Simba Msiharibu Kipaji cha Mohamed Mussa Mliyemsajili kutoka Malindi ya Zanzibar

Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
5,507
7,511
Bila shaka, kijana mdogo Mohamed Mussa ni hazina. Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Simba katika dirisha dogo kutoka Malindi ya Zanzibar alikuwa kwenye kiwango bora sana katika Ligi ya Zanzibar na mashindano ya Mapinduzi. Binafsi huwezi kunishawishi kuwa Kibu Dennis ni bora kuliko Mohammed Mussa.

Kitendo cha Simba kutompa nafasi takribani mechi zote za Ligi hadi sasa ni kuandaa mipango ya kuua kipaji cha kijana huyu. Nashauri mtumieni kijana huyu atakuja kuwa msaada mkubwa tofauti na mnavyomfanyia Sasa.

Jifunzeni kwa Yanga ambapo wachezaji karibu wote hupewa fursa ya kuonesha kipaji chao.
 
Simba hawanaga huo muda...pale kulikuwa na sample ya hao wachezaji wengi...mwisho wakajiondokea wenyewe
 
Kusema kwel I yule Kibu Denga ipo siku nitaenda na mfuko wa kinyesi nimrushie. Kenge anakera sana yule. Ndo maana hata Sakho alichukia sana alipofanyiwa sub kumpisha Kibu kwenye game ya FA dhidi ya Coastal Union.
 
Embu kwanza tumuongelee Baleke. Mbona anafunga magoli magumu sana?

Huyo Mzanzibari atacheza sana tu hapo Simba ngoja Feisal aje.
 
Back
Top Bottom