bujibuji masamaki

 1. jingalao

  Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

  Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini. Je wapo wanaopima kina cha maji? ======== Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna maroli (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi...
 2. MziziMkavu

  IPE NENO KATUNI YANGU YA LEO.....

 3. MziziMkavu

  TB Joshua: Afungiwa akaunti ya Youtube kwa 'kuwaponya watu wa mapenzi ya jinsia moja'

  Akaunti yake ya YouTube ilikuwa na wafuasi milioni 1.8. YouTube imesimamisha akaunti ya mhubiri maarufu wa Televisheni wa Nigeria TB Joshua juu ya madai ya matamshi ya chuki. Shirika moja la kutetea haki liliwasilisha lalamikoa baada ya kukagua video zisizopungua saba zikimuonesha mhubiri huyo...
 4. alumn

  Umoja wa Mataifa (UN): Kumbukumbu ya Hayati Dkt. John Magufuli

  Salama Wana Mapinduzi wa JF? Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi. Link hii hapa chini karibu tufatilie...
 5. MziziMkavu

  Jinsi Mashirika ya Ujasusi ya Uingereza na Marekani yalivyozingatia mauaji kama suluhisho

  Je mauaji yanayodhaminiwa na serikali yanaweza kutumika kama mkakati? Na mauaji kama hayo yanaweza kukubalika kweli? Serikali hazikubali hilo, lakini wanasayansi wa nyuklia wa Iran wanajua inafanyika - na sio rahisi kutofautisha mauaji kama hayo na mpango wa serikali ya Marekani kuwauawa...
 6. MziziMkavu

  Wabeba maboksi wa Ulaya wakijishaua wakati kwao Afrika wamesahau hata kujenga banda la makuti. Loohh! majangaaa hayo

 7. MziziMkavu

  Video: Padri Pascal Luhengo wa jimbo la Mahenge Morogoro amuomba msaada Rais Samia Suluhu baada ya kukimbia nchi na kwenda mafichoni

  WEZI WATEKA AKAUNTI YA PADRI, WAIBA MAMILIONI Na EVANS MAGEGE – Dar es Salaam GENGE la kimataifa la wezi wa fedha kwa njia ya mtandao limevamia akaunti ya barua pepe ya Padri Paschal Luhengo wa Kanisa Katoliki nchini na kufanikiwa kuiba mamilioni ya fedha yaliyotumwa na marafiki zake...
 8. MziziMkavu

  Mtanzania agongwa na gari na kufariki papo hapo mjini Antalya nchini Uturuki

  Kofia ya Pikipiki ya Marehemu iliyomtoka kichwani wakati wa ajali. Breaking News:: Mtanzania Mwenye Asili ya kutoka Kisiwani Pemba nchini Tanzania akiendesha Pikipiki mjini Antalya nchini Uturuki amepatwa na ajali ya kugongwa na Gari na kufariki papo hapo juzi saa 10 na nusu jioni. Marehemu...
 9. Mshana Jr

  Vituko mitandaoni. Tupia chako

  Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Bujibuji

  Kutana live na Bujibuji Kawe

  Hii si ya kukosa, hebu tukutane leo aise. Kuna Reggae za kutosha, sweet, dancehall, roots. SAMAKI ni kama woooooote, hebu fanya tuipendezeshe weekend yetu kwa samaki choma na divai na mvinyo. Karibuni sana
Top Bottom