Ubalozi wa Marekani Iraq wapigwa kwa makombora 7. Matano mengine kwenye vikosi vyake Syria

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,921
Mapema jana Ijumaa jumla ya Makombora saba yalirushwa na kufanikiwa kuingia ndani ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq.

Ubalozi huo daima huwa unalindwa na mifumo mbali mbali ya ulinzi ambayo imewekwa kwenye hali ya tahadhari, hata hivyo hikuwezekana kuyazuia makombora hayo kutua ndani ya ubalozi huo.
Mbali na makombora hayo 7,mengine matano yalirushwa kwenye kambi za jeshi la Marekani vilivyopo Syria na maeneo mengine ya Iraq.

Kwa mujibu wa msemaji wa wa kijeshi wa Marekani ni kuwa kasi ya mashambulio kama hayo imeongezeka sana katika siku za karibu na ni kupita kiwango katika kumbukumbu za kuwepo kwa vikosi vya Marekani katika nchi hizo.

US embassy in Baghdad struck with seven mortars as attacks escalate

1702105631486.png
 
Mwanzo wa mwisho wa us pale mashariki ya kati
Ni mwendelezo wa kuporomoshwa taifa lililoleta jeuri duniani kwa muda unaozidi nusu karne.Walifika pahala wanasema ni new world order.Mwenyezi Mungu alikuwa anawaangalia tu.
Imeanza kidogo kidogo Afghanistan,Libya,Somalia,Venezuela,Ukraine na watu waliona ni mchezo. na haiwezekani.Sasa ndio anadidimia kwa kasi mashariki ya kati.Hata kujibu mapigo ya Houth wanajiuliza kwanza.
 
Hakuna kuishusha marekani hapo mashariki ya kati labda miaka 100 ijayo.
Miaka 100 tu? hata miaka 1000 bado hilo Taifa la Marekani litaendelea kutesa maana lina military army bases zaidi ya 750 duniani, ni upofu tu wa akili sababu ya dini tulizoletewa na mitumbwi enzi za ukoloni.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Haya mahaba yatakufanya akili yako isitumike sawasawa. Yatakufanya kichwa kiendelee kuwa mzigo Kwa shingo lako badala ya kuwa msaada Kwa mwili wako.
Miaka 100 tu? hata miaka 1000 bado hilo Taifa la Marekani litaendelea kutesa maana lina military army bases zaidi ya 750 duniani, ni upofu tu wa akili sababu ya dini tulizoletewa na mitumbwi enzi za ukoloni.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mbali na makombora hayo 7,mengine matano yalirushwa kwenye kambi za jeshi la Marekani vilivyopo Syria na maeneo mengine ya Iraq.
Very confusing
  1. Syria inataka kuishambulia Israel
  2. US ina ubalozi Syria
  3. US ni rafiki mkubwa wa Israel
  4. US ina ubalozi Iraq
  5. Saudi Arabia na US ni marafiki,
  6. Tunasikia Saudi anaionya Israel
HAya mahusiano yamekaaje
 
Very confusing
  1. Syria inataka kuishambulia Israel
  2. US ina ubalozi Syria
  3. US ni rafiki mkubwa wa Israel
  4. US ina ubalozi Iraq
  5. Saudi Arabia na US ni marafiki,
  6. Tunasikia Saudi anaionya Israel
HAya mahusiano yamekaaje
Kumbe na wewe umeona uongo wa huyu mvaa kobaz na mahaba kwa hiyo dini ya waarabu, watukutu....😅😅
 
Haya mahaba yatakufanya akili yako isitumike sawasawa. Yatakufanya kichwa kiendelee kuwa mzigo Kwa shingo lako badala ya kuwa msaada Kwa mwili wako.
Sasa kwanini uteseke na yasiyokuhusu, kwani unapungukiwa nini nikiwa na mahaba na USA?

Vua haraka sana huo UPUMBAVU (dini) uliouvaa kichwani mwako ili uwe na akili...

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom