bahari ya hindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania MUSEVENI- Ningewashauri Tanzania na Kenya kwenye katiba zao mpya waseme Bahari ya Hindi ni ya kwetu wote

    Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, ameonesha nia ya kuunga mkono jitihada za kukuza uchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akisisitiza kuwa ushirikiano wa kikanda ni nguzo muhimu ya maendeleo ya mataifa ya eneo hilo. Akizungumza katika hotuba yake, Museveni alisema kuwa Bahari ya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Ashiriki Mkutano wa Tisa wa Bahari ya Hindi Mauritius

    Waziri Kombo Ashiriki Mkutano wa Tisa wa Bahari ya Hindi Mauritius Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki Mkutano wa Tisa wa Bahari ya Hindi, unaofanyika jijini Port Louis, Mauritius Aprili 10 hadi 12, 2026. Mkutano huo unawakutanisha...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama kuna uwezekano wa bahari ya Hindi kupita Dodoma na Morogoro CHADEMA mnaweza pia kuingia Ikulu

    CHADEMA hii ambayo naiita chama cha kudandia kila jambo linalotokea duniani na Tanzania isahau kuingia Ikulu, labda Mungu aamue kubadili mfumo wake wa Dunia ambao kwa malaki ya miaka haujabalika. Dodoma ipite bahari, Morogoro ipite bahari au iwepo bahari ndipo CHADEMA huenda wakaingia Ikulu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nunua apartments zetu hizi kabla bei hazijapanda bei

    Mango tree residence ni mradi mpya na wa kisasa ambao utakuwa na apartments za makazi na biashara Unaojengwa Msasani beach nyuma ya kwa Nyerere mikocheni Dar es salaam. Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo...
  5. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kupata viwanja kwenye Bahari ya Hindi

    Habari Tanzania ! Sasa leo nataka kuwauliza hivi hakuna uwezekano wa kupata Viwanja vya kutosha; endapo tukifunika hiyo Bahari ya Hindi pale Kigamboni na Kurasini maana naona kama hilo eneo halina kazi alafu pia tunaweza kupata Eneo kubwa la nchi kavu vijana wakapata maeno ya kufanya Makazi...
  6. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni atishia vita na Kenya kuhusu bahari ya Hindi

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameonya kuhusu uwezekano wa kuzuka kwa migogoro ya baadaye ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikiwa nchi ambazo hazina ufukwe wa bahari, kama Uganda, hazitaruhusiwa kufikia Bahari ya Hindi kwa uhuru. Katika matamshi yake, Museveni alisema kuwa Uganda na...
  7. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali yangu itawawezesha wavuvi kununua meli kubwa za kisasa za kuvua samaki pwani ya bahari ya hindi

    Hii ni kuhakikisha tunanufaika na pwani ya bahari ya indi tofauti na sasa hatunufaiki nayo
  8. U

    JamiiForums Tanzania Marekani yapeleka ndege hatari 4 za masafa marefu B-2 kambini Bahari ya Hindi, zitashambulia Iran na Yemen bila ulazima kutumia kambi za washirika

    Wadau hamjamboni nyote? Wakati Marekani ikiendelea na mashambulizi ya angani dhidi ya Wahouthi wa Yemen, uchambuzi wa AP wa picha za satelaiti zinaonyesha jeshi la Marekani limepeleka ndege 4 hatari za masafa marefu aina ya B-2 kwenye kisiwa cha Diego Garcia katika Bahari ya Hindi. Hatuna...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TMA yatangaza uwepo wa kimbunga Jude katika Bahari ya Hindi

    Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa kimbunga "JUDE" katika Bahari ya Hindi eneo la Rasi ya Msumbiji. Taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo imeeleza uchambuzi wa mifumo ya hali ya hewa inaonesha kimbunga hicho kitaingia nchi kavu katika eneo la Msumbiji leo na...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mtalii Raia wa Ufaransa apatikana akiwa hai baada ya kupotea katika Bahari ya Hindi, eneo la Kisiwa cha Songosongo, Wilaya ya Kilwa

    Raia wa kigeni kutoka Ufaransa, Nakar Fszman (51), amepatikana akiwa hai baada ya kupotea katika Bahari ya Hindi, eneo la Kisiwa cha Songosongo, Wilaya ya Kilwa. Fszman alipotea Februari 23, 2025, wakati akifanya utalii kwa kutumia Boti aina ya Kayati maarufu kama Kidau, inayotumia kasia...
  11. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Mbudya Island!! Kisiwa kisichojulikana’ Bahari ya Hindi

    Hiki kisiwa kipo underrated sana! Wengi wetu hatukijui kabisa! Tupate kidogo picha za kisiwa hiki. ili safari ijayo ukitaka kusafiri kupumzisha akili usikisahau
  12. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa tahadhari uwepo wa kimbunga CHIDO Bahari ya Hindi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya uwepo wa kimbunga ‘CHIDO’ katika Bahari ya Hindi, Kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Taarifa iliyotolewa na TMA imesema mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga hicho kinatarajiwa kuelekea maeneo ya Kaskazini mwa Msumbiji katika...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Somalia: Watu 24 wafariki dunia baada ya boti kupinduka Bahari ya Hindi

    Takribani watu 24 wamefariki dunia baada ya boti mbili zilizokuwa zimebeba raia wa Somalia kupinduka katika pwani ya Madagascar. Taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Somalia zinasema juhudi zinaendelea kuhakikisha kuwa manusura wanaokolewa wakiwa salama. Boti hizo mbili zilikuwa zimebeba...
  14. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuitwa Bahari ya Hindi, hii kitu iliitwaje?

    Huwa nashangaa na kusikitika bahari yetu kuitwa ya hindi. Je kabla ya hapo ilikuwa inaitwaje wanangu? Je hatuwezi kuiita bahari ya Afrika au Tanzania?
  15. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Vituo vya Kuvuna Maji ya Bahari ya Hindi na Ziwa Victoria Kama Njia ya Kutatua Tatizo la Maji Tanzania

    Na N'yadikwa - Safarini Rwanda Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi, hususan katika miji na maeneo yenye uhaba wa vyanzo vya maji vya kudumu. Tatizo hili linahitaji mbinu bunifu na za kisasa ili kulitatua kwa ufanisi. Mojawapo ya mbinu zinazoweza kusaidia ni...
  16. OLS

    JamiiForums Tanzania Kuna kero za Muungano au Muungano ni kero?

    Muungano ulioasisiwa na Karume na Nyerere ni tofauti sana na muungano tunaouona leo. Maana baada ya muda tayari tunawaza uwepo wa Tanganyika baada ya kuona uwepo wa Zanzibar. Wakati awali Karume alikuwa makamu wa Rais, leo Zanzibar ina Rais kamili na ina makamu wako. Na hiki ndicho chanzo cha...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uchumi wa Buluu: Serikali iwawezeshe wananchi kumiliki shughuli za uvuvi

    Uchumi wa Buluu kwa Tanzania tuna Maanisha ni uchumi utokanao na Anga utalii ,na vyanzo vya maji (Bahari, Mito, maziwa, chemchem). Mada yangu itajikita kwenye vyanzo vya maji na hasa uchumi wa uvuvi utokanao na Bahari na kwenye maziwa makuu ,hapa nchini. Sisi wa Tanzania kupitia serikali...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chawa wengi wa Chura wa Bahari ya Hindi wanashutumiwa kuwa na Tabia ya 'Upiga Muluzi' pale 'Magomeni kwa Macheni' Dar es Salaam?

    Yaani ukiwaona Wengi wao na ukatulia zaidi utagundua ama ni Wapiga Miluzi au huko nyuma Walipiga mno tu Miluzi.
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Lijue shimo la mvuto(gravity hole) katikati ya bahari ya Hindi

    Shimo la mvuto liko katikati ya bahari kilomita 1,200 kusini-magharibi mwa Kanyakumari (a.k.a. Cape Comorin), ncha ya kusini kabisa ya bara Hindi karibu na Sri Lanka. Bahari ya Hindi Geoid Low (IOGL) ni hitilafu ya mvuto katika Bahari ya Hindi. Asili ya duara ya geoid iliyoko kusini mwa...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ukungu baharini

    Ukungu unaotokea juu ya maji kwa kawaida hujulikana kama ukungu wa baharini au ukungu wa ziwa. Inatokea wakati hewa ya joto na unyevu inapita juu ya maji baridi zaidi. Ukungu wa bahari au ziwa unaweza kutokea juu ya Bahari ya Atlantiki na Pasifiki, Ghuba ya Mexico, Maziwa Makuu na miili mingine...
Back
Top Bottom