Search results

  1. Ngungenge

    Kardinali Pengo, unampigania Sana Makonda lakini kama huwezi kumsaidia akaacha tabia yake ya ufitini, uongo na kiburi basi kikombe hicho kiwe juu yako

    Ni kweli unampenda Sana Makonda, na hii huwa inatokea mtu fulani kumpenda mtu fulani automatic, inatokana na ku share spiritual rim, njozi na maono ya pamoja. Ni kweli Makonda kwako ni kijana mtiifu na mnyenyekevu amekuwa hivyo tangu akiwa Mkuu wa Mkoa, alipotoka, alipokuwa mwenezi na sasa Mkuu...
  2. Ngungenge

    Mlisema January Makamba anahujumu TANESCO ameondoka basi muacheni yeye ni binadamu kama nyie

    Wakati January na Maharage wakipambana kuleta suluhisho la kudumu TANESCO maneno yalikua mengi, tunajua waliokosa tenda na waliokuwa wanufaika wa TANESCO walilipa machawa kuendesha vita na January kupitia mitandao ya kijamii ilikua kila siku hukosi makala tano za kumsema makamba. Rais Samia...
  3. Ngungenge

    Kutoka sauti ya mtu aliye nyikani 2025 ni zamu ya yeye WanaCCM wenye nia ya Urais mjue kuwa 2025 ni yeye katika sanduku la kura

    Sauti ya Mtu aliae nyikani imenijia na kunijulisha kuwa 2025 ni samu ya YEYE Sauti hii inataka kufanana na voice from within ya Pascal Mayalla alisema mapema kuwa 2025 ni zamu ya YEYE, mtu aliaye nyikani kanijulisha kuwa huyo YEYE ni Dkt. Samia Suluhu Hassan Ni yeye kwa sababu hakuna kama...
  4. Ngungenge

    Je, safari hii CCM hamjakubaliana?

    Uhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere Kipindi cha Kiba Ben Akiba JK, Salim walikuwa na nguvu ila walikubaloana Ben aongoze. Ben alimpenda sana...
  5. Ngungenge

    Wajue Askari wa Mwamavuli wa Rais Samia

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha Watanzania ni dhahiri anajivunia uwepo wa viongozi hawa katika utawala wake ambai ni: 1. Dkt. Tulia Ackson, Spika wa Bunge JMT na Rais wa IPU. 2. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama. 3. Na Paul Makonda- Chuma Mwenezi wa Chama na Mzee wa kujitoa...
  6. Ngungenge

    Hii nchi naiogopa sana

    Naona vipepeo mnakubali kuingia katika njama ya kidini, protoko za kidini na maazimio ya kusema hadi kieleweke. Idara zikiongozwa kidini yetu macho Nawahakikishia mkiruhusu hili swala liende kidini kama mlivyoanza hamtafika popote na mtalaumiwa. Sasa shindaneni atakayeshindwa atalia tuu sisi...
  7. Ngungenge

    Ushauri kwa Rais Samia Suluhu Hassani kuhusu na TEC na wapingaji wa sakata la Bandari

    1. Ifanyike contract review: ongeza muda zaidi wa majadiliano au fungua majadiliano mapya na DPW na hili jambo liweke public isiwe siri mwisho wa siku wewe ndio hero au looser. Yaani iwe MAMA AMEAGIZA NK.. 2. Chukua ushauri mpya wa uendeshaji wa bandari tambua kuwa viongozi wote wa dini za...
  8. Ngungenge

    Rais Samia mrudishe Balozi Polepole kutumika ndani ya nchi bado anahitajika

    Nakushukuru sana Rais kwa kuwa unasoma na kufuatulia mambo yote yanayoendelea nchini na Mimi Ngungenge nimebahatika kuandika maoni machache ambayo ama wewe binafsi au wasaidizi wako walisoma na kuchukua ushauri huo mathalani katika kujenga nchi na chama chetu cha CCM. Niliandika kukuomba; 1...
  9. Ngungenge

    Prof. Mbarawa uzembe mliofanya wizara ya uchukuzi unamchonganisha Rais Samia na Wananchi

    Taifa zima tunabishana mambo madogo ambayo yanatokana na kukosa umakini. Ni upuuzi na ujinga. Gwajima alisema watu wa serikalini hawana exposure mtu kama Prof. Mbarawa pamoja na kusoma kuwa Professor anashindwa ku calculate public damage yaani akili za kijinga sana kukosa exposure na maarifa...
  10. Ngungenge

    TICTS mlipewa miaka 22 lakini mmechemsha sasa kaeni kimya tunaenda na DP World

    TICTS mmebembelezwa sana juu ya kuongeza ufanisi wa kazi zenu. Mliongezwa mkataba wa miaka mitano ili mboreshe lakini mmeshindwa. Mlipewa proposal muongeze winch za kupakia na kupakua mzigo badala yake mkaendelea kufanya kazi kienyeji. Yaani mnapata pesa nyingi lakini hamtaki kuwekeza...
  11. Ngungenge

    Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana

    Watanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko Ilipokuja mwendokasi walipinga Tukaja na bwana la Nyerere walipinga Tukaja na SGR walipinga Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana nchi hii inahitaji kupata maendeleo Prof Mbarawa na Feleshi mkubali mmekosea...
  12. Ngungenge

    Kanisa Katoliki, Muungeni Mkono Rais Samia kwa kuwa Uraisi amepewa na Mungu

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nitoe Rai kwa Kanisa Katoliki ambalo ni kanisa Mama na lenye mchango wa kipekee kwa hili Taifa tangu uhuru mpaka sasa. Sisi waumini na wananchi kwa ujumla tunaona ufinyu wa nafasi yenu katika kuunga mkono serikali ya Rais Samia tofauti na serikali iliyopita...
  13. Ngungenge

    Rais Samia angalia wajanja wasikuingize mjini

    Rais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari. Dp World...
  14. Ngungenge

    Ushauri kwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe

    Kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya wizara ya kilimo. Mimi ni kati ya wachache niliyewahi kutoa maoni kuwa Upewe Wizara ya kilimo na Alhamdulilah Mh. Rais akakuona na ukapewa uwaziri kamili. Kwakuwa nakujua wewe u mtu mchapakazi sana na unaejitoa usiku na mchana bila kuchoka, napenda...
  15. Ngungenge

    Rais Samia ni kazi kwako kuwaacha au kuwaondoa ‘for the sake of the nation and the party’

    Kipekee nakushukuru kwa kuchukua hatua za dhati za kunusuru soko la kariakoo kwa kumtuma Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa. Kwa kweli amefanya kazi kubwa ya kunusuru uchumi wetu. Pamoja na yote yaliyojadiliwa kuna kiu cha uwajibikaji. Imedhihirika baadhi ya watendaji wako wana uwezo mdogo na...
  16. Ngungenge

    Jaji Warioba nakutuma kwa kadinali na askofu waulize juu ya mpendwa wetu Membe

    Kutokana na kifo cha ndugu yetu Benard Membe maswali ni Mengi hatakama utawala wa mama umeamua kukalia kimya Nakutuma kwa Kadinali aliyetuma ujumbe kumsihi Membe amsamehe Musiba baada ya hukumu ya mahakama kutoka Pia nakutuma kwa askofu aliyetuma ujumbe kwa Membe siku chache kabla ya kifo...
  17. Ngungenge

    Kanda ya ziwa, msichukulie kifo cha Magufuli kama jambo la ukanda

    Ni dhahiri JPM alikua Shuja wa kanda ya ziwa. Ni dhahiri katika utawala wake kanda ya ziwa mlifaidi, wapo ambao mlipitisha mafuta bila kulipa kodi, mkanunua magari na kupiga ela. Mpo mliotumia ukabila kupata tenda nono za ujenzi, MSD na nguzo za umeme nchi nzima Mpo mliotengeneza kikundi cha...
  18. Ngungenge

    Kifo cha Benard Membe is a waking alert

    Nikiwa kijiji kwangu huku njilinji nikiendelea na shughuli za kilimo nimeshtushwa na taarifa ya kifo cha Mh. Benard Membe (kachero mbobezi) natuma salamu za pole kwa ndugu jamaa na marafiki. Poleni sana kwa huu msiba mzito. Kutokana muunganiko wa code mbalimbali nachelea kusema mambo kadhaa...
  19. Ngungenge

    Rais Samia, utafanyaje kutunusuru na wanaohujumu uchumi wa nchi yetu?

    Baadhi ya watu wachache tunajulikana na "kujiapiza" kukusemea mazuri na kukuombea kwa Mwenyezi Mungu na hakika Jamii imeanza kuelewa nini hasa umedhamiria kutufikisha. Ukuaji wa uchumi na ustawi wa maisha ya watu ni kipimo tosha Cha mafanikio unayoyapata katika uongozi wako. Hongera Sana...
  20. Ngungenge

    Calculation haziko sawa CCM maybe Chongolo na Idara ya Organization mmeshindwa

    Team Samia Suluhu Hassan was not observed during general meeting kosa ni kuwa Chongolo umefeli kutengeneza team Mama kwenye huu uchaguzi sijui ulikua unafanya nini maybe you don't know your power au you are buzzy for nothing angalia zimebaki team lakezone inayoungwa mkono na kusini na team Msoga...
Back
Top Bottom