Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,863
- 3,192
Kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya wizara ya kilimo. Mimi ni kati ya wachache niliyewahi kutoa maoni kuwa Upewe Wizara ya kilimo na Alhamdulilah Mh. Rais akakuona na ukapewa uwaziri kamili.
Kwakuwa nakujua wewe u mtu mchapakazi sana na unaejitoa usiku na mchana bila kuchoka, napenda kukushauri urekebishe mambo machache.
Mradi wa BBT ni over exaggerated cost unrealist na zitasumbua kwenye ku calculate return pia zinaleta ukakasi to the public sasa naweza kufikiri uliwaza ku install drip technology ili kufanya annual farming. OK ku install kwa hekari moja ni 4.5 million plus seeds, agrochemicals nk unapata jumla 6 million maximum
Mradi umeweka 16 million hapo million 10 per acres times number of beneficiaries hio pesa tunapoteza am sure unaweza kuipata kwenye eneo jingine tuu ambala haliitaji public attention. Simaanishi wewe ndio unataka ila kama umeridhia bas wako watu wanataka kupitia wewe. Nakusihi u reverse BBT program kabla hujaanza ku implement.
Jambo la pili
Ni kitu kizuri ku enroll hawa vijana wadogo kuingia kwenye kilimo but trust me hautapata result. Ndio maana USAID, JICA, SIDA na KOIKA wamedevelop co-engagement na Entreprises na wanapata BIG result interms of no of employment, tonnage, livelihood nk hawa vijana walitakiwa kwanza wa engage na entriprises kwa ajili ya learning, formular uliyotumia ni ya ki communist na haiwezi kufanya kazi hapa tanzania labda maeneo machache ya nchi yaliyozungukwa na uchumi wa kilimo formular hii ni kwa wale cleam kweli kweli otherwise watakimbia mashamba na tutapoteza pesa.
Sasa ongeza nguvu kwenye ile program ya makampuni ikiwezekana toa incentive. Tena usiwape wanasiasa bali wakulima wakubwa na wa kati pamoja na kuiwezesha Bank ya kilimo kutoa mikopo hio tena kwa haraka.
Pia kwa BBT
Economy inahitaji kutumia low cost kupata Super profit sasa uo mradi hatakama ulipanga iwe 5 yrs bila maboresho please nakushauri twende kidogo kidogo
Tuanze na 3 million per acre ili tupate 4-5m watakaofanya vizuri waongezewe mtaji na maeneo ili kupima ukuaji utachuja na kupata vijana wazuri ambao utaweza ku invest 50-100 million ambao watazalisha ajira na ku create MSMEs.