Mwenye kujua Apps nzuri ya music player msaada tafadhal

Mwenye kujua Apps nzuri ya music player msaada tafadhal

Chukua vlc
Screenshot_20230714-223356.png
 
Tumia spotify mkuu. Binafsi nalipia 6900 kila mwezi, napata premium nahifadhi playlists zangu offline, na kama kuna nyimbo zipo kwenye local / internal memory nazi add tu na naplay kama kawaida.

Nasikiliza

  • Podcasts
  • Audio books
  • Live Shows
  • Unlimited songs

Hutojutia mkuu
 
Duh,its 2023 na watu bado mko na haya maswali,acha uzamani wa kudownload nyimbo tushatoka uko,stream nyimbo mzee tumia Spotify,BoomPlay,Apple play kote huku unapata sound nzuri na options za nyimbo nyingi
People are so yesterday aisee..

Spotify nalipia 6700 kwa mwezi premium..nakula ngoma with ease.
 
Back
Top Bottom