Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa.
Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu ya kuhifadhi mkoba au simu. Sasa sijui wanategemea ukienda huko usiende na pochi? Na je simu...
Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam unapenda kutangaza kuwa itauza mali mbalimbali katika mnada utakaofanyika tarehe 10 Februari 2024, kuanzia saa 3 asubuhi. Mnada huu utaendeshwa na kufanyika UNIVERSAL AUCTION CENTRE, iliyoko karibu na Golden Resort, Lion Street, Sinza, Dar es Salaam (Angalia...
Mapema jana Ijumaa jumla ya Makombora saba yalirushwa na kufanikiwa kuingia ndani ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq.
Ubalozi huo daima huwa unalindwa na mifumo mbali mbali ya ulinzi ambayo imewekwa kwenye hali ya tahadhari, hata hivyo hikuwezekana kuyazuia makombora hayo kutua ndani ya ubalozi...
Miaka 25 baadaye, tunakumbuka milipuko ya kutisha ya mabomu katika balozi za Marekani nchini Kenya na Tanzania. Tunaheshimu na kuwakumbuka watu 213 waliopoteza maisha Agosti 7, 1998, na tunaapa kuwafikisha wahusika mbele ya sheria. Tufahamishe habari yako; unaweza kustahiki tuzo.
Ooh...
Mwanasiasa huyo ambaye ni kiongozi wa Chama cha Narc-Kenya amesema wakati umefika wa Serikali za Marekani na Kenya kuwa na mazungumzo ya mwisho kuhusu malipo hayo ya walioathiriwa na tukio lililotokea Agosti 7,1998 Jijini Nairobi.
Ameyasema hayo katika maadhimisha ya miaka 25 tangu kutokea kwa...
Ubalozi wa Marekani utauza kwa njia ya mnada wa kimtandao (online auction) vifaa mbalimbali vikiwemo samani, vifaa vya nyumbani, vifaa vya kielektroniki na magari ya serikali:
Mnada utafunguliwa ili kuona vitu vinavyouzwa siku ya Jumatatu tarehe 1 Mei kuanzia saa 00:00, na kufungwa siku ya...
Habari ndugu,
Ninaomba msaada wa kufahamu utaratibu wa kuomba tenda za kazi ndogo ndogo zinazotolewa na Ubalozi wa Marekani . Nimefuatilia kwenye website yao, lakini maelezo yao hayajitoshelezi.
Hivyo yeyote mwenye ufahamu au mwenye ndugu/rafiki/jamaa ambaye yupo Ubalozi wa Marekani ninaomba...
Rais Joe Biden wa Marekani amesema jeshi la Marekani likiwa na ndege 6 za kijeshi za kubeba mizigo limewaondoa maafisa wa ubalozi na familia zao kutoka Sudan mpaka eneo la Siri nchini Ethiopia. Akiongea na waandishi wa habari, rais Biden amesema kwamba katika harakati hizo walishirikiana na...
Nasikitika kwamba uzi wangu wa US ambassador's self help fund ulifutwa sikuelewa sababu ni zipi. Nimepata lawama sana juu ya uzi huu nimeurudisha tena uzi huu.
Vijana wenzangu ninawapenda sina wivu na mtu, mimi ni mpenda maendeleo tuchangamkie hii fursa.
US AMBASSADOR’S SPECIAL SELF-HELP FUND...
Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umeonya juu ya kuwepo viashiria vya Shambulio la Kigaidi katika maeneo mbalimbali yanayotembelewa zaidi na Raia wa Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani
Maeneo yaliyotajwa kuwa kwenye mipango ya kushambuliwa na Vikundi vya Ugaidi ni pamoja na Hoteli, Balozi...
Sasa CHADEMA mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali.
Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi.
Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.
Habari, kwa yoyeto alieomba kazi ubalozi wa marekani administaritive clerk au utillity clerk post za mwezi wa nane kuna aliyepata majibu yoyote.
Kuna yoyote status imebadilika kule kwenye account maana wengine still ipo no comment na kwawalio wahi fanya usaili au kukmba kazi ubalozi wa marekani...
Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga
Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
Salamu wakuu,
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, nikihangaikia suala la kutoka huku nchini kwetu kwenda Marekani, hatimaye leo ndio siku yenyewe ya kujua mbivu na mbichi. Nitakuwa ubalozini kwa ajili ya visa interview saa tatu na dakika 45 asubuhi hii.
Namuomba sana Mwenyezi Mungu...
Serikali ya Marekani imemtaka Rais Mteule William Ruto na washindani wake kupitia uchaguzi uliomalizika kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya nchi.
Kupitia taarifa yake, Ubalozi wa Marekani umezitaka pande zote kutatua mvutano ulioibuka juu ya Matokeo ya Urais kwa amani na kwa kufuata taratibu za...
Ubalozi wa Marekani jijini Nairobi umekanusha taarifa inayodai Rais wa Marekani Joe Biden alimpongeza Mgombea wa Azimio La Umoja, Raila Odinga kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa 5.
Taarifa hiyo pia ilionesha Biden aliwapongeza Wakenya pamoja na Tume ya Uchaguzi kwa kufanya Uchaguzi huru wenye amani...
Taarifa zinadai kuwa shambulio hilo linatarajiwa kutokea katika mji mkuu Bamako, na linalenga vituo muhimu vya Serikali na maeneo ya Umma
Tahadhari hiyo imekuja siku chache baada ya raia 22 kuuawa katika eneo la Menaka kaskazini mwa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo
Hii ni tahadhari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.