Mkubali ama mkatae ukweli utabaki pale pale kwamba CCM nchi imeshawashinda hii, kuna haja ya kufanya jambo 2025

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Habari zenu wana nzengo

Mimi si mwanachama wa chama chochote kile cha siasa na wala sio mwana siasa

Nimeandika kama Mtanzania mzalendo mwenye mapenzi ya dhati na nchi yangu

Siku zote waswahili wanasema usipende kukaa na dukuduku moyon hivyo bas dukuduku langu nimetafuta sehemi ya kulitolea

Humu jukwaan kulikuwa na vihio wengi sana waliokuwa wakimsifia sana mama yetu kuwa anaupiga mwingi, cha ajabu leo hii nashangaa sana kuona vihio hao wameshapoteana ma hii ni kutokana na picha kubwa wanayoiona hivi sasa.

Ukweli ni kusema jaman, kwa sasa haka ka nchi kanapitia kipindi kigumu sana, yaan uku mitaan hali ni tete

Bila shaka hawa tunaowaita bora viongoz wanajua kila kitu kinachoendelea uku mitaani ila wanajifanya wamevaa earphone & pod masikion mwao

Umeme tabu, maji tabu, afya hamna kitu, mfumko wa bei ndio usiseme.

Sasa hiv uku kwetu kg 1 ya sukar ni 4500 sasa hii nchi inakwenda wapi?

Sasa hv hata yale mabandiko ya kumlashifu mwenda zake yaliyokuwa yakiandikwa kila kukicha mitandaon hatuyaon maana yake wale waliokuwa wakipingana na falsafa zake wameanza kumkubal

Watanzania wamekuwa watu wa kulalamika tu kila siku lakiz viongozi wapo kimyaaaaaa.

Ifikia wakati watanzania tuamke tuache upompopo ni wakati wa kufanya mabadiliko sasa vinginevyo hii nchi inapoelekea inaenda ku fail absolutely.

Since jiwe a pass, sijaone changes zozote za uyu mama alizozifanya zaid ya kukata tu mitaa mara leo yupo uku mara yupo kule uku akiacha watanzania tunapiga ving'ora life linazid kuwa gumu.

Mitaani shughuli zoooote za kiuchumi mnazozijua zimesimama kutokana ma migao ya umeme na maji, halafu litakuja lijitu kutuambia uchum umekua kwa asilimia kadhaa"

2025 ndugu zangu sio mbali sana japo mwenyezi mungu akilenda tutafika tukiwa tumechoma sana ila ni wakati wetu wa kufanya jambo
 
Naona mumejipanga kimkakati harafu unaandika kama unafukuzwa 🤣🤣

Hiyo ndio hasara ya kutumika,unaandika vitu ambavyo ni uongo na dhamira inakusuta ila Kwa vile ndio kula Yako lazima uandike.
 
Habari zenu wana nzengo

Mimi si mwanachama wa chama chochote kile cha siasa na wala sio mwana siasa

Nimeandika kama mtanzania mzalendo mwenye mapenzi ya dhati na nchi yangu

Siku zote waswahili wanasema usipende kukaa na dukuduku moyon hivyo bas dukuduku langu nimetafuta sehemi ya kulitolea

Humu jukwaan kulikuwa na vihio wengi sana waliokuwa wakimsifia sana mama yetu kuwa anaupiga mwingi, cha ajabu leo hii nashangaa sana kuona vihio hao wameshapoteana ma hii ni kutokana na picha kubwa wanayoiona hivi sasa.

Ukweli ni kusema jaman, kwa sasa haka ka nchi kanapitia kipindi kigumu sana, yaan uku mitaan hali ni tete

Bila shaka hawa tunaowaita bora viongoz wanajua kila kitu kinachoendelea uku mitaani ila wanajifanya wamevaa earphone & pod masikion mwao

Umeme tabu, maji tabu , afya hamna kitu , mfumko wa bei ndio usiseme

Sasa hiv uku kwetu kg 1 ya sukar ni 4500 sasa hii nchi inakwenda wapi?

Sasa hv hata yale mabandiko ya kumlashifu mwenda zake yaliyokuwa yakiandikwa kila kukicha mitandaon hatuyaon maana yake wale waliokuwa wakipingana na falsafa zake wameanza kumkubal

Watanzania wamekuwa watu wa kulalamika tu kila siku lakiz viongozi wapo kimyaaaaaa

Ifikia wakati watanzania tuamke tuache upompopo ni wakati wa kufanya mabadiliko sasa vinginevyo hii nchi inapoelekea inaenda ku fail absolutely

Since jiwe a pass, sijaone changes zozote za uyu mama alizozifanya zaid ya kukata tu mitaa mara leo yupo uku mara yupo kule uku akiacha watanzania tunapiga ving'ora life linazid kuwa gumu

Mitaani shughuli zoooote za kiuchumi mnazozijua zimesimama kutokana ma migao ya umeme na maji, halafu litakuja lijitu kutuambia uchum umekua kwa asilimia kadhaa"

2025 ndugu zangu sio mbali sana japo mwenyezi mungu akilenda tutafika tukiwa tumechoma sana ila ni wakati wetu wa kufanya jambo
Kama uko Dar, thihirìsha hayo kwa vitendò kesho.

Maandamano ni halali.
 
Naona mumejipanga kimkakati harafu unaandika kama unafukuzwa 🤣🤣

Hiyo ndio hasara ya kutumika,unaandika vitu ambavyo ni uongo na dhamira inakusuta ila Kwa vile ndio kula Yako lazima uandike.
Inaonekana wew ni mmoja wa wanufaika, UONGO alioongea ni upi hapo? Ungekuwa unajiingizia kipato kwa kutegemea umeme usingeponda. Watu wanalia kilasiku kuhusu Umeme&Maji afu wew unajifanya huoni shida yoyote 😐
 
Urais haupimwi Kwa matukio kama hayo ya sijui sukari nk

Swala la msingi miradi inaenda? Watumishi wanalipwa? Huduma zipo?

Amani na usalama upo?

Uchumi unakua?
 
Back
Top Bottom