Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,863
3,193
Watanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko
Ilipokuja mwendokasi walipinga
Tukaja na bwana la Nyerere walipinga
Tukaja na SGR walipinga
Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga

Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana nchi hii inahitaji kupata maendeleo

Prof Mbarawa na Feleshi mkubali mmekosea suala la ukomo mlitakiwa muweke kwenye mkataba kwa kipengele cha ..to be renewed baada ya miaka kadhaa pia swala la specification nini hasa kinaenda kufanyika mlitakiwa mseme

Najua Rais Samia amerekebisha na sasa ni kazi juu ya kazi

Rais Samia Kanyaga twende
 
Watanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko
Ilipokuja mwendokasi walipinga
Tukaja na bwana la Nyerere walipinga
Tukaja na sgr walipinga
Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga

Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana nchi hii inahitaji kupata maendeleo

Prof mbarawa na feleshi mkubali mmekosea swala la ukomo mlitakiwa muweke kwenye mkataba kwa kipengele cha ..to be renewed baada ya miaka kadhaa pia swala la specification nini hasa kinaenda kufanyika mlitakiwa mseme

Najua Rais Samia amerekebisha na sasa ni kazi juu ya kazi

Rais Samia Kanyaga twende
Yaleyaleeee... Tumecheleweshwa mnoo, hasa CDM wametulewesha san!!!
 
Mtawabatiza watanganyika majina yote

Lkn mipango yenu ya kisheytan haitatimia
Wakenya mmeumizwa sana na swala hili kwa vile mnajua bandari yenu ya Lamu, Mombasa itadoda.

Pigeni kelele lkn haitasaidia. Litapita kama lilivyopita lile la Loliondo.
 
Back
Top Bottom