sengerema

Sengerema District is one of seven districts in the Mwanza Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north and east by Lake Victoria, to the south by Geita Region and to the southeast by the Misungwi District.
As of 2002, the population of Sengerema District was 501,915. The district's population has grown to 663,034 in 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. cnx

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna malalamiko kuwa mtendaji wa NaPA Sengerema anataka Wanafunzi wanaotaka kujisajili walipe fedha

    Naomba mamlaka husika kuchunguza malalamiko kuhusu utaratibu wa usajili kwenye mfumo wa naPA kwa waombaji wa mikopo ya elimu ya juu katika Wilaya ya Sengerema. Kuna malalamiko kwamba mtendaji mmoja wa wilaya anawataka wanafunzi wanaohitaji kusajiliwa kwenye mfumo wa naPA kutoa fedha kwa madai...
  2. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la zimamoto na uokoaji Sengerema ni jipu. Viongozi ingilieni kati

    MH WAZIRI WA MAMBO YA NDANI, SENGEREMA INALIA-JE, NANI ATASIKIA SAUTI YA WANANCHI? Kwa kipindi cha hivi karibuni, wilaya ya Sengerema imekuwa ikikumbwa na matukio ya moto yanayo sababisha hasara kubwa kwa wananchi, kinachozid kuumiza ni kwamba karibu kila tukio linapoibuka, matumaini ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Elimu bure lakini Shule ya Nyampulukano – Sengerema kuna upigaji mkubwa. TAKUKURU walifanya kazi yao, 'wakapozwa' wakaingia 'mitini'

    Shule ya Secondary Nyampulukano iliyopo Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ili kupata nafasi ya kuhamia pale au kwa Wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza wanatozwa Tsh. 320,000 au unapeleka mifuko 10 ya saruji pamoja na Nondo nne, kitu ambacho ni kinyume kabisa na utaratibu wa elimu bila malipo...
  4. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Watu wa Sengerema mnazingua sana mnawasha tochi mchana?

    Katika tukio la ovyo ni hili lakuambiwa washa tochi mchana halafu mnawasha kweli hii nature ya watu wa Sengerema manzingua sana mnawasha tochi mchana huu kweli au ni usiku huko Mwanza?. Oky Byee..!!!!!
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Mradi mkubwa wa dhahabu Sengerema kuchochea ukuaji wa uchumi nchini

    WAZIRI MAVUNDE: MRADI MKUBWA WA DHAHABU SENGEREMA KUCHOCHEA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI ☑️ Serikali yasaini mkataba wa nyongeza ya hisa kutoka asilimia 16 hadi 20 na Kampuni ya Nyanzaga ☑️ Mwekezaji arejesha Leseni Serikalini, Waziri Mavunde aagiza kupewa wachimbaji wadogo ☑️ Mradi kugharimu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kigongo Busisi zilivuka Tani 1,600 tu kwa siku leo ni Tani 180,000 na watu 12,000 wanavuka. Tulitumia saa 3 -4 kuvuka leo ni dakika 3 - 4 tu

    Hii ni baada ya Rais Samia kutoa TZS716.33bn kujenga hili daraja la Kigongo Busisi Rais alirithi Daraja hili likiwa na asilimia 25 za utekelezaji wake, daraja hili lina urefu wa kilometa 3.2  kwa juu ya Ziwa Victoria, na njia za uunganisho za 1.66 km, ikijumuisha barabara pana ya reli ya T4...
  7. Think2

    JamiiForums Tanzania Usijichanganye kuoa ama kuishi na mwanamke kutoka sengerema -Mwanza

    Kama wewe huwajui vzr wanawake wa kisengerema asee usioe nini shida ni hivi Siku mkigombana afu wewe ukatoka jua ukirudi unakuta chumba cheupeeee mweee😁😁 Wanaroga sana wanaume safari za waganga haziishi. Ugomvi kidogo anakimbilia kwao au kwa mwenyekiti utasikia unpigiwa simu baba fulani...
  8. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kusimama kwa ujenzi wa barabara ya Bukokwa kwenda Nyakarilo katika jimbo la Buchosa (Sengerema) yenye urefu wa Km 3

    Tangia mwaka jana mwezi wa 12 (12/2024) mradi umesimama na mkandarasi hayupo eneo la kazi mpka sasa ningependa kujua shida nini au ni mkandarasi mwenyewe ama mamlaka yaan Tanroads Mwanza. Mradi huu unaotekelezwa na mkandarasi D4N Company Limited tangu mwaka jana mwezi wa 12 umesimama na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa Katibu wa Rais Magufuli, Ngussa Samike ajitosa kuwania ubunge jimbo la Sengerema

    Aliyekuwa Katibu wa Rais wa awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Ndugu Ngussa Samike leo Jumamosi Juni 28, 2025 amechukua Fomu ya Chama Cha Mapinduzi CCM ya kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya Chama hicho kwenye Kinyang'anyiro cha Ubunge, Jimbo la Sengerema Mkoani Mwanza katika...
  10. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meneja wa TARURA - Sengerema ampongeza Eric Shigongo kwa kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara Buchosa

    Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Francis Prosper, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, kwa hatua yake ya kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo, akiahidi ushirikiano...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Perseus Yatangaza Kuanza Ujenzi wa Mgodi wa Dhahabu wa Nyanzaga Wilayani Sengerema

    ▪️Mradi wa ujenzi wa mgodi kugharimu Trillioni 1.4 ▪️Mgodi kuzalisha Ajira na mapato kwa serikali Kampuni ya Perseus ya Nchini Australia yatoa tangazo rasmi la kuanza ujenzi wa mgodi wa dhahabu wa Nyanzaga uliopo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza utakaomilikiwa na Kampuni ya Ubia ya Sotta...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema: Hakuna chama kingine tofauti na CCM kinachoweza kuwapatia wananchi maendeleo

    Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, amewataka wananchi wa Buchosa kuendelea kumuunga mkono Dk. Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine walioko madarakani ili waendelee kuwaletea maendeleo. Kauli hiyo ameitoa katika Kata ya Kalebezo, kwenye mkutano wa hadhara uliotishwa na Mbunge...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shigongo: Tunajenga feri yenye uwezo wa kubeba abiria 800 Kisiwa cha Kome kilichopo Buchosa, Sengerema

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema serikali inakamilisha ujenzi wa kivuko kilichogharimu shilingi bilioni nane, chenye uwezo wa kubeba zaidi ya abiria 800 na magari zaidi ya 20 kwa mara moja, kwa ajili ya kusaidia kurahisisha usafiri katika Kisiwa cha Kome kilichopo Buchosa, Sengerema...
  14. upupu255

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Sengerema asema changamoto ya usafiri Kivuko cha Kigongo-Busisi inatokana na Gugumaji jipya, Serikali yachukua hatua za haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini za vivuko. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vivuko vililazimika kusitisha safari ili kufanyiwa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Sengerema waonywa dhidi ya kuunga mkono wagombea wa "Mfukoni

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema wameaswa kutojihusisha na wagombea wa "mfukoni" wanaojipitisha majimboni na kata kutafuta nafasi za uongozi kabla ya wakati rasmi wa mchakato wa chama. Katibu wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Ibrahim Kandumila, alitoa kauli hiyo wakati...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Vikundi 111 vyanufaika mkopo wa asilimia 10 wenye thamani ya Shilingi milioni 362

    Vikundi 111 vya akina mama, vijana, na wenye ulemavu katika Halmashauri ya Sengerema, mkoa wa Mwanza, vimenufaika na mkopo wa asilimia 10 kutoka kwa Halmashauri hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, akikabidhi hundi ya Shilingi milioni 362 katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake...
  17. cleokippo

    JamiiForums Tanzania machinist chini : pesa za mama samia zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani zatafunwa halmashaur ya wilaya ya sengerema

    Chanzo cha habar toka ndani ya ofis ya mkurugenzi halmashaur ya wilaya ya sengerema zinadai kwamba pesa zilizotolewa na mh rais wa jamhuri ya muungano kwa ajili ya kuwainua vijana , akina mama na wazee zinazotokana na 10% ta mapato ya ndani zimetafunwa na ofis ya mkurugenzi wa halmashauri ya...
  18. cleokippo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali imulikeni Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema pesa zinazotokana na 10% ya mapato ya ndani

    Kumekuwa na simtofaham kuhusiana na pesa zinatolewa na serikali kwa ajili ya kuinua uchumi wa vijana, akina mama , wazee na walemavu katika halmashaur ya wilaya ya Sengerema. Awali kulikuwa na tetes ya kwamba pesa hizo zingetoka kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa lakini mpaka sasa hivi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Shule ya Msingi Irunda (Sengerema - Mwanza) ina Wanafunzi 900 ila madawati yapo 60

    Kuna Shule ya Msingi Irunda ipo Kata ya Ngoma Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza inakabiliwa na upungufu wa madawati ambapo karibu nusu ya Wanafunzi hulazimika kusoma wakiwa wameketi sakafuni. Shule hiyo yenye Wanafunzi wapatao 900 ina madawati yasiyozidi 60, inapofika nyakati za Mitihani...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukatili unaofanyika kwa watoto wa shule binafsi ya EXPERANCIA (Sengerema)

    Awali ya yote napenda kuushukuru uongozi wa Jamii Forums kwa kuendelea kuruhusu kufichua maovu yanayoendelea kutendeka katika jamii zetu. Kuna ukatili wa watoto (wanafunzi unaoendelea katika shule ya binafsi (Experancia) iliyoko wilaya ya Sengerema. 1. Watoto wanapatiwa adhabu zenye kuwazidi...
Back
Top Bottom