prof. mbarawa

Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (born February 24, 1956) is a Tanzanian lawyer who from April 2021 to January 2022 served as the country's Minister for Constitution and Legal Affairs, appointed by President Samia Suluhu. He was a Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation appointed by President John Pombe Magufuli since 2020 to 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Mbarawa: Kasi ya Mkandarasi Mradi wa SGR imepungua, yupo nyuma kwa 10%

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Reli ya SGR eneo la Makutupora - Tabora na kusema “Kazi inaendelea vizuri ingawa kuna changamoto kadhaa, kubwa ikiwa ni kasi ya mradi ambayo tuliitegemea imepungua, leo tulitegemea Mradi ufikie takribani 22% lakini tupo...
  2. Roving Journalist

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Mbarawa azindua Bodi Mpya ya Wakurugenzi TRC

    Shirika la Reli Tanzania - TRC imefanya hafla fupi ya uzinduzi wa Bodi mpya ya wakurugenzi iliyoongozwa na mgeni rasmi Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa iliyofanyika katika jengo la stesheni ya SGR lililopo jijini Dar es Salam Septemba 11, 2023. Bodi mpya iliyozinduliwa ni pamoja na...
  3. Titicomb

    Prof. Mbarawa umejiandaa baada ya uwaziri kuisha? Wenzio wawili wana kinga ya kutoshitakiwa

    Nakukumbusha kaka yangu, mtanzania mwenzangu Bwana Makame Mbarawa kuna mawaziri wa zamani Bw. Yona na Bw. Mramba waliishia jela kisha wakaenda kufagia vyoo hospital za umma baada ya uwaziri wao. Hili sakata la uwekezaji wa bandari za Tanganyika unaweza kuja kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya...
  4. Ngungenge

    Prof. Mbarawa uzembe mliofanya wizara ya uchukuzi unamchonganisha Rais Samia na Wananchi

    Taifa zima tunabishana mambo madogo ambayo yanatokana na kukosa umakini. Ni upuuzi na ujinga. Gwajima alisema watu wa serikalini hawana exposure mtu kama Prof. Mbarawa pamoja na kusoma kuwa Professor anashindwa ku calculate public damage yaani akili za kijinga sana kukosa exposure na maarifa...
  5. OLS

    Tanzania ni nchi moja, kwanini Prof. Mbarawa aseme aliyosema kuhusu mkataba wa bandari

    Katika mkutano wake hivi karibuni na viongozi wa bandari, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alitoa taarifa kwamba Zanzibar haikuwemo katika mkataba uliosainiwa kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji katika bandari. Sababu ya kutolewa taarifa hii ni kwamba...
  6. Roving Journalist

    Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai. Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
  7. M

    Magufuli aliwahi kumwita Prof. Mbarawa Mpumbavu hadharani

    Nakumbuka akiwa Tanga kwenye uzinduzi wa matenki ya mafuta Rais Magufuli wakati huo aliwahi kumwita Prof. Makame Mbarawa Mpumbavu. Maana ya neno mpumbavu ni mtu aliyevuka viwango vya ujinga. Haelimiki wala haambiliki. Ya Dubai Port yamenikumbusha habari hii. Alipohamishiwa Wizara ya maji kule...
  8. ChoiceVariable

    Video: Prof. Mbarawa awataka Mameneja wa TANROADS kwenda Kigoma kujifunza Ujenzi wa Barabara za Kisasa

    Habari Wadau.. Kuna msemo wa Kiswahili unasema kawia ila ufike.. Waziri wa Ujenzi Prof.Mbarawa amewaagiza Mameneja wa Mikoa wa TanRoads Nchi nzima kwenda Kigoma Kujifunza Ujenzi wa Barabara Bora na za Kisasa kuanzia underpasses,overpasses,pedestrian traffic lights,keep left nk zinafanywa Ili...
  9. J

    MV MWANZA " Hapa Kazi Tu" yashushwa Majini, ni furaha kuu Jijini Mwanza!

    Tukio liko mubashara TBC Watu ni Wengi sana sana kwa kweli hii ni Baraka Wafuasi wa vyama wakiwa Ndani ya sare zao nao wapo CCM, Chadema na ACT Wazalendo Mungu ni Mwema wakati Wote
  10. J

    Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

    Waziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka. Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa. Za kwetu ni hizi...
Back
Top Bottom