carwash

A car wash (also written as "carwash") or auto wash is a facility used to clean the exterior and, in some cases, the interior of motor vehicles. Car washes can be self-serve, fully automated, or full-service with attendants who wash the vehicle. It may also be an event where people pay to have their cars washed by volunteers as a method to raise money for some purpose.

View More On Wikipedia.org
  1. beatboi

    Anahitajika kijana wa Car wash haraka

    Anahitajika kijana wa Car wash haraka, Mwenye uzoefu na mwaninifu.
  2. Y

    Car wash

    Habari Wana JF. Mimi nikijana wa miaka 23 nilipambana kutafta mtaji na Sasa nimepata million nne My plan nikufungua car wash ndogo. Mkoa niliopo nimefanya uchunguzi wa pressure washer machine nimekutana na wanaotumia za LUTIAN na EASY POWER nimekuja mbele yenu wakubwa naombeni mnishauri kati ya...
  3. Jipatie Siagi ya karanga

    Karibu upate kuhifahamu Vizuri Biashara ya 'Car wash' Gharama za vifaa pamoja na faida kwa kila gari, ndogo, kubwa ,pikipiki na bajaji.

    Wakuu habari . Mimi ni kijana mtafutaji age 20s (Early) ambaye nipo natafuta fursa ya kufanya Kazi katika 'Car wash" Ila pia Endapo atapatikana MTU anahitaji kuwekeza katika huu mradi nipo tayari kufanya nae Kazi kwa makubaliano maalumu yenye tija kwa pande zote kwangu na kwake. Hivyo...
  4. aBuwash

    Natafuta eneo la Car Wash Dar

    Hello wanjamii Kwa mtu yeyote ambaye anafaham sehem ambayo ipo sehem nzurii Kwa car wash hapa JIJINI DAR es salaam anifahamishe. Kuhusu vigezo Nataka iwe sehem ambayo ipo road inafikika kirahis na mtu anaweza kujua kama Kuna biashara ya car wash. Ikiwa center itakuwa vizurii zaidi sehem ambayo...
  5. Mhina Martin

    Ushauri: Biashara ya car wash

    Wazoefu wa hii biashara naomba ufafanuzi; Niandae bajeti ya Tsh ngapi kwa ajili ya hii biashara mchanganuo wa bei ya machine na Vitu vingine vinavyohitajika. Location nzuri iweje Mambo gani ya msingi nizingatie Ili nipate location nzuri Gharama za uoshaji zikoje kwa sasa. Changamoto ya hii...
  6. djchilipo

    Nauza vifaa kwa ajili ya biashara ya kuosha Magari

    KIJANA WAKO AMEMALIZA CHUO, HANA AJIRA, Kazi ni kuzunguka tu kusalimia Ndugu, Au Kijana mwenyewe ndio Unayesoma hapa.. Umekaa Unasubiri ajira za serikali au Miujiza..? Sikiliza ndugu, PRESSURE WASHER MPYA ni KUANZIA 650,000 TU, Hiyo ni ya Petrol Na inakua Complete.. za UMEME ni kuanzia...
  7. chiziwafursa

    Ni changamoto zipi zinazikumba car wash za hapa bongo?

    Kuna jamaa aliniuliza kuna changamoto gani au kero zinakumbananazo car wash za hapa bongo kwa maana yeye alitaka siku moja aanzishe automated car wash kama hio hapo chini https://youtube.com/shorts/gp6_tX0no50?si=VHD5CWh6KZ_epVth Nikaona isiwe tabu wacha niulize huku JF labda kuna watu...
  8. B

    Naomba kujuzwa biashara ya kuosha magari (car wash)

    Habari wakuu, Naomba kwa mwenye ufaham wa biashara ya car wash,anipe Ushauri ni kiasi gani cha fedha kinatosha kuanzisha biashara ya kusha magari ya saizi ya kati? kama kutakua na mchanganua wa budget nzima itakua vizuri. Nina milioni 4 je inatosha?
  9. cleokippo

    Naomba kuuliza jaman wana sheria" hivi ni kosa kwa mmiliki wa carwash kuwauzia maji wananchi wenye uhitaji?

    Habar za usiku huu wana nzengo, mimi ni mmiliki wa carwash somewhere Kwa bahati mbaya au nzuri pale nilipoweka carwash yangu kuna shughuli kadha wa kadha za kijamii, Kwa kipindi ambacho nimeanzisha hapakuwa na shughuli yeyote ila sasa kutokana na kuendelea kwa lile eneo ndio ikapelekea uwepo...
  10. hp4510

    Nakodisha vifaa vya car wash

    Wakuu Nina set ya vifaa vyote vya kuoshea magari vipo Tu home vimekaa Sasa kama mtu anataka nimkodishe then awe ananipa % flan kila siku aje DM tuyajenge Vifaa viko Dar
  11. T

    Naomba kufahamu A,B,C kuhusu kazi ya Carwash

    Habari zenu, Ninatamani kufungua carwash lakini sijui lolote juu ya hi kazi, naomba kufahamu vitu gani muhimu vinatakiwa, mtaji kiasi gani, changamoto zake, faida zake na mambo mengine muhimu ambayo napaswa nizingatie kabla ya kufungua carwash
  12. L

    Nafasi za kazi car wash

    Laz Auto Car wash inatangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye uzoefu wa kazi ya kuosha magari. Waadilifu, wachapakazi, watiifu na wenye uzoefu. Laz Auto Car wash inapatikani Kinondoni nyuma ya Best Bites ya Namanga. Piga simu Na. 0717 26 33 77
  13. Gshtargets

    Ni mashine gani nzuri ya kuanza nayo 'Car wash' na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?

    Asalaam alaikum. Wakuu kuanzisha tenda ya "car wash". Nakuombeni ushauri ni mashine gani nzuri ya kuanza nayo na bei yake kwa sisi wa kipato kidogo?
  14. L

    Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

    Hi to everyone, and hope you're doin fine. Nimefikiria kuwa na mradi wa uoshaji magari sambamba na huduma ndogondogo nyingine kama pressure n.k badala ya kutojishughulisha kabisa. Ni mradi mdogo ila nimeupenda kwani is a free risk and have low operating cost as generally nahjtaji kuwa na: 1...
  15. D

    Tugutuke: Waosha magari (Carwash) hawana dhamana; Janga likikupata usishangae sana Trafiki na bima wakiamua kukugeuzia kibano wewe mmiliki

    Iko hivi... Wenye magari wengi tunapopeleka magari hayo kwa waosha magari (Carwash)! Haina maana sheria za usalama barabarani zinakoma ukiwa eneo la Carwash! Sheria inampa mamlaka traffic kuingia hata Carwash kukamata magari yanayosogezwa na waosha magari wasio na leseni ya udereva! Tufahamu...
  16. E

    Jinsi ya kunyamazisha watu wanaokusema eti kisa ''gari lako chafu''

    Umeshawahi kusemwa (au kuchekwa) na watu eti kisa ''gari lako chafu?'' Unawajua hawa watu. Wanapenda sana kufuatilia mambo hayawahusu. Wasione kitu na wanaanza kukosoa. Hawajui unapitia changamoto gani kimasha. Wanakosoa bila kuelewa. Je, ungependa ''kuwanyamazisha'' hawa watu wenye tabia ya...
Back
Top Bottom