Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo Tanzania, mwenye kujua taratibu za kuishtaki kampuni tafadhali anipe muongozo

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,074
1,703
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza

Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua

Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20

Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato
 
Mtafute mwanasheria popote,atakupa Cha kufanya!
 
Kwa hiyo ni wajinga kiasi hicho?
Yaani jana mil 20 imeenda,leo unataka kushitaki!
1. Wana customer care. Wamekujibu nini?
2. Wana office: umeenda ukaambiwa nini?
 
Back
Top Bottom