Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 573
- 2,553
Baada ya mashauriano ya viongozi waku waliopo safarini nje ya nchi Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Makamu Mwenvekiti Bara Mheshimiwa Tundu Lissu a Katibu Mkuu Mheshimiwa John Mnyika kwamba, kwa sababu ya unyeti na uharaka wa suala hili la makubaliano kati ya Tanzania na Dubai, Mwenyekiti atatoa tamko fupi la awali kuhusu msimamo wetu kama Chama.
Tamko hilo litatolewa leo Jumatano tarehe 7 Mei, 2023 kwa njia ya zoom majira ya saa 9 mchana kwa saa za Tanzania, na kurushwa mbashara kwenye mitandao ya kijamii ya Chama.
Baada ya tamko hilo la awali, na baada va kukamilisha chambuzi wa kina wa makubaliano yenyewe, kitaitishwa kikao cha dharura cha Kamati Kuu ili kuweka msimamo wa mwisho wa Chama kwa tarehe itakayotangazwa.