Hii nchi naiogopa sana

Hii nchi naiogopa sana

Ngungenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2,953
Reaction score
3,449
Naona vipepeo mnakubali kuingia katika njama ya kidini, protoko za kidini na maazimio ya kusema hadi kieleweke.

Idara zikiongozwa kidini yetu macho Nawahakikishia mkiruhusu hili swala liende kidini kama mlivyoanza hamtafika popote na mtalaumiwa.

Sasa shindaneni atakayeshindwa atalia tuu sisi tunatahadharisha

Tengenezeni kukubaliana na kama hamkubaliani acheni hilo swala. Sisi ni watanzania hatuwezi ku risk kisa wageni. Kengele ikilia mchezo umeisha.

Chonde haliwezekani acheni
 
Nyie ndio msiojulikana eeeh
 
Kama ulivyoandika kichwa Cha uzi, Unapaswa kuiogopa hii nchi maana dola lipo kwaajili ya usalama wa serikali na siyo raia
 
Sijawahi kuona white-blood-cell zikikaa fungate na parasites.....

Nchi hii ina moujiza mingi sana
 
Kama ulivyoandika kichwa Cha uzi, Unapaswa kuiogopa hii nchi maana dola lipo kwaajili ya usalama wa serikali na siyo raia
Na adui namba moja wa Tanzania ni raia wake ndo maana watawala wanahakikisha sheria zinatungwa kudhibiti uhuru, utu na ustawi wa raia
 
FB_IMG_16231672837618361.jpg
 
Uzuri ninachoipendea nchi yangu haya mambo huwa yanaishia Twitter, jf na platform nyingine....mtaani hapa % kubwa ya watu wapo bize na shughuli zao za kilasiku hata hawajui mkataba Wa bandari umeshanasibishwa kidini.....I'm a Muslim, siwalaumu TEC kuja na waraka wao ila nalaani kusomwa makanisani, ilikuwa inatosha Ku release waraka wao tusome standing yao kama mamlaka husika zinaweza kufanyia kazi zifanyie kazi maana waraka tungeupata tu hata ambao sio wa dini hiyo

Kwanini nalaani kusomwa makanisani, au nilikuwa nataka taarifa isifike kwa wakatoriki wote Tanzania?? Hapana sio hivyo, ipo wazi % kubwa ya watanzania reasoning za watu wengi zipo chini sana huo ndio ukweli, kwahiyo kuna idadi kubwa tu ya watu baada ya kusomewa wamejazwa sumu tu za kidini bila kujali TEC wamepinga mkataba and nothing else! Kwasababu reasoning yao ni ndogo wao wakalichukulia kidini zaidi, hata msomaji aliyekuwa akisoma let say wanamakanisa 2000 tanzania kwahiyo wasomaji 2000 kila msomaji kausoma kwa hisia tofauti na kasherehesha kwa hisia tofauti, kwahiyo hisia za waumini wote tz baada ya kusomewa lazima zitofautiane na wale ambao reasoning zao ni ndogo wamekuwa na hisia mbaya tu za kidini nothing else..... Lakini kwanini TEC wamesoma waraka makanisani mbona kama kuna standing power na legitimacy na ushawishi flani wanautaka kutoka kwa waumini wao?? Ni mawazo yangu tu usiwe nayo serious as if ni maneno ambayo ni forbidden kupingwa!
 
Sasa kama Nape alizuia usitangazwe na vyombo vyote vya habari nchini unategemea Kanisa wafanyeje ili ujumbe ufike vizuri....hapo inatoka kwa muumini inaingia kwa raia mtaani then wote tunakuwa tumesikia
 
Back
Top Bottom