South Sudan Kimenuka:Hali Mbaya ya Kiuchumi Wananchi Waingia Barabarani

Dan Zwangendaba

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
5,729
7,977
Wanajeshi wamesambazwa katika viunga vya mji wa Juba kufuatia wananchi kuingia Barabarani kupinga hali mbaya ya uchumi nchini humo. Katika kipindi cha mwaka mmoja Pound ya Sudan Kusini imeshuka kutoka Pound 3 kwa $1 hadi pound 200 kwa Dola 1.

News zaidi zinafuata.
 
Hivi kwanini pamoja na neema zote hizo waafrika tunashimdwa kutumia rasilimali zetu kwa manufaa ya wote bali matumbo ya baadhi tu
Hii inakera kwa kweli
 
Back
Top Bottom