Search results

  1. cleokippo

    KERO Mamlaka ya maji Sengerema (SEUWASA) mmeamua kuwanywesha maji ya kisima wananchi wenu ili wapate kipindupindu vizuri?

    Tumekuwa tukiwalalamikia mara kwa mara hawa mamlaka ya maji sengerema kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wananchi wao Mbunge pamoja na wananchi wamepiga kelele weee mpaka wamechoka lakin hawaelewi sasa kama mh wazir upo humu jukwaan jaribu kuimulika uone uozo wa wafanyakazi wa idara yako...
  2. cleokippo

    Historia inaweza ikaandikwa mwaka 2025

    Habari za usiku huu wana nzengo, kutokana na research niliyofanya kupitia sample (x) nimegundua ya kwamba Oktoba 2025 historia inaenda kuandikwa hapa Tanzania. Mama huenda ndiyo akawa raisi pekee wa Tanzania kukaa madarakan kwa muda mfupi (5years). Majority ya Watanzania wamekuwa...
  3. cleokippo

    Naomba kuuliza jaman wana sheria" hivi ni kosa kwa mmiliki wa carwash kuwauzia maji wananchi wenye uhitaji?

    Habar za usiku huu wana nzengo, mimi ni mmiliki wa carwash somewhere Kwa bahati mbaya au nzuri pale nilipoweka carwash yangu kuna shughuli kadha wa kadha za kijamii, Kwa kipindi ambacho nimeanzisha hapakuwa na shughuli yeyote ila sasa kutokana na kuendelea kwa lile eneo ndio ikapelekea uwepo...
  4. cleokippo

    Mkubali ama mkatae ukweli utabaki pale pale kwamba CCM nchi imeshawashinda hii, kuna haja ya kufanya jambo 2025

    Habari zenu wana nzengo Mimi si mwanachama wa chama chochote kile cha siasa na wala sio mwana siasa Nimeandika kama Mtanzania mzalendo mwenye mapenzi ya dhati na nchi yangu Siku zote waswahili wanasema usipende kukaa na dukuduku moyon hivyo bas dukuduku langu nimetafuta sehemi ya kulitolea...
  5. cleokippo

    Makonda kabla haujatoa kibanzi jichoni kwa mwenzio ni vyema ukatoa kibanzi jichoni mwako

    Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana mara tu baada ya kusikia na kusoma mitandaoni ziara ya mh katibu wa uenezi na itikadi wa chama cha makijani aliyepanga kufanya nchi nzima. Sina hakika wananchi wataipokeaje ziara yake ila ningependa kumshauri ndugu yangu makonda kabla hajazunguka mikoa...
  6. cleokippo

    CRDB Bank na makato ya matumizi ya kadi za ATM

    Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana, last two weeks nilienda kuangalia salio la acc yangu crdb bank, nikakuta sehemu flan ya pesa imepungua nikakaa kimya Leo hii tena tar 14 nikasema niangalie tena salio nikakuta pia sehemu ya pesa imepungua, uzalendo ukanishinda ikabid niwapigie huduma...
  7. cleokippo

    Mapadre acheni kuudhalilisha ukatoliki (padre aomba waumini wamchangie milion 90 anunue kluger ya kutembelea

    Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana nikiwa kama muumin kindakindaki mkatoliki Miezi miwili iliyopita nilijumuika na waumini wenzangu kwenye misa ya asubuh ndani ya kanisa katoliki lililopo maeneo ya saint carol wilayani sengerema jijini Mwanza Mamia ya waumini tulijumuika kwenye misa hiyo...
  8. cleokippo

    Ni kwa namna gani naweza tambua band za saa janja (smart watch)?

    Habari wananzengo" KWa wale wataalam wa jukwaa la teknolojia, naomba mnieleweshe namna gan naweza nikatambua kwamba hii saa janja ni band fulan? Maana utakuta mtu anasema hii band 4, hii band 5 Sasa anawezaje kutambua hizo band? Nawasilisha
  9. cleokippo

    Nini tafsir ya podcast kwenye app ya spotify? Pia inatumikaje?

    Habar wakuu, mimi ni mgen kidogo kwenye matumiz ya app ya spotify Ninachofaham ni ku search nyimbo na kuiskiliza , mbaya zaidi ninapochagua nyimbo unakuta nikii play ina play nyimbo nyingine Ukiachana na hiyo kuna kitu kingine nimekutana nacho kinaitwa podcast sasa naomba nifahamishwe nini...
  10. cleokippo

    Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo Tanzania, mwenye kujua taratibu za kuishtaki kampuni tafadhali anipe muongozo

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20 Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato
  11. cleokippo

    Paul makonda wa joto sana, hivi zile ni nguvu zake au superstation? Arudisha matumaini mapya kwa wakazi wa jiji la miamba (the rock city)

    Maelfu ya wakazi wa jimbo la sengerema jijini mwanza leo hii walijitokeza kumlaki katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi (ccm) taifa aliyefanya ziara kwa mara ya kwanza ukanda wa ziwa tangu alipochaguliwa kuwa katibu mwenezi siku za hivi karibuni Makonda aliweza kusimamisha shughuli za uchumi...
  12. cleokippo

    Wataalamu wa PC msaada tafadhali

    Habar za majukumu wana jamvi, Kwa wale wataalamu wa pc msaada wenu plz Nimenunua pc aina ya hp 450, wakati nainunua pale dukan , niliiangalia betri yake ili niweze kujua kwamba inakaa na chaji? Ilinionesha kwamba chaji inakaa masaa matatu na dk 40. (03:40) Lakini baada ya kufika om na kuanza...
  13. cleokippo

    Msaada wa njia bora ya kuondoa nyuki waliowekamakazi kwenye chumba changu

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania na kazi iendelee Wanajamvi, nimekuwa na tatizo la nyuki kuweka makazi ndani kwenye dirisha la nyumba changu hali iliyolelekea kuhama kabisa na kukiacha kile chumba Sina hakika lini nyuki hawa walianza kuweka kambi ila leo hii usiku wa...
  14. cleokippo

    Mwenye kujua Apps nzuri ya music player msaada tafadhal

    Habar za usiku wananzengo!! Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Kwayeyote mwenye kujua apps nzuri ya music player kwenye simu naomba anitajie tafadhali ili ni download niweze kuskiliza good music na mimi kwenye kijitambo changu
  15. cleokippo

    Hivi hakuna maujanja yoyote ya kuweka Password kwenye SMS tu pasipo kutumia Applock yoyote?

    Mwenye maujanja jamani ya kuweka password kwenye sms bila kutumia applock yeyote ile anijuze. Nimeandika sababu kuna mtu akishika tu cm yangu huwa anapenda sana kusoma sms zangu. Cha ajabu nikiweka applock huwa ana unstall kisha anasoma sms. Sasa niliktaka nimkomeshe kama kuna njia mbadala...
  16. cleokippo

    Mwenye link ya WhatsApp Plus version mpya anisaidie jamani

    Habar wakuu, kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu Nimekuwa muumini mkubwa sana wa whatsapp plus kwasasa nina week tsup yangu ime expire inadai version mpya sasa kila niki download inakataa inaniambia ni update na niki update bado inakataa Hivyo mwenye link ya tsup plus new version...
  17. cleokippo

    Naomba kufahamu 'App lock' gani nzuri zaidi kwa ajili ya ku lock mafaili yangu?

    Habari wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada. Yeyote mwenye kujua applock nzuri kwa ajili ya ku lock files naomba anijuze ili na mimi niweze kuitumia kwenye simu yangu. Nimejaribu smart lock & applock lakini bado sijazielewa kabisa. Asanteni.
  18. cleokippo

    Mamlaka ya maji Sengerema ni uozo mtupu. Juma Aweso bado una safari ndefu sana

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana kwa niaba ya wakazi wa wilaya ya sengerema ambao hawana pa kusemea Mamlaka ya maji sengerema (SEUWASA) kwakweli inatia aibu sana, Kumekuwa na changamoto ndogo ndogo sana ambazo mamlaka inashindwa...
  19. cleokippo

    Samsang A02 inanipasua kichwa

    Habari wakuu, nina samsung A02 kwasasa ina mwaka 1 na miezi 4 toka niinunue dukan, na ilikuwa na warrant ya miaka 2 ila warrant card nimeipoteza Sasa hii simu hivi sasa ni week kila nikiitumia haitoi simu wala kupokea inaniandikia Not registed on network Naomba msaada kwa anayejua namna ya...
  20. cleokippo

    Mwenye mawasiliano ya Wizara ya Maji anisaidie, nimepata changamoto moja toka mamlaka ya maji

    Nawasalimu kwa jina la jumhuri ya Muungano wa Tanzania Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza! Nimeamua kuanzisha mraji wa maendeleo ambao ungeweza kutoa ajira kwa takriban vijana kadhaa wa kitanzania, Nimekwishafanya taratibu zote za kisheria ikiwa ni pamoja na kulipa kodi ya eneo la...
Back
Top Bottom