Samsang A02 inanipasua kichwa

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Habari wakuu, nina samsung A02 kwasasa ina mwaka 1 na miezi 4 toka niinunue dukan, na ilikuwa na warrant ya miaka 2 ila warrant card nimeipoteza

Sasa hii simu hivi sasa ni week kila nikiitumia haitoi simu wala kupokea inaniandikia Not registed on network

Naomba msaada kwa anayejua namna ya kutatua hii changamoto ili niweze kuendelea kutumia kasimu kangu

Chief mkwawa kaka plz kama umelisoma bandiko langu naomba unisaidie kaka.
 
habar wakuu, nina samsung A02 kwasasa ina mwaka 1 na miezi 4 toka niinunue dukan, na ilikuwa na warrant ya miaka 2 ila warrant card nimeipoteza

sasa hii simu hivi sasa ni week kila nikiitumia haitoi simu wala kupokea inaniandikia Not registed on network

sasa bas msaada kwa anayejua namna ya kutatua hii changamoto ili niweze kuendelea kutumia kasimu kangu

chief mkwawa kaka plz kama umelisoma bandiko langu naomba unisaidie kaka
Laini zinaonesha kusoma?
 
Kama upo Dar nenda JM Mall kuna wakala wa Samsung watakurekebishia bure, bado warranty inafanyakazi.

Wakichukuwa simu wenyewe wanajuwa wana angalia wapi inaonesha warranty bila hata kwenda na chochote.
 
Issue ndogo hiyo,niliwahi kupata hiyo issue kwenye samsung galaxy s6 edge,walifanya factory reset hapo hapo dukani kila kitu kikakaa sawa...
 
Kama upo Dar nenda JM Mall kuna wakala wa Samsung watakurekebishia bure, bado warranty inafanyakazi.

Wakichukuwa simu wenyewe wanajuwa wana angalia wapi inaonesha warranty bila hata kwenda na chochote.
nipo mwanza kaka
 
Habari wakuu, nina samsung A02 kwasasa ina mwaka 1 na miezi 4 toka niinunue dukan, na ilikuwa na warrant ya miaka 2 ila warrant card nimeipoteza

Sasa hii simu hivi sasa ni week kila nikiitumia haitoi simu wala kupokea inaniandikia Not registed on network

Naomba msaada kwa anayejua namna ya kutatua hii changamoto ili niweze kuendelea kutumia kasimu kangu

Chief mkwawa kaka plz kama umelisoma bandiko langu naomba unisaidie kaka.
Hujaweka simcard vizuri
 
Nenda settings fungua connection halafu nenda mobile networks,halafu nenda sim card manager, halafu weka calls ask always,text messages utachuzi kam ni sim 1 or 2 halafu mobile data off halafu toa hizo cards rudishia Zima uwashee.
 
A possible reason you can't make calls from your Android phone is that your SIM card isn't properly installed. In this case, your phone experiences issues reading data from the card, resulting in an “Emergency Calls Only” error. You can fix the issue by taking the SIM card out and reinstalling the card.
 
Nenda settings fungua connection halafu nenda mobile networks,halafu nenda sim card manager, halafu weka calls ask always,text messages utachuzi kam ni sim 1 or 2 halafu mobile data off halafu toa hizo cards rudishia Zima uwashee.
poa mkuu ngoja nijaribu
 
Habari wakuu, nina samsung A02 kwasasa ina mwaka 1 na miezi 4 toka niinunue dukan, na ilikuwa na warrant ya miaka 2 ila warrant card nimeipoteza

Sasa hii simu hivi sasa ni week kila nikiitumia haitoi simu wala kupokea inaniandikia Not registed on network

Naomba msaada kwa anayejua namna ya kutatua hii changamoto ili niweze kuendelea kutumia kasimu kangu

Chief mkwawa kaka plz kama umelisoma bandiko langu naomba unisaidie kaka.
Mkuu imei ipo? Baseband ipo? Nenda setting kisha about angalia hivyo vitu kama vipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom