Aibu: Vyombo vya Habari nchini kwa makusudi vyapotosha alichokisema Dkt. Slaa kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,505
51,106
Katika mkutano wake na vyombo vya habari uliofanyika leo, Dkt. Slaa ameongea kiuzalendo na kuonyesha ubaya wa miataba tuliokuwa nao, lakini cha ajabu vyombo vya habari nchini kinyume na maadili ya umma vimepotosha kwa makusudi kauli na mantiki na dhima ya alichokizungumza.

Ili kuwachanganya wananchi, vyombo hivyo vimetia kichwa cha habari tata ili kuwachanganya wananchi. Huu ni ushahidi wa wazi kuwa Media yetu ina shida, ina tatizo, na tatizo siyo dogo.

Kama media inaweza kutengeneza habari, kwa makusudi ya kuhadaa umma, kuupa umma taarifa feki kwa kufanya ommission makusudi, basi kiufupi, ndugu zangu muone tuna jamii ya namna gani.

Pengine waliokuwa wanasema kuwa kuna baadhi ya wamiliki na waandishi wa habari wapo katika Payroll ya kupigia debe uuzwaji wa nchi ni kweli. Otherwise niambieni ni chombo gani cha habari chenye heshima kinachoweza kutoa taarifa ya kupika namna hii.

Kwa kweli media ya Tanzania inatia aibu, tena ibu kubwa. Upotoshaji huu unathibitisha kuwa hili dili la kuuza bandari yetu ni dili chafu, otherwise kwa nini nguvu kubwa inatumika kuhadaa umma?

Tumemsikiliza Dr. Slaa alichosema. Kaita azimio la bunge ni la kihuni, na kaita mkataba ule kuwa ni uuzwaji wa nchi. Sasa hivi vyombo vya habari inakuwaje vinatumia vichwa tata ili kupotosha kauli ya Dr. Slaa?

Cheki vichwa vya habari vya hivi vyombo, bila shaka vimekubaliana kupotosha kwa makusudi.


IMG-20230614-WA0008.jpg
 

Miongoni mwa majanga tuliyonayo kwenye nchi yetu kwa sasa ni pamoja na vyombo vya habari.

Ni ngumu sana kuamini kwamba hivyo vyombo vya habari hapo juu vina wahariri tofauti.

Ukiniambia kitu tofauti na kwamba hiyo habari wametumiwa na kuambiwa watangaze kama ilivyo nitashangaa sana.

Kuliko kufanya utoto kama huo waliofanya hao wahuni waliojificha kwenye vyombo vya habari ni bora usitangaze kabisa hiyo habari kama walivyofanya ITV.
 
Who is Dr. Slaa currently, ameongea na vyombo vya habari kama nani?
Katika mkutano wake na vyombo vya habari uliofanyika leo, Dr Slaa ameongea kiuzalendo na kuonyesha ubaya wa miataba tuliokuwa nao. Lakini cha ajabu vyombo vya habari nchini kinyume na maadili ya ukma vimepotosha kwa makusudi kauli na mantiki na dhima ya alichokizungumza.

Ili kuwachanganya wananchi, vyombo hivyo vimetia kichwa cha habari tata ili kuwachanganya wananchi.

Huu ni ushahidi wa wazi kuwa Media yetu ina shida, ina tatizo, na tatizo siyo dogo.

Kama media inaweza kutengeneza habari, kwa makusudi ya kuhadaa umma, kuupa umma taarifa feki kwa kufanya ommission makusudi.Basi kiufupi, ndugu zangu muone tuna jamii ya namna gani.

Pengine waliokuwa wanasema kuwa kuna baadhi ya Wamiliki na waandishi wa habari wapo katika Payroll ya kupigia debe uuzwaji wa nchi ni kweli. Otherwise niambieni ni chombo gani cha habari chenye heshima kinachoweza kutoa taarifa ya kupika namna hii.

Kwa kweli media ya Tanzania inatia aibu, tena ibu kubwa.

Upotoshaji huu unathibitisha kuwa hili dili la kuuza bandari yetu ni dili chafu, otherwise kwa nini nguvu kubwa inatumika kuhadaa umma?

Tumemsikiliza Dr Slaa alichosema. Kaita azimio la bunge ni la kihuni, na kaita mkataba ule kuwa ni uuzwaji wa nchi. Sasa hivi vyombo vya habari inakuwaje vinatumia vichwa tata ili kupotosha kauli ya Dr Slaa?

Cheki vichwa vya habari vya hivi vyombo, bila shaka vimekubaliana kupotosha kwa makusudi.


View attachment 2656443
 
Back
Top Bottom