matumaini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ametendea Haki Hatima Ya Maisha ya watanzania Kiuchumi. Hali ya Maisha ni Ya Kutia Matumaini na Nuru

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako. Maana yake ni Kuwa usalama...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidiwa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Super Sub ya Agrey Mwanri iliyofanywa na CCM itarudisha matumaini ya Wafuasi na wanachama wa CCM?

    Habari za Sabato! Baada ya kutoka church nimeingia mtandaoni. Huko nimemwona Mhe. Agrey Mwanri aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Akitoa hotuba yake ya kwanza ya shukrani baada ya kuteuliwa nafasi ya Naibu Katibu Mkuu CCM. Nimemsikiliza neno kwa neno, sentesi kwa sentensi. Amewasilisha hotuba...
  4. bless on

    JamiiForums Tanzania Jinsi simu yako inavyokuibia matumaini ya maisha bila wewe kujua

    Simu yako inaweza kuwa kifaa cha kukuungizia pesa, lakini kwa sasa ndio adui mkubwa anayefuta ndoto zako taratibu bila wewe kugundua. Unacheka nayo kila sekunde huku ikinyonya muda wako. Angalia mambo haya matano unavyojiua kiuchumi na kiakili: 1. Usumbufu wa milio ya meseji Simu inalia kila...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Serikali nayo ikiwa ni ya walalamikaji inaondoa matumaini

    Nukuu ya mazungumzo ya kwenye video "Wapinzani wanailaumu Serikali, wanalaumu mifumo, wanalaumu mahakama, wanalaumu Jeshi la Polisi, na kadhalika. Lakini wanasimama viongozi wa Serikali, wanawalaumu wapinzani, wanalaumu Diaspora, wanalaumu watu walioko nje. Hakuna anayekaa mahali pa kuleta...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Be The First To Know: Habari Njema Toka Vatican, Litania ya Bikira Maria: Imeongezwa Vifungu Vitatu vya : Huruma! Matumaini na Faraja!.

    Wanabodi, Hii ni ile the JF Advantage of "Be The First To Know", kuna habari njema kutoka Vatican City, ile sala ya Litania ya Bikira Maria ambayo huwa inasomwa kwenye Jumuiya Ndogo Ndogo zote za Katoliki kwa mwezi mzima wa May na October, imeongezwa vifungu vipya vitatu vya Huruma! Matumaini...
  7. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Sio kwa ubaya CCM tuache kuuzia wananchi matumaini huyu mtu hatoshi hata sisi tuliokua tunamtetea tunaonekana hamnazo

    Mambo ya kuuziana matumaini ni suala ambalo limechosha watu huyu mtu hatoshi hawezi kwendana na kizazi cha sasa namshauri akasome public speaking Edition six ajue namna ya kuzungumza nini kwa wakati gani. Kiongozi mkuu wa nchi anasema police wafiche clips za rushwa kweli...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hali ya Watanzania kuishi kwa matumaini kuwa ipo siku watabutua kwenye kamari inatishia Usalama wa Taifa

    Usalama wa Taifa ni nyanja pana sana. Suala la ulinzi wa pesa za nchi na wananchi linapaswa kuwa sehemu ya mkakati wa Usalama wa Taifa. Watanzania kwa ujumla wao kila siku hupoteza mabilioni ya pesa kwenye kampuni za betting wakitarajia ipo siku watalala maskini na kuamka matajiri. Siku...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuamini CCM itaboresha hali ya kisiasa 2029/2030 tofauti na ya 2024/2025 ni kujipa matumaini hewa

    Sehemu yoyote ile duniani haijawahi kutokea walioshika madaraka ya kisiasa wakakubali kuyaachia au kudhibitiwa(checked) tu bila uwepo wa mifumo huru, upinzani wa nguvu, shinikizo kali kuwaonyesha kwamba wao kuendelea kung'ang'ania hayo madaraka itakuwa ni gharama zaidi kuliko faida. Tukirijelea...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Nini utabiri wako kwenye Ripoti ya Chande? Ni kweli italeta matumaini kwa Watanganyika au mpasuko au ambao haujawahi kutokea?

    Wakuu, Mzigo unaangushwa kesho mezani, tujue nini hasa tume ya Chande imekikusanya kutokana na hadidu rejea walipewa. Toka wiki iliyopita tunaona video baada ya video za mahojiano na watu mbalimbali ikiwemo Sheikh Mkuu, Jaji Mkuu Mstaafu, watanzania baadhi, na leo watu wa media wakisema "wana...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje?

    Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje? Hata tume iseme nini kama hakuna utekelezaji na Mama akaendelea kudanganya na kujidanganya hii tume itakuwa imepoteza muda. Mtaitwa itasomwa kama ile tume ya jinai halafu hakuna utekelezaji. Hii nchi imetekwa na...
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa waeleza matumaini yake kwa Tume ya Jaji Chande

    Mtaalamu Maalum wa United Nations kuhusu haki ya uhuru wa kukusanyika kwa amani na kujumuika, Gina Romero, ameipongeza Tanzania kwa kuunda tume huru ya uchunguzi kuhusu matukio ya vurugu ya Oktoba, akisema hatua hiyo inaonyesha dhamira ya nchi hiyo kulinda haki za binadamu. Romero alitoa kauli...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu unaleta faraja na matumaini kwa watanzania

    Hakika sasa tunawaziri Mkuu mtendaji mwenye kujali kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Anancho kifanya waziri Mkuu ndicho haswa wanacho kitaka watanzania. Sasa viongozi wengine, Mawaziri, wakuu wa Mikoa ma DC pamoja na watendaji wote mnapaswa kufuata nyayo hizo ili kupunguza kero za...
  14. NGAYANIMO

    JamiiForums Tanzania Matumaini kwa wale waliokwisha kata tamaa

    MATUMAINI: katika mambo yanayokwamisha mtu kuweza kuendelea ni pale anapokutana na changamoto mbalimbali za maisha hasa pale unapokuta unashindwa kufikia malengo uliyoweka kwa wakati,hali hii moja kwa moja watu huweza kumlaumu Mungu. Inawezekana umeshapitia magumu fulani na kama hujapitia...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa upasuaji wa China waokoa mkono uliovunjika wa kondakta wa Tanzania, na kurejesha matumaini kwa familia

    Wiki tatu zilizopita, Ali Hamad Kombo mwenye umri wa miaka 31 aliamini maisha yake ya kazi na kujitafutia riziki kwa ajili ya familia yake yalikuwa ndio basi tena ghafla tu yamefikia mwisho. Kombo ambaye ni kondakta wa daladala katika wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, Zanzibar, anategemea...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China warejesha tabasamu na matumaini kwa kijana wa Zanzibar kupitia upasuaji uliobadilisha maisha yake

    Katika siku angavu katikati ya mwezi Desemba mwaka 2025, Seif Amour Rajab mwenye umri wa miaka 16 aliingia kwenye chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Lumumba iliyopo katika Kisiwa cha Unguja, Zanzibar. Ndani ya chumba hicho, madaktari wa timu ya 35 wa China huko Zanzibar walifanya kazi kwa...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka

    Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19). Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2026 katika numerolojia: Mwanzo mpya na nyota ya matumaini

    Katika numerolojia namba ndiyo siri na nguvu itawalayo maisha kama nilivyowahi kuandika juu ya mwaka 2025 ni njia ile ile ninayoitumia kuhesabu mwaka wa 2026: 2 + 0 + 2 + 6 = 10, na kisha jumlisha tena: 1 + 0 = 1. (Kwa sababu lengo ni kupata namba ukiwa katika dijiti moja "single digit") Kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  20. L

    JamiiForums Tanzania "Dhahabu ya kijani" ya Tanzania itakayooneshwa kwa mara ya kwanza katika maonesho ya uagizaji ya China kuleta matumaini na urafiki mkubwa

    Katika Mkoa wa Njombe uliopo kwenye nyanda za juu za kusini mwa Tanzania, Juliana Yotham Mwalyepelo mwenye umri wa miaka 38 anachunguza safu za miparachichi ambayo imestawi vizuri. Akiwa afisa mkuu mtendaji wa Kampuni ya Chrises Real Solutions, kila tunda kwake si kwamba analiona ni mavuno tu...
Back
Top Bottom