Zamani wakati wa ujinga wengi tulikuwa hatujui kuhusu hiyo Marekani tulimezeshwa kila kitu cha upande 1 wa shilingi. lakini inatia aibu kijana ambaye wazazi wake wamempeleka shule lakini leo bado yupo katika zama za ujinga bado anaona kama Marekani ndiyo kimbilio wakati ni nchi hatari hasa kwa...
Katika tamko lao Ubalozi wa Marekani umesema umesikitishwa na hatua za hivi karibuni za Serikali ya Tanzania za kuminya demokrasia
Uminyaji wa demokrasia wametaja kuhusu kukamatwa kwa viongozi wa vyama vya upinzani wakiwa katika mikutano ya ndani. Wahanga wa ukamatwaji ni viongozi 8 wa...
Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu.
Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi...
Tarehe 11/06/2020 Ubalozi wa Marekani umetoa tamko lingine linaloelezea ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 nchini Tanzania, na kuwashauri raia wake kukaa ndani na kuachana na mizunguko isiyo ya lazima. Taarifa hii inafuatia tahadhari mbali mbali ambazo imekuwa ikizitoa tangu ugonjwa...
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa tahadhari mpya ya afya na kusisitiza kuwa hatari ya maambukizi ya virusi vya corona bado ipo juu jijini Dar es Salaam.
Tahadhari hiyo iliyotolewa Jumanne jioni na kuchapishwa kwenye tovuti ya ubalozi na mitandao ya kijamii ya ubalozi huo inaendelea...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala fikirishi, elimishi na hamasishi uzalendo za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo hutolewa kwa mfumo wa maswali, makala ya leo ni kuhusu utoaji wa taarifa za Corona, COVID-19: Nani Mkweli Kati ya Serikali Yetu na Ubalozi wa Marekani...
Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.
Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
U.S. MISSION DAR ES SALAAM VACANCY ANNOUNCEMENT
The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the positions below (Kusoma Maelzo Kamili, Click links ya Job Title Unayotaka Hapa Chini):
READ MORE AND APPLY HERE!
Position Title: Shipping Assistant (Internal...
Ubalozi wa Marekani umesema Dar es Salaam ni mkoa ambao hatari ya kupata #CoronaVirus ni kubwa. Wamedai japo serikali haitoi takwimu kuhusu hilo ushahidi wa kimazingira unaonyesha wagonjwa wanaongezeka kwa kasi ndani ya Dar.
Wamedai hospitali nyingi zinahofu kutokana na ukosefu wa vifaa tiba...
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19
Ubalozi umewataka raia wake wote wanaotaka kuondoka kufanya hivyo mapema kutokana na mashirika mengi ya ndege kusitisha safari. Umesema, hadi kufikia Machi 29...
The U.S. Embassy is seeking for an individual for the position of House Manager for a senior level diplomat.
OPEN TO: ALL ORDINARILY RESIDENT (OR) APPLICANTS. MUST HAVE THE REQUIRED WORK AND/OR RESIDENCY PERMITS TO BE ELIGIBLE FOR CONSIDERATION.
OPENING DATE: March 4, 2020
CLOSING DATE...
Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa onyo kwamba magaidi huenda wakashambulioa hoteli moja kubwa nchini Nairobi.
Kulingana na ubalozi huo, hoteli iliolengwa ni maarufu kwa kuwa hutemebelewa sana watalii na wanabiashara.
''Makundi ya kigaidi huenda yanapanga njama dhidi ya hoteli moja kubwa...
Kwa kuwa USA inajali sana mambo yanayoendelea Tanzania ni vyema ikatoa pole kwa Serikali ya Tanzania baada ya kutokea maafa ya watu wapatao 40 moja ikiwa imesababishwa na mvua kubwa na jingine ikiwa ni mkanyagano wa watu wakitoka kwenye ibada(stampade).
Zitto tusaidie kuandaa barua ya kuwaomba...
Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020.
Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu.
Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine.
Hakika mwaka huu kuna makubwa...
Habari zilizojiri hivi punde ni shambulizi la maroketi mawili katika eneo la Green Zone huko Baghdad karibu na ubalozi wa USA.
Makombora hayo yamerushwa masaa kadhaa baada ya Rais Donald Trump kutangaza kwamba Iran inaonekana kusitisha mzozo wa kijeshi na Marekani.
Mpaka sasa haifahamiki...
Mzuqa wanajamvi!
Yule contractor aliyeuwawa na waandamanaji na vikundi uchwara vya kigaidi vyenye vimelea na Hezbollah na Iran katika ubalozi wa Marekani Baghdad na ambaye kifo chake kinaweza sababisha WW3. nchini Iraq alikuwa Mmarekani Muiraq ambaye alipata uraia wa Marekani mwaka wa 2017...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.