cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,072
- 1,697
Habar za majukumu wana jamvi,
Kwa wale wataalamu wa pc msaada wenu plz
Nimenunua pc aina ya hp 450, wakati nainunua pale dukan , niliiangalia betri yake ili niweze kujua kwamba inakaa na chaji?
Ilinionesha kwamba chaji inakaa masaa matatu na dk 40. (03:40)
Lakini baada ya kufika om na kuanza kuitumia nikagundua chaji inaisha ndani ya lisaa limoja
Sasa mpaka wakati huu nashindwa kuelewa, nini kinapelekea chaji kuisha ndan ya muda mfup wakati inaonesha ni masaa 3;40?
Mwenye uelewa kidogo juu ya changamoto hii anisaidie tafadhal