bandari ya mombasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar Yapanda kwa Nafasi 105 Kwa Ufanisi huku Bandari Duniani huku Bandari ya Mombasa Ikiporomoka.Kongole Nyingi Kwa DP World

    My Take Wale wa Bandari imeuzwa wanaitwa huku waone aibu 😆 😂 👇 👇 https://www.instagram.com/p/DaLFTfECNDK/?igsh=MXR1anR4a3ZpbHF0Zw== Mabadiliko ya ushindani wa bandari katika Afrika Mashariki yameendelea kuonekana baada ya Bandari ya Dar es Salaam kupanda kwa nafasi 105 katika Ripoti ya Ufanisi...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kenya Yaishinikiza Tanzania Kupitia EAC Kufungua Ushoroba Mpya wa Barabara ya Mombasa-Holili-Singida Kwa faida ya Bandari ya Mombasa

    Nchi ya Kenya Kupitia Mgongo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC inafanya juhudi kubwa ya kuishinikiza na kuihujumu Tanzania Kwa kuwarubuninkina Rwanda,Burundi na DRC Ili kufungua njia Mpya ya usafiri wa barabara. Ushoroba unaopigiwa chapuo na Kenya ni WA Central Corridor ambao unaanzia...
  3. juma kipala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Propaganda za bandari ya Mombasa zafika mwisho

    Bandari ya Mombasa imekumbwa na chnamogo kubwa ya msongamano wa meli kiasi cha watumiaji bandari hiyo kuwaandikia wateja wao na kuwapa tahadhari juu ya kuchelewa kupakuliwa kwa mizigo yao kwa zaidi ya siku kumi Barua ya Januari 18, 2024 kwenda kwa watumiaji wa bandari hiyo inaeleza kuwepo kwa...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bandari ya Mombasa haijawahi kupokea mizigo kama wakati huu, meli zinachepuka kutoka Dar

    Hivi kuna nini bandari ya Dar, je mwarabu aliyepewa kashindwa? Maana meli nyingi zimetamaushwa kwa kusubirishwa Dar hadi zimegeuza na kushushia mizigo Mombasa.... Nakumbuka mwarabu alipewa bandari zote baada ya Wabongo kushindwa, itabidi hatimaye zipewe mzungu maana hata mwarabu ni wale wale...
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Bandari ya Mombasa Haitabinafsishwa

    Kauli hiyo ya Rais wa Kenya inafuatia uwepo wa taarifa kuwa Serikali ina mpango wa Kubinafsisha Shughuli zote za Uendeshaji wa Bandari ya Mombasa, taarifa ambazo Ruto amezikanusha na kueleza Serikali yake inapanga kupanua Bandari kwa nia ya kuongeza utendaji kazi na kutoa ajira kwa vijana. Ruto...
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka bandari ya Mombasa kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki

    Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky. Haya yametokea wakati Ruto akiwa kwenye ziara nchini Marekani, ambapo alimpongeza Rais Zelensky kwa kuendelea kupambana na...
  7. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa Ufanisi, Kulingana na Benki ya Dunia

    Benki ya Dunia imetoa ripoti inayoonesha Bandari ya Dar ndio inaongoza Kwa Ufanisi katika kuhudumia wateja ikiwemo kuondoa makasha Kwa haraka na kutokuwepo Kwa urasimu.. Taarifa ya WB inasema Bandarinya Dar sanjali na Djibouti zimeiacha Mbali Bandari ya Mombasa.. Hongera sana mkurugenzi Mpya...
Back
Top Bottom