TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa, yadondosha makontena baharini

Warofo

Member
Mar 15, 2011
77
62
TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa

* Yadondosha makontena matatu baharini

* Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa

KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha makontena matatu baharini na kusababisha meli kushindwa kushusha mafuta kwa siku kadhaa.

Tukio hilo lililotokea wiki iliyopita ni miongoni mwa mlolongo wa tuhuma za uzembe na ukosefu wa ufanisi wa TICTS ambayo imekuwa ikisimamia eneo la makontena la bandari ya Dar es Salaam kwa zaidi ya miaka 20 bila tija.

"Kutokana na uzembe huo mkubwa wa TICTS wa kudondosha makontena hayo baharini, meli zilishindwa kuingia eneo la kupakulia mafuta yanayoingia nchini (KOJ) Kurasini jiji Dar es Salaam kwa siku tatu nzima," alisema mdau mmoja wa bandarini.

"Hasara kwa taifa kwa meli za nje kushindwa kushusha mafuta nchini kwa siku tatu ni kubwa mno. Huu uzembe wa TICTS hauwezi kuvumilika."

Njia ya meli kuingia Kurasini kupakua mafuta ilifunguliwa juzi baada ya makontena hayo matatu kuopolewa bandarini.

Serikali ya Tanzania kwa sasa iko kwenye majadiliano na TICTS kuhusu kuongeza au kutoongeza mkataba wake, huku kampuni hiyo ikilaumiwa na wadau wa biashara na usafirishaji kwa kukosa ufanisi.

Serikali hivi karibuni iliongeza mkataba wa TICTS kwa miezi mitatu tu ili kuruhusu majadiliano hayo kukamilika.

Wadau wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam kwa kushindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo kwa asilimia 37 kwa mwaka na kushindwa kuwekeza kwenye miundombinu ya bandari.

Chama cha siasa cha ACT-Wazalendo nacho kilijitosa kwenye sakata hilo la TICTS na kuitaka serikali kutoongeza mkataba wake ili kunusuru uchumi wa taifa.

Kusuasua kwa TICTS kumeongeza gharama ya kuingiza mizigo nchini na kulikosea taifa mapato ya trilioni ya Shilingi kutokana na wafanyabiashara wa nchi jirani kuamua kuikwepa bandari ya Dar es Salaam na kukimbilia bandari za Kenya, Afrika Kusini na Namibia zenye ufanisi zaidi.

TICTS walipewa nyongeza ya mkataba wa miaka mitano mwaka 2017 baada ya kushindwa kuleta ufanisi tangu wapewe kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam zaidi ya miaka 20 iliyopita.

Kuna juhudi zinaendelea ili TICTS waongezewe mkataba mwingine wa miaka mitano licha ya kushindwa kuleta ufanisi kwa zaidi ya miaka 20.

Takwimu za serikali zinaonesha kuwa TICTS walihudumia makontena ya futi 20 (TEUs) 606,169 mwaka 2021 ikiwa ni ongezeko la asilimia 0.8 tu kulinganisha na mwaka 2020.

TICTS wameshindwa kufikia lengo la kimkataba la kuongeza mzigo wa kontena kwa asilimia 37 kwa mwaka.

IMG-20221017-WA0007.jpg

IMG-20221017-WA0008.jpg
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
17,861
19,414
KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha makontena matatu baharini na kusababisha meli kushindwa kushusha mafuta kwa siku kadhaa.

TPA yazindua wiki ya huduma kwa wateja “Customer Service Week”​

CSW_2022_3.jpg
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Juma Kijavara akiongea kuhusu wiki ya huduma.

Na Beatrice Jairo
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imezindua rasmi wiki ya huduma kwa mteja na kuvutia wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi huo.

Wiki hiyo ambayo ilizinduliwa rasmi na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Juma Kijavara ilipambwa na rangi mbalimbali za Mamlaka ikiwa ni pamoja na kutoa zawadi mbalimbali kwa wateja.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mhandisi Kijavara amesema maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja “Customer Service Week” yataongeza chachu ya kuhudumia wateja na kuongeza ufanisi.

Amesema kwamba, TPA inathamini mchango mkubwa wa wateja wake katika kusaidia kufikia malengo ya ukusanyaji wa mapato ambayo yameongezeka kwa kiasi kikubwa katika kipindi kifupi.
CSW_2022_6.jpg

Kwa mujibu wa Naibu Mkurugenzi Mkuu, TPA imevuka malengo ya ukusanyaji wa mapato iliyojipangia.
Kwa upande wa wadau walioshuhudia uzinduzi huo, wameelezea kuridhishwa kwao na juhudi za uongozi wa Mamlaka hiyo kutafuta masoko na kuwafuata wateja walipo badala ya kuwasubiri ofisini.
Wamesema kwamba huo ndio mfumo mzuri na wa kisasa wa kutafuta masoko na kuboresha uhusiano ulipo na wateja.
Mwisho

Kilele cha Wiki ya Huduma kwa Mteja kwa njia ya Picha​

TPA_WK_02.jpg

Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bw. Miraji Kipande akifunga rasmi kilele cha maadhimisho
ya Wiki ya Huduma kwa Mteja.
TPA_WK_01.jpg

Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa TPA, Dkt. George Fasha akitoa neno wakati wa kilele cha Wiki
ya Huduma kwa Mteja
TPA_WK_5.jpg

TPA_WK_4.jpg

TPA_WK_6.jpg

TPA_WK_7.jpg

TPA_WK_8.jpg

Source : Kilele cha Wiki ya Huduma kwa Mteja kwa njia ya Picha
 
Right3

Senior Member
Aug 16, 2015
165
198

TICTS wameshindwa kufikia lengo la kimkataba la kuongeza mzigo wa kontena kwa asilimia 37 kwa mwaka.Pamoja na maelezo ya kutujuza kilichotokea lakini inaonekana wewe ni mmoja wa wasioitakia mema hiyo kampuni.
Changomoto kwenye utendaji ni jambo la kawaida isipokua pale mtoa huduma anapofail kufikia viwango vya kazi aliyopewa.
Yawezekana kweli hafikii viwango lakini haya mambo si wanaweza kuongea na ikibidi kupeana masharti au ikibidi kuositisha mkataba.
Namna unavyoweka maelezo yako inaonyesha una interest kuwa hawa watu sasa watoke ili wengine waje ambao pengine ndio wanakulipa ili kuwachafua hawa.
Waswahili tuache fitna saa nyingine km hawafikii standards zilizowekwa aondolewe ila shida huwa zipo tu hata SUEZ CANAL ilisimamisha huduma siku sita baada ya meli kuseleleka vibaya hii ni March, 2021.
Pia mkataba si lazima una provisions ikitokea kitu km hicho TICTS inawajibikaje?
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
15,063
36,449

TPA yazindua wiki ya huduma kwa wateja “Customer Service Week”​

CSW_2022_3.jpg
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Juma Kijavara akiongea kuhusu wiki ya huduma.

Na Beatrice Jairo
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imezindua rasmi wiki ya huduma kwa mteja na kuvutia wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi huo.

Wiki hiyo ambayo ilizinduliwa rasmi na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Juma Kijavara ilipambwa na rangi mbalimbali za Mamlaka ikiwa ni pamoja na kutoa zawadi mbalimbali kwa wateja.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mhandisi Kijavara amesema maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja “Customer Service Week” yataongeza chachu ya kuhudumia wateja na kuongeza ufanisi.

Amesema kwamba, TPA inathamini mchango mkubwa wa wateja wake katika kusaidia kufikia malengo ya ukusanyaji wa mapato ambayo yameongezeka kwa kiasi kikubwa katika kipindi kifupi.
CSW_2022_6.jpg

Kwa mujibu wa Naibu Mkurugenzi Mkuu, TPA imevuka malengo ya ukusanyaji wa mapato iliyojipangia.
Kwa upande wa wadau walioshuhudia uzinduzi huo, wameelezea kuridhishwa kwao na juhudi za uongozi wa Mamlaka hiyo kutafuta masoko na kuwafuata wateja walipo badala ya kuwasubiri ofisini.
Wamesema kwamba huo ndio mfumo mzuri na wa kisasa wa kutafuta masoko na kuboresha uhusiano ulipo na wateja.
Mwisho

Kilele cha Wiki ya Huduma kwa Mteja kwa njia ya Picha​

TPA_WK_02.jpg

Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bw. Miraji Kipande akifunga rasmi kilele cha maadhimisho
ya Wiki ya Huduma kwa Mteja.
TPA_WK_01.jpg

Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa TPA, Dkt. George Fasha akitoa neno wakati wa kilele cha Wiki
ya Huduma kwa Mteja
TPA_WK_5.jpg

TPA_WK_4.jpg

TPA_WK_6.jpg

TPA_WK_7.jpg

TPA_WK_8.jpg

Source : Kilele cha Wiki ya Huduma kwa Mteja kwa njia ya Picha
Huyu Miraji Kipande Ni mtoto wa Madeni Kipande aliyekua Mkurugenzi mkuu wa hapo Bandarini?
 
inamankusweke

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
12,317
10,622
Dadeeeeki...Tuangushe containers, meli za mafuta zishindwe kushusha, mafuta yaadimike...Bei zipande mpaka yatakapotolewa tutakuwa tushapiga hela.
Una akili finyu,mafuta hayapandi Bei hivyo...walau ungesema Kuna mtu anaihujumu ticts kipindi hiki inabembeleza mkataba mpya...hizo akili za umeme ukikatika 'wanataka kuuza majenereta' achana Nazo,haziakisi weledi
 
Shujaa Nduna

JF-Expert Member
Sep 8, 2022
558
446
TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa

* Yadondosha makontena matatu baharini

* Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa

KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha makontena matatu baharini na kusababisha meli kushindwa kushusha mafuta kwa siku kadhaa.

Tukio hilo lililotokea wiki iliyopita ni miongoni mwa mlolongo wa tuhuma za uzembe na ukosefu wa ufanisi wa TICTS ambayo imekuwa ikisimamia eneo la makontena la bandari ya Dar es Salaam kwa zaidi ya miaka 20 bila tija.

"Kutokana na uzembe huo mkubwa wa TICTS wa kudondosha makontena hayo baharini, meli zilishindwa kuingia eneo la kupakulia mafuta yanayoingia nchini (KOJ) Kurasini jiji Dar es Salaam kwa siku tatu nzima," alisema mdau mmoja wa bandarini.

"Hasara kwa taifa kwa meli za nje kushindwa kushusha mafuta nchini kwa siku tatu ni kubwa mno. Huu uzembe wa TICTS hauwezi kuvumilika."

Njia ya meli kuingia Kurasini kupakua mafuta ilifunguliwa juzi baada ya makontena hayo matatu kuopolewa bandarini.

Serikali ya Tanzania kwa sasa iko kwenye majadiliano na TICTS kuhusu kuongeza au kutoongeza mkataba wake, huku kampuni hiyo ikilaumiwa na wadau wa biashara na usafirishaji kwa kukosa ufanisi.

Serikali hivi karibuni iliongeza mkataba wa TICTS kwa miezi mitatu tu ili kuruhusu majadiliano hayo kukamilika.

Wadau wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam kwa kushindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo kwa asilimia 37 kwa mwaka na kushindwa kuwekeza kwenye miundombinu ya bandari.

Chama cha siasa cha ACT-Wazalendo nacho kilijitosa kwenye sakata hilo la TICTS na kuitaka serikali kutoongeza mkataba wake ili kunusuru uchumi wa taifa.

Kusuasua kwa TICTS kumeongeza gharama ya kuingiza mizigo nchini na kulikosea taifa mapato ya trilioni ya Shilingi kutokana na wafanyabiashara wa nchi jirani kuamua kuikwepa bandari ya Dar es Salaam na kukimbilia bandari za Kenya, Afrika Kusini na Namibia zenye ufanisi zaidi.

TICTS walipewa nyongeza ya mkataba wa miaka mitano mwaka 2017 baada ya kushindwa kuleta ufanisi tangu wapewe kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam zaidi ya miaka 20 iliyopita.

Kuna juhudi zinaendelea ili TICTS waongezewe mkataba mwingine wa miaka mitano licha ya kushindwa kuleta ufanisi kwa zaidi ya miaka 20.

Takwimu za serikali zinaonesha kuwa TICTS walihudumia makontena ya futi 20 (TEUs) 606,169 mwaka 2021 ikiwa ni ongezeko la asilimia 0.8 tu kulinganisha na mwaka 2020.

TICTS wameshindwa kufikia lengo la kimkataba la kuongeza mzigo wa kontena kwa asilimia 37 kwa mwaka.

Hayo makontena yanazuiaje meli nyingine kuendelea na shughuli?Halafu na ile crane waliitowa?
 
Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
14,282
12,593

20220411_230431.jpg
 
Kimbukiko

JF-Expert Member
Apr 1, 2022
1,307
2,291

Eti chama cha Act wazalendo, hicho chama au genge la wachumia tumbo
Mxieew ,
Mtajijua na liccm lenu
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Top Bottom