Paul makonda wa joto sana, hivi zile ni nguvu zake au superstation? Arudisha matumaini mapya kwa wakazi wa jiji la miamba (the rock city)

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Maelfu ya wakazi wa jimbo la sengerema jijini mwanza leo hii walijitokeza kumlaki katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi (ccm) taifa aliyefanya ziara kwa mara ya kwanza ukanda wa ziwa tangu alipochaguliwa kuwa katibu mwenezi siku za hivi karibuni

Makonda aliweza kusimamisha shughuli za uchumi kwa masaa kadhaa ndani ya jimbo la sengerema uku akiwa ananing'inia juu ya tipa akiwa ameambatana na wabunge machachari sana akiwemo mbunge wa geita vijijin mh KING MSUKUMA pamoja na mbunge kipenzi cha wana sengerema Mh HAMISI TABASAMU a.k.a M communist au watoto wa mjin wanamuita super power.

Mh makonda aliweza kutoa matamko kadhaa wa kadhaa ndani ya jimbo hilo la sengerema ikiwemo ufunguzi wa hospitali ya wilaya pamoja na stand ndogo ya migomban

Baada ya kutoa matamko hayo wakazi wengi walimpongeza na kudai wamerejeshewa matumain mapya na mh rais kwa kuwaletea kiongozi huyo kwa madai kwamba kanda ya ziwa walikuwa hawana mtu wa kuwasemea kwa kipindi kirefu tangu alipokufa kipenzi chao rais wa awamu ya 5 mh hayat john pombe magufu:

MY take:
Makonda fanya kitu kwa wana mwanza wajivunie uwepo wako!
 
Taifa letu kwa sasa linaongezeko kubwa na watu wajinga, wapuuzi na wapumbavu. Usitegemee tupate viongozi wenye uwezo na ubunifu wa kimaendeleo. Ni ujinga ujinga tu utatawala.

Wapumbavu huwa wanasapoti wapumbavu wenzao.
 
Maelfu ya wakazi wa jimbo la sengerema jijini mwanza leo hii walijitokeza kumlaki katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi (ccm) taifa aliyefanya ziara kwa mara ya kwanza ukanda wa ziwa tangu alipochaguliwa kuwa katibu mwenezi siku za hivi karibuni

Makonda aliweza kusimamisha shughuli za uchumi kwa masaa kadhaa ndani ya jimbo la sengerema uku akiwa ananing'inia juu ya tipa akiwa ameambatana na wabunge machachari sana akiwemo mbunge wa geita vijijin mh KING MSUKUMA pamoja na mbunge kipenzi cha wana sengerema Mh HAMISI TABASAMU a.k.a M communist au watoto wa mjin wanamuita super power.

Mh makonda aliweza kutoa matamko kadhaa wa kadhaa ndani ya jimbo hilo la sengerema ikiwemo ufunguzi wa hospitali ya wilaya pamoja na stand ndogo ya migomban

Baada ya kutoa matamko hayo wakazi wengi walimpongeza na kudai wamerejeshewa matumain mapya na mh rais kwa kuwaletea kiongozi huyo kwa madai kwamba kanda ya ziwa walikuwa hawana mtu wa kuwasemea kwa kipindi kirefu tangu alipokufa kipenzi chao rais wa awamu ya 5 mh hayat john pombe magufu:

MY take:
Makonda fanya kitu kwa wana mwanza wajivunie uwepo wako!
Jinga kabisa,miaka 60 ya uhuru bado tupo masikini
 
BASHITE alichowazidi ni MAKALIO tu lakini kichwani ni ZERO
 
Back
Top Bottom