Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja...
Ni jambo la kushangaza unapopita mitandaoni kukutana na matangazo ya kampuni zinajinadi kuuza viwanja vya SQM 200, 300 nk, katika maeneo mbalimbali nje ya Jiji. Tena, mbaya zaidi wanaviuza kwa vipimo vya futi. Hivi kweli tunaruhusu viwanja vya SQM 200 miaka hii? Je, haya makampuni hayana...
Bado sijaelewa kama hawa wachezaji wa Simba wana kazi nyingine zaidi ya mpira au namna gani? Bado wachezaji wetu wanafanya makosa madogomadogo na wanakosa seriousness.
Bado wachezaji wetu wanaendelea kuwa na tatizo la ball control, possession ya mpira kwa wachezaji bado shida.
Pass accuracy...
Hakuna ubishi kuwa CHADEMA iliishi maisha ya mateso sana mara baada ya uchaguzi wa Rais 2015. Hakuna rangi ambayo hawakuiona, kuanzia chama chenyewe hadi wanachama na viongozi wake. Tunaopenda na kujali utu, tulisikitishwa sana na mateso waliokuwa wakiyapata CHADEMA. Waswahili wanasema Mungu si...
Mateso yanaendelea kwa sisi wana Msimbazi. Mpira unaochezwa na hii Simba U-20 ni kichefuchefu. Benchi la ufundi la timu hii pia liangaliwe. Timu ni Mbovu sana. Haijui kila kitu uwanjani. Wanarukaruka tu.
Salam ziwafikie
Binafsi nikiri kwamba sijauona huo unaoitwa Mkataba au MOU (Intergovernmental Agreement, IGA) hivyo siwezi kutoa hoja zozote za kitaalam ikiwa mkataba au hiyo MOU ni nzuri au mbaya. Hata hivyo, kwa kuzingatia watanzania hawa wa leo, ambao walikaa miaka 10 chini ya uongozi wa Mhe. Jakaya Kikwete...
1. Biashara ya kuuza vocha za simu;
2. Biashara ya vibanda vya kupiga simu;
3. Biashara kutembea na Camera kupiga picha;
4. Biashara ya Disco vumbi;
5. Biashara ya Kuonesha Video (VHS);
6. Kusoma mita za Umeme (japo hii haikuwa biashara bali ajira)
7. Biashara ya kuchezesha Joyce Wowowo;
Ongeza...
Kwa kipindi cha miezi 12 iliyopita, nchi ya Senegal imeonyesha outstanding performance katika mchezo wa Soka Barani Afrika. Senegal ni:-
1. Mabingwa wa Kombe la Mataifa Afrika,
2. Mabingwa wa Kombe la Africa kwa wachezaji wa ndani,
3. Mabingwa wa Kombe la Soka la Beach kwa Afrika,
4. Sadio Mane...
Bila shaka, kijana mdogo Mohamed Mussa ni hazina. Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Simba katika dirisha dogo kutoka Malindi ya Zanzibar alikuwa kwenye kiwango bora sana katika Ligi ya Zanzibar na mashindano ya Mapinduzi. Binafsi huwezi kunishawishi kuwa Kibu Dennis ni bora kuliko Mohammed Mussa...
Mo Ibrahim Leadership Prize ni tunzo anayopewa kiongozi msataafu aliyetumikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi miongoni mwa nchi za Kiafrika, na katika uongozi wake aliheshimu na kuruhusu demokrasia, akasimamia utawala bora na kuondoka madarakani kwa kuheshimu mihula ya kiuongozi na kukabidhi...
Tangu niijue na kuifuatilia Simba sijawahi kuona kikosi kibovu cha Simba kama kilichocheza juzi na Mlandege. Haijawahi kutokea hata Simba B ikawa hovyo kiasi hiki.
Kocha Mgunda pamoja na kukerwa na namna walivyocheza, leo wamekichezesha kikosi kilekile isipokuwa Kibu tu. Watoto ni watoto tu...
Ni nini kimetokea mbona Simba Queens imekuwa timu mbovu ghafla? Ni huyu Kocha mpya au kuna tatizo la kiungozi? Ukiitizama Simba Queens hii na ile iliyofuzu Klabu Bingwa (siyo iliyocheza klabu Bingwa) utaona gap kubwa. Wachezaji wazito, hawako motivated, sio wakakamavu na hawako kiushindani...
Ni dhahiri kwamba hakuna timu ya Afrika itakayoweza kuingia hatua ya mtoano kwenye michuano inayoendelea ya Kombe la Dunia. Si kwasababu hawana wachezaji wazuri, hapana. Ni kwasababu ya matatizo yaleyale ya miaka yote ya timu za Afrika.
1. Lack of seriousness (kutotilia maana I)
2. Lack of...
Hakuna ubishi kwamba fursa za kilimo Tanzania ni kubwa na soko la bidhaa za kilimo duniani ni kubwa na la uhakika na pia halina dalili za kufifia kutokana na ongezeko kubwa la idadi ya watu.
Hata hivyo soko la bidhaa za kilimo duniani linahitaji vitu vitatu.
1. Bidhaa zenye ubora na (Quality...
Katika Fainali za Kombe la Dunia 1994, kikosi cha Colombia kikiwa na wachezaji mahiri kama akina Faustino Aspirilla, kilitolewa hatua za mwanzo bila matarajio ya wengi baada ya kufungwa 2-1 na Marekani kufuatia Goli la kujifunga la Andres Escobar.
Siku chache baadaye, Andres Escobar alipigwa...
Kufungwa kwa Simba katika Derby ya jana ni makosa ya wazi yaliyofanywa na Kocha Maki Zoran.
Aelewe tu kwamba wana Simba ni heri tufungwe na Namungo kuliko kufungwa na Yanga. Namungo wakitufunga chakula kinalika na hata kile chakula Kikuu kinalika fresh tu pia. Ila ikifungwa na Yanga haijalishi...
Miongoni mwa mambo makubwa atakayokumbukwa nayo Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete ni ujenzi wa shule za Kata na Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Licha ya changamoto zilizopo, bado wazo la ujenzi wa shule ya sekondari kila kata limekuwa na msaada mkubwa kwenye jamii tofauti na huko nyuma...
Tuwe wakweli, Simba haina consistence kwenye uchezaji kiasi sisi kama mashabiki wa Simba kea msimu huu tunaishi kwa matumaini zaidi kuliko tunavyopaswa tuishi. Simba inaweza kucheza mpira kwa kiwango cha juu sana katika game A lakini ikaja kucheza mchezo mbovu usio mfanowe kwenye game B. Hili ni...
Nianze kwa pongezi kwa Mheshimiwa Rais Magufuli kwa uthubutu na hatimaye kuwaweka katika meza ya majadiliano Kampuni ya Barrick kujadiliana juu ya rasilimali zetu za madini. Hapana ubishi kwamba Makampuni haya ya kimataifa yamekuwa yakitumia udhaifu wetu katika kuvuna utajiri tulio nao. Na hili...
Wanajeshi wamesambazwa katika viunga vya mji wa Juba kufuatia wananchi kuingia Barabarani kupinga hali mbaya ya uchumi nchini humo. Katika kipindi cha mwaka mmoja Pound ya Sudan Kusini imeshuka kutoka Pound 3 kwa $1 hadi pound 200 kwa Dola 1.
News zaidi zinafuata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.