Mataifa ya Afrika ambayo yatakuwa na uwakilishi wa vilabu vinne kwa msimu wa 2022/23 michuano ya CAF

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.

β€’ Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ
β€’ Angola πŸ‡¦πŸ‡΄
β€’ Congo DR πŸ‡¨πŸ‡©
β€’ Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬
β€’ Guinea πŸ‡¬πŸ‡³
β€’ Libya πŸ‡±πŸ‡Ύ
β€’ Morocco πŸ‡²πŸ‡¦
β€’ Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬
β€’ South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦
β€’ Sudan πŸ‡ΈπŸ‡©
β€’ Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
β€’ Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³
 
Sjui yanga huwa wapoje huwa hawatamani kucheza kabisa na simba,wakiwa na mechi na simba watatafuta visingizio mpaka basi ni sheria tu lakin wanataman wawe wanacheza ligi bila kukutana na simba,ushindani na simba hawataki kabisa

Eti hadi nani zaidi nayo wamejitoa yaani kama mademu vile kususa susa ndo tabia yao,kule zanzibar waliwahi kutoonekana uwanjani,hapo mkapa napo walishafanya ujinga yaan haya majinga yanadidimiza sana huu mpira na hayataweza ileta hii heshima
 
β€’ Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³ .

Sharti ni kwamba Simba SC ndiyo itachagua Timu za Kumsindikiza Kumuwakilisha na tayari tumeshazichagua kuwa ni Azam FC, Namungo FC na Geita Gold FC na wale mliobakia mnaweza ttu mkazungumza na Wachezaji wenu Wanamuziki wawaalike Kwao mkacheze Ndombolo na akina Koffi Olomide, Fally Ipupa na Ferre Gola sawa?
 
Boss, hii si habari njema sana kwa "walamba asali", nisaidie taarifa zaidi, klabu bingwa Africa?
 
Sjui yanga huwa wapoje huwa hawatamani kucheza kabisa na simba,wakiwa na mechi na simba watatafuta visingizio mpaka basi ni sheria tu lakin wanataman wawe wanacheza ligi bila kukutana na simba,ushindani na simba hawataki kabisa

Eti hadi nani zaidi nayo wamejitoa yaani kama mademu vile kususa susa ndo tabia yao,kule zanzibar waliwahi kutoonekana uwanjani,hapo mkapa napo walishafanya ujinga yaan haya majinga yanadidimiza sana huu mpira na hayataweza ileta hii heshima
Huyu jamaa kilaza sana. Lete takwimu za mechi tano za mwisho za simba na yanga hapa uone nani bubusa
 
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho.

β€’ Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ
β€’ Angola πŸ‡¦πŸ‡΄
β€’ Congo DR πŸ‡¨πŸ‡©
β€’ Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬
β€’ Guinea πŸ‡¬πŸ‡³
β€’ Libya πŸ‡±πŸ‡Ύ
β€’ Morocco πŸ‡²πŸ‡¦
β€’ Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬
β€’ South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦
β€’ Sudan πŸ‡ΈπŸ‡©
β€’ Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
β€’ Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³ .

Sharti ni kwamba Simba SC ndiyo itachagua Timu za Kumsindikiza Kumuwakilisha na tayari tumeshazichagua kuwa ni Azam FC, Namungo FC na Geita Gold FC na wale mliobakia mnaweza ttu mkazungumza na Wachezaji wenu Wanamuziki wawaalike Kwao mkacheze Ndombolo na akina Koffi Olomide, Fally Ipupa na Ferre Gola sawa?
Popoma naona akili umeziweka mfukoni siku hizi. Kama taifa tumepiga hatua kuwa na idadi kubwa ya vilaza. Kwa taarifa yenu makolo yanga anacheza club bingwa kwa mafanikio ya kubeba kombe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom