KERO Mamlaka ya maji Sengerema (SEUWASA) mmeamua kuwanywesha maji ya kisima wananchi wenu ili wapate kipindupindu vizuri?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Tumekuwa tukiwalalamikia mara kwa mara hawa mamlaka ya maji sengerema kwa kushindwa kutoa huduma stahiki kwa wananchi wao

Mbunge pamoja na wananchi wamepiga kelele weee mpaka wamechoka lakin hawaelewi sasa kama mh wazir upo humu jukwaan jaribu kuimulika uone uozo wa wafanyakazi wa idara yako

Sengerema kila kukicha kilio chetu ni maji, maji, maji

Chakuskitisha sasa kila siku maji hayatoki lakin bili zinatoka na kinachokera zaidi bili zinapotoka utapigiwa simu wewe mpaka ukome wakitaka ulipie hiyo bili, kwakifupi mamlaka wanachojua ni kudai watu walipe bili tu na sio wao kutoa huduma

Biashara za watu zimesimama, wanawapotezea watu pesa nyingi kwelkwel

Kama juzi nilikuwa na jamaa 1 hv yeye ni mkulya ni mmiliki wa carwash moja pale sengerema, jamaa alikuwa
Analalamika gar 8 zimeondoka pale kwenye carwash yake kwa kukosa maji

Sasa gar 8 ni sawa na 40 elf

Sasa mara mwezi huyo mtu wanakuwa wamemkosesha tsh ngapi?

Na je! Mamlaka inawajibikaje kwa mtu kama huyo waliyemkosesha hiyo 40 elf? Hilo ndio swali la kujiuliza

Ila kwakuwa wafanyakazi wote wa mamlaka ya maji sengerema ni vilaza hakuna hata mmoja anayewaza juu ya hasara wanazopata wafanya biashara

Pia nimeona jopo la wananchi wakichota maji ya kunywa kwenye visima kutakana na kukosekana kwa maji ya bomba

Wengi wa wananch walikuwa wakilalamika kwa kuhofia mlipuko wa ugonjwa wa kipindu pindu

Hivyo bas kama wazir wa maji upo umu jukwaan jaribu kuwasaidia wakazi wa sengerema ili waweze kuepukana na hii adha
 
Poti saasa ndo uje useme mpaka huku mura punguza taarabu
 
Back
Top Bottom