mnada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU-Tabora, toeni taarifa kwa umma juu uchunguzi wa mhakiki mali (Muuzaji wa minada ya serikali ya Tabora) kuhusu kuficha baadhi ya magari

    Siku ya tarehe 26 mwezi 5, 2026 mhakiki mali wa Tabora au dalali wa Serikali ambaye ni mtumishi wa Serikali chini ya hazina kaficha baadhi ya magari taktibani 5 ya mnada uliokuwa Tabora kama Land Cruiser ya OCD Tabora (lot no 4), Land Rover puma n.k zilizokuwa kwenye mnada ambayo ni kwa maslahi...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Gari za UNHCR zitauzwa Kwa mnada Kibondo

    Gari za UNHCR zitauzwa Kwa mnada kibondo Kigoma tarehe 28/2/2026 kuanzia Saa 3 asubuhi.
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mnada wa Ubalozi wa Marekani: Fursa au Mtego kwa Mwananchi?

    Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania? Wadau wanalalamika kuwa bidhaa bora na...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yadaiwa Abdul and Company, amepewa eneo la mnada wa Karatu ajenge Hoteli ya kitalii, Mnada unahamishwa

    Umofia kwenu wakuu. Kuna taarifa za kutoka Chanzo cha kuamimika kwamba Halimashauri ya wilaya ya Karatu imempatia mtoto wa Samia, Abdulu eneo la mnada wa Karatu ili ajenge Hoteli. Kwa mlio wahi fika karatu mtakuwa mnajua lile eneo la mnada ni maarufu sana, sasa ni kwamba mtoto pendwa kapewa na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bashiru afanya ziara ya kushtukiza mnada wa Igunga akuta walinzi hawalipwi

    Akiwa safarini kuelekea mkoani Singida, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bashiru Ally amefanya ziara ya kushtukiza kwenye mnada wa mifugo wa Igunga mkoani Tabora ambapo amebaini changamoto ya aliyekuwa mzabuni wa mnada huo kwa upande wa ulinzi kampuni ya Emma Security kutowalipa wafanyakazi wake.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Wakulima wa Tumbaku Kigoma yanatakiwa kutoka ndani ya wiki 2, tunaenda mwezi wa 3 hatujalipwa

    Mimi ni Mkulima wa Tumbaku katika Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma tangu tumemaliza mnada ni miezi miwili sasa imepita tunaelekea wa tatu lakini hadi leo wamekuwa wakisogeza mbele tarehe za malipo. Mkataba unasema malipo yafanyike ndani ya wiki mbili baada ya mnada, naomba ufikishe ujumbe huu...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali yapokea msaada wa magari mawili kutoka Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja nchini

    𝗪𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝗞𝗼𝗺𝗯𝗼 𝗮𝗽𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗺𝗮𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗺𝗮𝘄𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗤𝗮𝘁𝗮𝗿 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea magari mawili aina ya Land Cruiser Prado kutoka Taifa la Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja kwa ziara za kitaifa na kikazi nchini. Qatar kama mshirika wa maendeleo ya...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je kauli ya Job Ndugai, taifa kupigwa mnada ni sehemu ya uzalendo wake unaotajwa leo?

    Hamjambo! Leo sifa Kemkem zimemiminika kwa Hayati Jon Ndugai aliyekuwa Spika wa bunge letu. Moja ya sifa alizopewa ni uzalendo uliotukuka. Nakumbuka kauli yake ya Taifa kupigwa mnada kutokana na kile alichokiita mikopo Holela inayokopwa na serikali ya Mama. kauli ambayo ilibadilisha kila kitu...
  9. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Halotel, VodaCom na Yas wapata masafa ya 5G kutoka mnada wa TCRA

    ikumbukwe mnamo tarehe 10 julai 2025 ilifanya mnada wa kugawa masafa ya 5G( 3600- 3800 mhz ) kwa watoa huduma za mawasiliano ya simu, na watoa huduma wote watatu walifanikiwa kushinda kupata masafa hayo ya 3600- 3800 mhz ambayo yanawezesha mawasiliano ya kasi ukilinganisha na vizazi vya...
  10. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Mliobahatika kupata vitu vizuri kwenye mnada unaoendelea pale Bunju mianzini naombeni mrejesho

    Mnada wa kampuni inayoitwa KC GLOBAL unaoendelea pale Bunju mianzini jamaa anajinadi anauza tv 43 inch smart laki tatu na 55 inch laki tano laptop laki moja monitor 24 inch elfu 50 nimefika pale kwa lengo la kununua monitor 24 inch lakini zilikua zimeisha zimabaki za inch 17 bei yake ni elfu 30...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Trump kupiga mnada mamilioni ya ekari za ardhi ya umma kuongeza mapato ya serikali

    Mpango wa serikali ya Trump kuuza zaidi ya ekari milioni 250 za ardhi ya umma iliyopo chini ya uangalizi wa serikali kuu kwa watu binafsi umepingwa vikali na kulaaniwa kila kona na raia wengi wa Marekani wa pande zote za kisiasa. Miongoni mwa ardhi zitakazouzwa zinajumuisha milima, nyika, misitu...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya ufisadi: Mali za aliyekuwa Gavana wa Migori, Okoth Obado zenye thamani ya takriban Bilioni 8, kupigwa mnada

    Mali zenye thamani ya zaidi ya Tsh.8.5 bilioni (sawa na Ksh.428 milioni) zinazohusishwa na aliyekuwa Gavana wa Migori, Okoth Obado, na washirika wake zinatarajiwa kuuzwa kwa mnada tarehe 23 mwezi huu. Shirika la Urejeshaji Mali (Assets Recovery Agency) na Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi...
  13. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Tangazo la mnada wa hadhara- MOI

  14. tzhosts

    JamiiForums Tanzania Mnada wa Tovuti-Jipatie ya kwako kwa Shilingi 165,000 tu

    Je Wewe ni miliki wa biashara Wasiliana nasi ili ushiriki katika mnada wa tovuti za vikoa vifuatavyo: mybusiness.africa mybusiness.website mybusiness.site mybusiness .co.tz Wasiliana nasi kupitia whatsapp 0715323060 Ufurahie Huduma Bora. Mwisho wa Promotion hii ni Tarehe 10June 2025
  15. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mbezi: Shinda Mnada Wa Hii Nyumba, Vuna Mil 9 Kila Mwaka - Dar

    • Direction: • Condition • Features: • Facilities: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Bid Start Price: • Agent Fee: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  16. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania Serikali yafungua rasmi Mnada mwenge Dar es salaam

    Serikali kupitia Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni Saad Mtambule amefungua rasmi Mnada ambao ni jukwaa linalowapa nafasi Wajasiriamali kuweza kuwafikia Watanzania kwa urahisi. Huna NIDA? Cheti cha Kuzaliwa? Una Shida na Tanesco? DAWASA? BRELA? Unataka kuonana na Mkuu wa Wilaya? Shida ya Ardhi au...
  17. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mfano wa nchi itakayopigwa mnada

    Hii kuwa mfano wa nchi itakayopigwa mnada? ZIDISHA MARA 20 ILI UPATE IN TSH Serikali ya Kenya imetangaza kwamba deni la nchi hiyo limefikia shillingi trilioni 10, kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa katika historia ya nchi hiyo, huku waziri wa fedha John Mbadi akidai kwamba thuluthi mbili za...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mali za Zari The Boss Lady hatarini kupigwa mnada. Anashtakiwa na SARS kwa kukwepa kodi ya TSh. Milioni 729

    Mamlaka ya Mapato ya Afrika Kusini (SARS) imechukua hatua za kisheria dhidi ya reality TV star na mfanyabiashara Zarinah Hassan, kwa kukwepa kulipa kodi takriban TSh. milioni 729. Kutokana na deni hilo, mali zake zinadaiwa kuwa hatarini kupigwa mnada ili kufidia deni hilo. Hata hivyo, Zari...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Dk Shika hivi alitumwaga kuharibu mnada kwenye nyumba za Said Lugumi?

    Nchi yenye vituko na maisha ambayo kila siku yakiwa vituko.Kipindi kile cha mnada wa kuuzwa nyumba ni kama huyu mzee kwa sasa ni marehemu alivyo kuja kuchekesha na story zikaishia hapo. CCM itakupendeza zaidi
  20. M

    JamiiForums Tanzania Lini ni siku ya mnada wa mifugo-Mkata (Handeni)

    Wadau, Naomba kujua siku zipi ni siku za mnada wa mifugo kwa mkata-handeni, natafuta san ambuzi wa kutosha. Natanguliza shukurani kubwa!
Back
Top Bottom