Nini tafsir ya podcast kwenye app ya spotify? Pia inatumikaje?

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Habar wakuu, mimi ni mgen kidogo kwenye matumiz ya app ya spotify

Ninachofaham ni ku search nyimbo na kuiskiliza , mbaya zaidi ninapochagua nyimbo unakuta nikii play ina play nyimbo nyingine

Ukiachana na hiyo kuna kitu kingine nimekutana nacho kinaitwa podcast sasa naomba nifahamishwe nini tafsiri ya hiyo kitu na pia inatumikaje ili kama ipo vzr na mimi wa sitimbi niweze tumia

Mwisho kabisa nahitaji kujua apple music app na spotify app ipi ipo vzr zaid? Na jeh! Apple music nayo wana free au ni kulipia tupu?

Asanten nawasilisha
 
Podcast inakuwa kama kipindi cha redio, watu wanaongea mambo fulani, mara nyingi na wataalam, au hata marafiki tu, kutegemea na maudhui.

Kwa hiyo mara nyingi ni maongezi tu, si muziki.

Mimi nina download podcasts kwenye gPodder. Nyingi ni za habari, sayansi, historia, mazingira, vitabu.

Ukifuatilia podcast nzuri unaweza kuelimika sana.

Juzi nilikuwa nasikiliza podcast ya Empire, episode moja, ya 49 kama sikosei, walikuwa wanaongelea historia ya mgogoro wa Waisraeli na Wapalestina. Wameelezea historia ya mgogoro vizuri sana.

View: https://open.spotify.com/episode/67Mz5XslS4pPwGtIfGoyYJ?si=Y-IR25ocSQ6OfZFxV0n2HA

Kwa hiyo, kama unapenda vitu fulani, unaweza kutafuta podcast yake ukafaidika.
 
Inaweza kuwa kipindi cha redio au tv kilicho katika mfumo wa sauti kikawekwa kwenye internet ili usikilize au udownload.
Au yanaweza pia kuwa mahojiano au majadiliano ya mada fulani au mafunzo pia
 
Sante sana kwa ufafanuzi mzur mkuu, hapo nimekupata

Na hiyo gpodder ni dowloader au kitu gan?
 
ivi ule mpira wa simba na yanga wa goli 1-5 naweza upata huko
 
Inaweza kuwa kipindi cha redio au tv kilicho katika mfumo wa sauti kikawekwa kwenye internet ili usikilize au udownload.
Au yanaweza pia kuwa mahojiano au majadiliano ya mada fulani au mafunzo pia
Sante
 
Sante sana kwa ufafanuzi mzur mkuu, hapo nimekupata

Na hiyo gpodder ni dowloader au kitu gan?
Yeah.

gPodder ni downloader lakini pia ina player na management interface. Ukishapata podcast yako unayoipenda kwa mfano, unaweza kuiunga kwenye app kama gPodder (zipo app nyingi tu tofauti) halafu ukawa una download kila wakitoa episode mpya.

Sasa mimi napenda sana kusikiliza habari BBC, CNN etc na mambo ya sayansi, siasa, historia, movies, books etc,.

Mara nyingine unaweza kusikia habari halafu ukasema utaifuatilia, ukakuta imeondolewa mtandaoni, kwa hiyo niki download zile clips kwenye gPodder nakuwa nazo mwenyewe.

Lakini kama hutaki ku download unaweza kusikiliza online tu kama kwenye Spotify, kama kwenye link ya juu ya Empire (post #2 ).

Kuna kila aina ya topic, sayansi, historia, uchumi kujifunza lugha, you name it, you will find it.

Wiki mbili zilizopita nilikuwa naangalia podcasts za Tanzania nikakuta mpaka Ikulu wana podcast yenye hotuba za Rais Samia, walikuwa wameweka mpaka speeches za ziara yake Zambia.
 
Habar wakuu, mimi ni mgen kidogo kwenye matumiz ya app ya spotify

Ninachofaham ni ku search nyimbo na kuiskiliza , mbaya zaidi ninapochagua nyimbo unakuta nikii play ina play nyimbo nyingine

Ukiachana na hiyo kuna kitu kingine nimekutana nacho kinaitwa podcast sasa naomba nifahamishwe nini tafsiri ya hiyo kitu na pia inatumikaje ili kama ipo vzr na mimi wa sitimbi niweze tumia

Mwisho kabisa nahitaji kujua apple music app na spotify app ipi ipo vzr zaid? Na jeh! Apple music nayo wana free au ni kulipia tupu?

Asanten nawasilisha
Ukitaka cha bure ni ViMusic tu, nayo utaila wake mpkaa VPN ndo ui access make wanatumia YouTube music library, so mahali ambapo hakuna youtube music huwezi access bila VPN.
 
Back
Top Bottom