululizo. Pia tangia vita vya Ukraine imekubwa na balaa la upungufu na kupanda sana kwa bidhaa ya mafuta ya petroli na dizeli. Machafuko yanayoendelea sasa nchini Kenya yanatokana...
  14. R

    Lema: Unapokuwa na viongozi mawazo yao ni uchaguzi na sio kizazi kinachokuja figo zenu zitasainiwa kuuzwa China

    Lema ameyasema hayo katika Mkutano wa kupinga Mkataba wa Bandari unaofanyika leo tar 23/7/2023 Temeke, ambapo amesema, Waarabu wanaangalia miaka 100 - 200 mbele wajukuu zao wataishije wabunge wenu wanaangalia 2025 watapata wapi pesa ya uchaguzi. Huku akiendelea kuwa, Unapokuwa na viongozi...
  15. demigod

    Mayele Kuuzwa Bilioni 3.6 AS Vita Kuchota Milioni 800

    Sioni kama katika siku za hivi karibuni kutatokea na mchezaji nchini Tanzania atauzwa kwa kiasi cha zaidi ya Bilioni 3.6 kumzidi Fiston Kalala Mayele. Yanga SC wameingiza mpunga mrefu zaidi kwa mauzo ya Mayele kuliko thamani ya Mkataba wa msimu mmoja wa Simba na Sandaland. 3,645,000,000...
  16. The Shah of Tanganyika

    Kwa kukabidhi bandari tumemkufuru Mungu. Awezaye kuomba na aombe sasa maana ghadhabu ya Mungu ipo juu yetu

    Mwenyezi Mungu alitupa nchi takatifu. Akatupatia waasisi. Akawapa elimu na utambuzi na akaamuru tuwe taifa huru. Watu mtakaoishi humo mpate hifadhi ya makazi na ardhi nzuri ya kuzalisha kila aina ya bidhaa. Ardhini akawawekea wanyama ili mkiwatumia na kuwahifadhi mpate fedha za kuishi...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    Nyimbo za kupinga kuuzwa bandari katika mabasi

    Mwana JF hapo ulipo na familia yako mnaweza kuitikia huo wimbo. Hata kama ni bar mnakula bata ambia DJ apige song
  18. Father of All

    Wanaoukubali mkataba wa makubaliano na wanaoupinga nani wana haki?

    Ni aibu kuwa tangu tupate uhuru zaidi ya miaka 60, hatuna uwezo hata wa kuendesha bandari zetu kwa ufanisi. Najua inauma. Hivi karibuni kumekuwa na mgawanyiko mkali baina ya watawala walioamua kubinafsisha/kuuza bandari zetu kama ni kweli na wale wanaopinga wakiwatuhumu ufisadi na kutojali mali...
Back
Top Bottom