yaipiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya bongo fleva, Dodoma yaipiku Dar es salaam mbali sanaaaaa, ili bidi ukuta uvunjwe, ili watu wapate nafasi

    Sio poa Dodoma wameweka historia ya kipekee unaambiwa chinangali ili pelea kutokana na mauzo ya TIKETI kuwa makubwa kilicho fuata ikabidi ukuta uvunjwe pia kuunganisha Hadi parking, ili watu wapate nafasi. Ikumbukwe Diamond katoka kufanya show juzi kwenye tour yake lakini haikua nyomi ka Hil...
  2. X

    JamiiForums Tanzania BYD Yangwang U9 Extreme yaipiku Bugatti Ciron, kwa sasa ndio gari lenye kasi zaidi duniani "fastest car on the planet" 496km/hr!

    Hizi chuma za mwendo wa ngiri huwa zinafanyiwa majaribio katika viwanja maarufu viitwavyo Automative Papenburg (ATP) nchini Ujerumani. Hapo ndipo mjadala wa chuma ipi yenye kasi zaidi duniani humalizwa. Vyuma hupigishwa lap ya maana kupima km/hr au mph na acceleration ya engine in time. Katika...
  3. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Rais Samia yaipiku Kenya Kiuchumi kama kinara wa Afrika Mashariki

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa kuelekea kuwa nguvu ya kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki, mwelekeo uliothibitishwa na uongozi wa mabadiliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha uwezekano mkubwa wa Tanzania kuipita Kenya kama taifa...
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tanzania yaipiku Kenya katika FIFA - Football ranking - CAF Zone, Rasmi Tanzania na Uganda ndiyo Giants wa soka East Africa

    Je, huu ni Mwanzo wa Tanzania kuwa power house of East africa, Kimichezo na Kiuchumi kama ilivyokuwa mwanzoni mwa miaka ya 80's?
  5. Said Stuard Shily

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

    Ama kwà hakika Mpirà ni mchezo wa wazi,hauna longolongo kwà watu wanaoamini Mpirà ni sayansi. Ni wiki sasa tangu ule upande wa MAJINI FC ushinde goli zao nne na kupelekea benchi zima la ufundi likiongozwa na msemaji wao Ally Komwe kuzimia na kulazwa Hospitali ya Mwananyamala 8kutokana na...
  6. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania India yaipiku China kwa idadi ya watu

    Nchi ya India imeipiku nchi ya China kwa population. Population: 1. India [emoji1128] 1,426,409,584 2. China [emoji630] 1,425,731,257 3. USA [emoji631] 339,688,556 4. Indonesia [emoji1129] 277,148,717 5. Pakistan [emoji1191] 239,693,115 6. Nigeria [emoji1184] 222,914,017 7. Brazil...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mataifa yanayoagiza bidhaa China yatumia zaidi Yuan na kuipiku dola ya Mmarekani

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya mauzo ya nje ya bidhaa za China (China's crossborder transactions) mauzo kwa kutumia Yuan yameipita US dollar. Mwaka 2010 mauzo ya nje ya bidhaa kutoka China kwa kutumia Yuan yalikuwa ni 0% na point kadhaa tu wakati mauzo kwa kutumia US dollar yalikuwa ni...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Norway yaipiku Urusi kwenye usambazaji wa gesi

    Pia yaongeza uzalishaji, yaani Urusi anatumbukia kwenye shimo la kujitakia, gesi yake atabaki nayo. Norway now supplies Europe with more natural gas than Russia does after Moscow cut flows, per Reuters. Its gas production is set to rise 8% this year, on track for a record, as Europe shuns...
  9. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kilo ya dagaa yaipiku ya nyama kwa sasa bongo

    Kweli hii vita hatari sana Jana nimeenda kununua dagaa Bukoba kilo moja ni Tsh 11,000 na nikaenda buchani kununua nyama ni 8000 nikastajaabu jinsi dagaa zilivyokuwa ni chakula cha mtu wa chini kwa kipato now azishikiki yaaani sasa nyama ni chakula cha mtu wa chini dagaa matawi ya juu mambo...
  10. Memento

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
  11. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

    Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuzivutia kampuni kubwa za usafirishaji duniani, baada ya meli kubwa ya kisasa ikiwa na shehena kubwa zaidi ya magari kuwahi kutia nanga bandarini hapo. Meli hiyo ya TRANQUAIL ACE (IMO: 9561253) inayomilikiwa na Kampuni ya Mitsui ikitokea moja kwa moja nchini...
Back
Top Bottom