Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,983
20,631
Sasa CHADEMA mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali.

Screenshot_20230125-192319.jpg
 
Sasa Chadema mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali
Labda ni lile tishio la Musiba
 
Jmn mnaojua kingereza tutafsirien kuna hali ya hatari au!! naona neno terrorist hapo!
Ubalozi wa Marekani unasema tuwe makini na mashambulio ya kigaidi, hayo makundi ya kigaidi yanaweza kushambulia kwa kutoa onyo dogo au wasitoe kabisa, wanadai kuna dalili Dsm au maeneo mengine ya Tanzania yakashambuliwa na magaidi, maeneo hayo yanayoweza kushambuliwa ni kama hoteli, balozi, migahawa na masoko.
 
Back
Top Bottom