vita vya kagera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MALCOM LUMUMBA

    Tatizo la Tanzania halikuwa ujamaa wala vita vya Kagera bali ombwe la uongozi

    Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu. Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's: 1. VITA VYA KAGERA, 2. UJAMAA, 3. HUJUMA ZA KIBEPARI, 4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA MIAKA YA 70's 5...
  2. benzemah

    Aliyepigana Vita vya Kagera, Afariki Dunia kwa kung'atwa na nyuki

    Dodoma. Shujaa wa vita vya Kagera, Abinael Chikataa (71) amefariki dunia kwa kung'atwa na nyuki akiwa katika sherehe ya kuogesha wajukuu wake waliokuwa wamefanyiwa tohara. Tukio hilo lilitokea Julai 15, mwaka huu katika Mtaa wa Kikuyu Kusini, jijini hapa na nyuki hao walikuwa kwenye mti, lakini...
  3. lwambof07

    Tanzania - Uganda: Ramani ya Afrika Mashariki ingekuwa tofauti na ilivyo sasa iwapo Idi Amin angeshinda vita vya Kagera

    Vita vya Uganda-Tanzania, vinavyojulikana nchini Tanzania kama Vita vya Kagera na nchini Uganda kama vita vya Ukombozi vilihusisha Uganda na Tanzania kati ya Oktoba 1978 hadi Juni 1979. Matokeo yake yalikuwa kutimuliwa kwa Idi Amin madarakani na mwezi huu wa Juni ambapo vita viliisha...
  4. Ziroseventytwo

    Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

    Tulizunguka sana. Arua, Kasese, portfot na kwingine kabla ya kufika Kampala. Swali ni kwanini tulizunguka sana badala ya kukatisha tu na kufika hapo kampala na kumtimua huyu nduli?
Back
Top Bottom