Wajue Askari wa Mwamavuli wa Rais Samia

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,863
3,192
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha Watanzania ni dhahiri anajivunia uwepo wa viongozi hawa katika utawala wake ambai ni:

1. Dkt. Tulia Ackson, Spika wa Bunge JMT na Rais wa IPU.

2. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama.

3. Na Paul Makonda- Chuma Mwenezi wa Chama na Mzee wa kujitoa muhanga asiyeogopa kitu

Hawa ni key factor kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Japo wengi wanafanya kazi nzuri akiwemo Albert Chalamila, Mavunde, Mchengerwa, Bashungwa na Bashe lakini hao hapo juu ni moja ya viongozi ambao Rais Samia anajivunua sana na wanamfanya alale usingizi mnono dhidi ya wahafidhina wa kusaka urais 2025.

2025 ni Yeye Dkt. Samia Suluhu Hassan
 
Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha watanzania ni dhahiri anajivunia uwepo wa viongozi hawa katika utawala wake ambai ni
1. Dr. Tulia Ackson, Spika wa Bunge JMT na Rais wa IPU
2. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama
3. na Paul Makonda- Chuma Mwenezi wa Chama na Mzee wa kujitoa muhanga asiyeogopa kitu

Hawa ni key factor kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Japo wengi wanafanya kazi nzuri akiwemo Albert Chalamila, Mavunde, Mchengerwa, Bashungwa na Bashe lakini hao hapo juu ni moja ya viongozi ambao Rais Samia anajivunua sana na wanamfanya alale usingizi mnono dhidi ya wahafidhina wa kusaka urais 2025

#2025 ni Yeye Dr. Samia Suluhu Hassan
Hujaweka namba ya simu.
Chongolo kila aendako anaibua madudu kibao yaliyosababishwa na wenyewe mchwa! Acheni kupanga wizi wa kura kila mbunge yuko analia humo ndani! Hawa uliotaja nao wana ya kujibu kwa wananchi Hawa mweneI kwa aliyopiga hapo nyakati!
 
Mama yupo kwny Kamati kuu ya tangu mwaka 2000

lakini mwenyewe kwa kauli yake anakwambia mkiingia Kamati kuu Wajumbe kwny maamuzi kama ya kuteua Mgombea Urais basi wote mnaishia kwny kichumba kidogo mnakula biskuti na juice na Soga za hapa na pale na kuna Vyuma viwili vitatu ndio vinaenda kujifungia kuchakata maamuzi

then mnatoka haooooo mnapiga makofi mbele ya Kamera kama kuna mnachojua kumbe wote mnatangaziwa matokea mkiwa wote nje

ukipewa fursa ya kusalimia Wajumbe unaanza blaa blaa sijui tulijadili sana majina ya kuteua na tumeona huyu ana sifa kede kede kuliko wooote

ni kama wale Jamaa zetu walikusanywa Bahari beach Hotel wakapigwa suprise ya jina la Mgombea Urais toka cheusi cheupe

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha Watanzania ni dhahiri anajivunia uwepo wa viongozi hawa katika utawala wake ambai ni:

1. Dkt. Tulia Ackson, Spika wa Bunge JMT na Rais wa IPU.

2. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa Chama.

3. Na Paul Makonda- Chuma Mwenezi wa Chama na Mzee wa kujitoa muhanga asiyeogopa kitu

Hawa ni key factor kuelekea uchaguzi Mkuu 2025

Japo wengi wanafanya kazi nzuri akiwemo Albert Chalamila, Mavunde, Mchengerwa, Bashungwa na Bashe lakini hao hapo juu ni moja ya viongozi ambao Rais Samia anajivunua sana na wanamfanya alale usingizi mnono dhidi ya wahafidhina wa kusaka urais 2025.

2025 ni Yeye Dkt. Samia Suluhu Hassan
Ilitakiwa hao akari wa umbrella ulitakiwa ututajie mawazi wake ambao ndio watendaji wake tuwajadilo hapa lakini sio hao watu wa chama na mkuu wa muhimili mwingine
 
Mama yupo kwny Kamati kuu ya tangu mwaka 2000

lakini mwenyewe kwa kauli yake anakwambia mkiingia Kamati kuu Wajumbe kwny maamuzi kama ya kuteua Mgombea Urais basi wote mnaishia kwny kichumba kidogo mnakula biskuti na juice na Soga za hapa na pale na kuna Vyuma viwili vitatu ndio vinaenda kujifungia kuchakata maamuzi

then mnatoka haooooo mnapiga makofi mbele ya Kamera kama kuna mnachojua kumbe wote mnatangaziwa matokea mkiwa wote nje

ukipewa fursa ya kusalimia Wajumbe unaanza blaa blaa sijui tulijadili sana majina ya kuteua na tumeona huyu ana sifa kede kede kuliko wooote

ni kama wale Jamaa zetu walikusanywa Bahari beach Hotel wakapigwa suprise ya jina la Mgombea Urais toka cheusi cheupe

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Tulipigwaaa
Wapi daktari Asha Rose Migiro
The she 🐐
 
Back
Top Bottom