CRDB Bank na makato ya matumizi ya kadi za ATM

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana, last two weeks nilienda kuangalia salio la acc yangu crdb bank, nikakuta sehemu flan ya pesa imepungua nikakaa kimya

Leo hii tena tar 14 nikasema niangalie tena salio nikakuta pia sehemu ya pesa imepungua, uzalendo ukanishinda ikabid niwapigie huduma kwa wateja

Walipopokea tu simu yangu wakaniuliza jina langu , acc no yangu & wapi nilifungulia acc

Niliwajibu kwa unyenyekevu mkubwa, baada ya kuwajibu wakanihoji kutaka kujua ninashida gan

Nikawaelezea changamoto zangu, ikabid waingie kwenye acc yangu ku check balance,

Jibu walilonipa hata sikuridhika nalo kwakwel , waliniambia bank wamenikata kumi na saba elf (17000)

Waka ainisha kuwa 15000 ni makato ya uendeshaji wa kadi ya bank ya kila mwaka , tafsiri yake ni kwamba ile atm card kila mwaka tunakuwa tunailipia 15000

2000 ni makato ya mwezi jumla ikawa 170000

Nilipohoji kutaka kujua tafsir ya uendeshaji wa kadi wa kila mwaka ni kitu gani, yule mtoa huduma akanijibu kwamba "

Zile card ( tembo card) wao crdb walifadhiliwa na mfadhili kwa makubaliano watakuwa wanamlipa taratibu taratibu kwahiyo sasa makato tunayokatwa sisi ndio pesa anazolipwa yule mfadhili sasa hamuoni kama hawa jamaa matapeli?

Nikaenda mbele zaid kwa kumhoji yule mtoa huduma, kwamba crdb walipoweka mkataba na uyo mfadhili wa card kwamba watawalipa taratibu taratibu walitushirikisha sisi wateja ambao ndio tumebeba jukumu la kulipa hizo pesa kwa wafadhili? Akakata na simu

Sasa ndugu zangu wenye acc pale crdb bank ambao mlikuwa hamjui kama nilivyo mimi,

Mkae mkijua sasa kuanzia nilipoweka bandiko hili, kila mwaka mtakuwa mnakatwa 15 elf kwa ajili ya kuwasaidia crdb kulipa deni waliloingia kwa huyo mfadhili aliyewatengenezea card

Kwahiyo mteja ni mkubwa kuliko taasisi na ndio maana amebeba jukumu la kuilipia den bank

Wakati kwenye mkataba wao sina hakika kama walisaini kwamba hilo deni atalilipa mteja

Hapo ndio nikaamin kweli crdb ni bank ya kitapel

Maana yake sasa, ukiwa na acc miaka 30 ndan ya crdb utakatwa 15000 mara miaka 30 sasa ebu assume tanzania nzima hao crdb wana wateja wangap? Sasa 15 elf mara wateja wa tanzania nzima watakuwa wanakata tsh ngapi na den kwa uyo mfadhili wao wa card litakuwa kias gan mpaka kila mwaka wakate 15 elf kwa kila mteja

Kesho tar 15 naenda kutoa pesa yangu yote

Majizi makubwa yale,

Nilimuuliza yule mtoa huduma kwamba mmeshawaelimisha wateja wenu kwamba kila mwaka mtakuwa mnawakata 15 elf kwa ajili ya uendeshaji wa kadi akanijibu hapana

Nikamuuliza hamuoni kama mtakuwa hamuwatendei haki akakaa kimya

KWahiyo narudia tena na tena, kwa wale wateja wenye acc pale crdb inatakiwa mfaham kila mwaka mtakuwa mnailipia card tsh 15 elf msije mkakatwa mkaanza kushangaa

Mi mwenzenu nimeshajitoa mapema sitaki pesa yangu ikatwe eti kwa akili ya kulipia den la taasis huo ni upuuzi
 
Hivi unakumbuka kipind magu kapitisha tozo za mabenki kutokana na wingi wa miamala Kuna watu walikatwa Hadi mil. 10 kwenye account zao kwny mkupuo mmoja.

Mimi mwnyw nililambwa 882,000 na bado sikuhama benki.

Elfu 2 kwa mwezi kuendeshea account unalalamika mkuu?

Hivi Ulishawai kujiuliza wenye account za biashara huwa wanakatwa Bei gan ili kuendeshea account zao kila mwezi?
 
Hizo ndo bank charges zenyewe Mkuu.. gharama wanazotutoza bank kama interest,bank charges,loan fee,bima kwao ni faida ...bank charges zipo Kila bank Duniani
 
Minalijua hili mbona hua wanakata 18,000 Kwa mwaka, hivi 18000 Kwa mwaka inamkimbiza mtu Bora aweke TIGOPESA sasa
Kiongoz inatakiwa uwe mwelewa kidogo, inabid ufaham hiyo 18 unakatwa kwa sababu gan?

Sasa mimi nimeuliza kwanini nakwatwa 15 kila mwaka wakanijibu hivi"

Hiyo 15 ninayokatwa nawalioia den crdb wanalodaiwa na mfadhili aliyewatengenezea card

Sasa ndio najiuliza kama deni ni la crdb na crdb wenyewe wapo kwanini nilipe mimi?

Walinishirikisha kwamba wanaomba niwasaidie kulila mpaka waamue tu kwamba mm ndio niwalipie?
 
Hizo ndo bank charges zenyewe Mkuu.. gharama wanazotutoza bank kama interest,bank charges,loan fee,bima kwao ni faida ...bank charges zipo Kila bank Duniani
Chaji za bank zinafahamika kulingana na aina ya acc

Sasa ile sio chaji ya bank lile ni den ambalo crdb wanadaiwa hivyo wao wamejivua wanawaangushia wateja

Crdb ni ile ya charles kimei tu. Huyu mkurugenz wa sasa no utapel mtupu

Sasa bank inakosa hata pesa ya kutengenezea card mpaka wanaamua kuunga unga

Kila siku pesa zetu zinapotea
 
Hivi unakumbuka kipind magu kapitisha tozo za mabenki kutokana na wingi wa miamala Kuna watu walikatwa Hadi mil. 10 kwenye account zao kwny mkupuo mmoja.

Mimi mwnyw nililambwa 882,000 na bado sikuhama benki.

Elfu 2 kwa mwezi kuendeshea account unalalamika mkuu?

Hivi Ulishawai kujiuliza wenye account za biashara huwa wanakatwa Bei gan ili kuendeshea account zao kila mwezi?
Kaka mbona unashindwa kunielewa? Una fail wapj wewe deepond?

Nimekwambia hiv tafsir ya pesa niliyokatwa mimi ni kuwalupia den crdb sijui kama umenielewa

Sijazungumzia pesa ya mwez kwa ajili ya ku mentain acc yangu

Tafsir ya makato ya mwez naifaham na siilalamikii hiyo

Ninacho claim mm kwanini niwalioie den crdb wakati wenyewe wapo na kama mkataba malipo walifanya wao wenyewe
 
Back
Top Bottom