mwanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukawa mzinzi alafu ukawa mwanaharakati kuponda ushoga. Ushoga ipo ndani ya uzinzi yaani ni sub section.

    HUWEZI UKAWA MZINZI ALAFU UKAWA MWANAHARAKATI KUPONDA USHOGA. USHOGA IPO NDANI YA UZINZI YAANI NI SUB SECTION. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Angalizo: andiko hili limeandikwa kwa lugha na maneno magumu kidogo. Hivyo kama wewe sio mvumilivu na haupendelei maneno magumu Mtibeli anakushauri...
  2. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Yupo Wap Mwanaharakati Fatuma Karume ( Shangazi)?

    Huyu Dada alisifika sana kuwa mpigania Haki, Uhuru leo hii asikiki tena. Mwenye kufahamu Alipo Huyu Bibie Atujuze. Kuna nyakati wafuasi wa Chama Fulani walimtikuza sana na kumpambania Kuwa Kiongozi wa Chama cha Wanasheria TLS. NB: Sio Kila Mwanaharakati Upigania Uhuru, Haki , Demokrasia...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania chini ya Samia, imewakabidhi DRC Mwanaharakati Denise Dusauchoy ili akanyongwe. Ni mkosoaji wa Felix Tshisekedi

    Picha za kwanza za Denise Dusauchoy akiwa nchini ya ulinzi #Kinshasa -Kongo Huyu alikamatiwa akiwa uwanja ndege katika Kilimanjaro tarehe 30 Agosti kufuatia hati ya kukamatwa kwake iliyotolewa serikali ya Kongo Denise Dusauchoy Mukendi mwanaharakati kupitia mitandao ya kijamii alikuwa...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanaharakati Mange Kimambi aiburuza mahakamani kampuni ya META

    Pia Soma: Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi
  5. M

    JamiiForums Tanzania DRC yathibitisha Tanzania kumkamata Mwanaharakati Denise Dusauchoy na kutoa shukrani

    Wizara ya Sheria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetoa taarifa rasmi ikithibitisha kukamatwa kwa Denise Dusauchoy nchini Tanzania tarehe 30 Agosti 2026 kupitia ushirikiano wa kisheria wa kimataifa. Muhtasari wa Taarifa Rasmi ya Wizara: Eneo na Tarehe: Mtuhumiwa alikamatwa tarehe...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Julius Kamau Ajifunga kwa Minyororo Jogoo House, Amtaka Inspekta Jenerali Wa Polisi Douglas Kanja Ajiuzulu

    Kulikuwa na mvutano nje ya Jogoo House, Nairobi, Jumatatu, Agosti 17, 2026, baada ya wanaharakati kuandamana wakimtaka Inspekta Jenerali wa Polisi, Douglas Kanja, ajiuzulu. Waandamanaji hao, wakiongozwa na mwanaharakati Julius Kamau, walifika katika lango la Jogoo House wakitaka uwajibikaji...
  7. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Heko mkoloni kwa kutomuona Mwanaharakati Mwl. Nyerere ni gaidi

    Busara zenu na uungwana wenu ndio uliotuwezesha kupata uhuru, nyie mlimuona ni mwanaharakati wa kudai uhuru wa nchi yake na si gaidi na hamkuona sababu ya kumvamia kwenye kakibanda kake ka pale Mwitongo Butiama na Magomeni Mikumi ili auawe, heko kwa hilo.
  8. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Malisa GJ adaiwa kutelekeza wanae watatu

    Mwanaharakati maarufu katika kusaidia watu wanaoishi kwenye mazingira magumu, Malisa GJ, anadaiwa kutelekeza wanae watatu aliozaa na mkewe wa ndoa Doreen. Kwa mujibu wa Doreen waliyeachana zaidi ya miaka 3 na Malisa GJ hajawahi kupeleka matumizi wala kutaka kuwaona. GJ ni maarufu kuchangisha...
  9. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati ni nani, je ni gaidi, kama inavyotajwa katika mikutano ya Umma? Maana, Sifa na Nafasi ya Mwanaharakati Katika Jamii

    Katika kila jamii duniani, maendeleo na mabadiliko makubwa hayaji bila watu wenye ujasiri wa kuuliza maswali, kusimamia haki, na kupigania kile wanachoamini kinaweza kuleta maisha bora kwa wengine. Watu hawa huitwa wanaharakati. Mwanaharakati ni mtu anayejitolea kusimamia, kutetea au kupigania...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Barnabas Nyalusi: Gen Z wanaaminishwa kuwa Mwanaharakati ni vibaya

    Mjumbe wa Baraza la Uongozi Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS), Barnabas Nyalusi, ameeleza jinsi dhana ya uanaharakati inavyopotoshwa na kukandamizwa nchini, akibainisha kuwa vijana wengi wa kizazi cha Gen Z wameaminishwa kwamba kuwa mwanaharakati ni...
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania Yawezekana CHADEMA hawajaelewa nguvu waliyo nayo! Waache kusikiliza kila mwanaharakati, Chama makini mambo yao uamriwa ndani wala si watu wa nje,

    Kuna haka ka Tabia ka kubeza nguvu na sacrifice za watu! Hasa jasho kwenye vyama! Naona CHADEMA mmeanza kujisahau kisa tu mtu mmoja ambaye anataka ambition zake zitimie Mimi ni CCM mfu niwe wazi, ila Ninapenda kuona CHADEMA ikiendelea kuimarika zaidi na zaidi kwa kuwa ndo chama mbadala, achana...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Harakati ni kupambania yale ambayo yanaonekana hayako sawa

    HARAKATI siku zote huwa zina lengo la kupambania yale ambayo tunadhani hayako sawa kwenye jamii na yale ambayo tunadhani yalitakiwa kufanywa kwa mtazamo mwingine kabisa na huwa zinakuwa na lengo la kuikumbusha serikali au watawala juu ya mambo fulani fulani. HARAKATI haiwezi kugeuzwa kuwa ni...
  13. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Ruge kwenye club house anadai hali siyo nzuri huko. Adai Mafwele kasema hataenda chini pekee yake

    Kuna Mwanaharakati maarufu Mtanzania anayeishi Marekani anaongeaga sana kwa fujo na kufokafoka Rugemarila ama kaka Ruge kwenye mtandao wa kijamii wa club house na tiktok anadai Mafwele katishia hatakubali kwenda chini pekee yake atamwaga ugali na mboga. Jamaa anadai kapenyezewa hii habari na...
  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kumteka mwanaharakati wa Tanzania wafikishwa mahakamani Nairobi

    Nairobi. Dereva raia wa Kenya, Nelson Wanjohi Kirika mkazi wa Kenya anayeishi nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai na Aziz Hama raia wa Tanzania, leo Machi 6 wamefikishwa mahakamani jijini Nairobi kwa tuhuma za kumteka nyara Mtanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza na kumsababishia majeraha mabaya...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaharakati Maria Hazungumzii sakata la mafaili ya Epstein?

    Wadau wa mtandaoni wanajiuliza sana kuhusu ukimya wa wanaharakati wa kijamii na kisiasa. Je kwanini mwanaharakati huyu hazungumzii kuhusu files za Jeffrey Epstein??
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwandambo: Mimi ni mzalendo sijiiti mwanaharakati ninaumia na mambo yaliyopo

    Mimi ni mzalendo sijiiti mwanaharakati ninaumia na mambo yaliyopo maana yake unakuta katika nchi ya Tanzania walioajiriwa serikalini wanajikuta mabosi wa wananchi" Hayo ameyasema Clemence Mwandambo wakati akihojiwa na Jambo TV akieleza kuwa moja ya mambo ambayo yamekuwa yakimuumiza ni waajiriwa...
  17. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Tulipofika Tanzania, mtu akiwa na mawazo tofauti anaitwa ‘Mwanaharakati’

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema tulipofikia katika taifa hili kila aliye na mawazo tofauti anaitwa Mwanaharakati.
  18. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Account za Mange Kimambi na Wananchi Forum zote zimefutwa Instagram. Inafurahia mauaji ama kweli mnyonge Hana haki duniani

    wamefuta
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tuache lawama kwa baadhi ya Celebrities kama kina Millard , Bila kuwa mwanaharakati huwezi vita dhidi ya system

    Wengi wetu tumeshuhudia jinsi baadhi ya celebrities hasa wasanii na wanamuziki walivyokuwa wakishiriki si tu kwa kuonyesha mapenzi yao ya kisiasa kwa upande flani, bali pia wakivuka mstari kudhalilisha na kukebehi wananchi walio upande wa upinzani. Hata hivyo, kuna kundi la celebrities ambao...
  20. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Ushahidi na Maneno ya mwanaharakati mzalendo Mdude Nyagali UTAISHI MILELE ukisubiri siku MAHAKAMA ikiwa HURU na HAI

    Katika jambo moja nitamsifu siku zote ni kuhakikisha alikuwa anadocument kila kitu alichopitia na kuwataja wahusika waliyo nyuma ya hayo matukio yote. Kuna mara nyingine alishare kupitia maandishi vitabu, posts za mitandaoni, mara nyingine alifanya kupitia Videos ambazo pia alishare...
Back
Top Bottom