Kutoka sauti ya mtu aliye nyikani 2025 ni zamu ya yeye WanaCCM wenye nia ya Urais mjue kuwa 2025 ni yeye katika sanduku la kura

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,863
3,192
Sauti ya Mtu aliae nyikani imenijia na kunijulisha kuwa 2025 ni samu ya YEYE

Sauti hii inataka kufanana na voice from within ya
Pascal Mayalla alisema mapema kuwa 2025 ni zamu ya YEYE, mtu aliaye nyikani kanijulisha kuwa huyo YEYE ni Dkt. Samia Suluhu Hassan

Ni yeye kwa sababu hakuna kama yeye ambaye wakati wa YEYE umefika kuacha alama
 
Sawa
 
Tanzania hakuna uchaguzi, bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
 
Sauti ya Mtu aliae nyikani imenijia na kunijulisha kuwa 2025 ni samu ya YEYE

Sauti hii inataka kufanana na voice from within ya
Pascal Mayalla alisema mapema kuwa 2025 ni zamu ya YEYE, mtu aliaye nyikani kanijulisha kuwa huyo YEYE ni Dkt. Samia Suluhu Hassan

Ni yeye kwa sababu hakuna kama yeye ambaye wakati wa YEYE umefika kuacha alama
Kwa mara nyingine Tena Tanzania imepata Kiongozi bomu kweli kweli. Basi huyu yeye Mimi Hana kura yangu kabisa. Ni bomu ni bomu mno
 
Sauti ya Mtu aliae nyikani imenijia na kunijulisha kuwa 2025 ni samu ya YEYE

Sauti hii inataka kufanana na voice from within ya
Pascal Mayalla alisema mapema kuwa 2025 ni zamu ya YEYE, mtu aliaye nyikani kanijulisha kuwa huyo YEYE ni Dkt. Samia Suluhu Hassan

Ni yeye kwa sababu hakuna kama yeye ambaye wakati wa YEYE umefika kuacha alama
Unawashwa kalio
 
Wagalatia pia tunaitaka sa100 amalizie ng'we yake ili 2030 aingie mgalatia Mkatoliki safi
 
Sauti ya Mtu aliae nyikani imenijia na kunijulisha kuwa 2025 ni samu ya YEYE

Sauti hii inataka kufanana na voice from within ya
Pascal Mayalla alisema mapema kuwa 2025 ni zamu ya YEYE, mtu aliaye nyikani kanijulisha kuwa huyo YEYE ni Dkt. Samia Suluhu Hassan

Ni yeye kwa sababu hakuna kama yeye ambaye wakati wa YEYE umefika kuacha alama
Mkuu Ngungenge, mimi mzee wa masauti naunga mkono hoja, kama hiyo sauti yako ya nyikani ni sauti yake YEYE, then YEYE akisema YES, nobody can say no!, hivyo rais wetu wa 2025 ni yeye, kama nilivyoshauri hapa Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! na hii maana yake HII sauti niliyoisikia hapa sio sauti yake YEYE, kumbe ni sauti ya yeye tuu nimi nikadhani ni sauti ya YEYE!.

Hivyo hata hoja hii Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?! sii kweli na hoja hii Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano? pia sii kweli!.

Mtihani pekee kuhusu hizi sauti kama ni sauti ya YEYE kweli au ni yeye tuu, the dividing line between YEYE na yeye is very thin, hivyo nashauri lets leave all the options open, kusubiria hiyo 2025!.
P
 
Back
Top Bottom