nyerere

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Alie tunga wimbo " ALISEMA NYERERE VIJANA WOTE MLEGEA " ni Genius wa viwango vya juu sana. Wapinzani wanapaswa kujifunza kwa huyu mwamba.

    Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA". This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu they don't listen. Wakati Nyerere anatoa hiyo kauli wengi wetu hatukuwepo au hatukumsikia live...
  2. Candela

    JamiiForums Tanzania Nyerere ndiye katufikisha hapa

    Wwngi mmeaminishwa nyerere alikuwa mtakatifu ,mfano wa kuigwa. Ila niwaambie ukikaa na wazee waliopitia shuruba za nyerere ndio utajua alikuwa hafai. Kwanza wakati wa vita ya kagera kuna tajiri aligoma kutoa mabasi yake kubeba askari, hali hiyo ilifanya apigwe marufuku kuingiza gari nchini ndio...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Peter Mbwimbo Mlinzi wa Mwalimu Nyerere na Maasi ya Tanganyika Rifles (TR) 1964

    https://youtu.be/kviafI7ro8I?si=vqeBCWGKxnDdri8j
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Taja mtoto wa waziri, au Rais au MBUNGE aliywai kuwa na akili kama Maria Sarungi,huyu hapa kamtaja Makongoro Nyerere Wa NCCR mageuzi, Sasa yu wapi?

    Taja watoto wa Rais, au waziri yoyote aliywai kuwa kama Maria Sarungi, Hahahaha Kuna kizee kimoja hapa butimba gerezani kimemtaja, Makongoro Nyerere, sijakishangaa maana kilifungwa miaka ya 1992. Kiliacha akiwa na akili Sasa kitakuwa huru kesho sijui kitamwelewa Makongoro? Haya na wewe uliye...
  5. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya vijana tarehe 22 Oktoba 1966 dhidi ya 29 Oktoba 2025: Nyerere akili kubwa hakumwaga damu.

    Kwa mujibu wa rekodi za kihistoria, yalifanyika maandamano siku ya Jumamosi, 22 Oktoba 1966. Hapa chini kuna mfuatano wa matukio kwa tarehe: 4 Oktoba 1966: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria iliyofanya National Service (JKT) kuwa ya lazima kwa wahitimu wa Kidato cha...
  6. Stroke

    JamiiForums Tanzania Ogopa kufanya jambo ambalo Nyerere hakufanya

    Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar. Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi. Tufikiri mara mbili. Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti. Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, Yericko Nyerere ni nabii? Mengi aliyotahadharisha ndo yanawakumba CHADEMA kwa sasa

    Hili jasusi la bamia ni nabii? Ninashangazwa karibu kila kitu alichotahadharisha kuhusu CHADEMA ndo kinatokea kwa wakati huu. CHADEMA wakampigie magoti ili awavushe. Jamaa ana kipawa kikubwa cha kiroho. Nitakumbushia machache aliyotahadharisha. Yeriko alikitahadharisha chama chake cha zamani...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli tu: Nyerere ndio chanzo cha matatizo. Hotuba zake za mwisho jua la jioni zinaonesha kuwa ni tatizo

    Baada ya kumaliza madaraka yake ndipo kasoro nyingi kuziona kwenye utawala na kuona mbeleni kutakuwa hivi. Ni kweli kwamba yeye ndio kafikisha hapo haya tunayo yaona. Wachambuzi wazuri waliona mengi sana.Someni
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sanaa wa waziri kombo kuvizia watu koridoni na kuwapa kale kakitabu cha Nyerere na picha za haraka ni aibu kwake

    Kuna mambo muelezwi wanao yaona huko. Huyu waziri kombo anaweza kukupa kile kitabu au kinyago kama zawadi mara kuomba picha na wewe. Mwisho wa siku habari tanzania kwenye vyombo vyetu vya hisabati tuna ambiwa kombo kapatana na mabeberu. Hii tabia ya huyu mtu hata CV yake nikiisoma naona tuna...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya Ubaguzi wanayoifanya wazanzibari. Msikilize Mwalimu Nyerere

    Wao wazanzibari, sisi watanganyika, dhambi hii itawatafuna MILELE. Je ni kweli kauli hii bado inaishi au imeshakuwa overtaken by time and modern development Hilda Newton: Nimeona video ya Watanganyika wakizuiwa kuingia kazini huko Zanzibar, limetoka agizo kwamba kama mtu hana ID ya Zanzibar...
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Nyerere hakupeleka familia yake ikalelewe na Kodi za mabeberu hii jeuri viongozi wa CHADEMA wanaitoa wapi huu ni umario wa Africa wanatuaibisha

    Kama viongozi wa chadema kutwa wanakesha wanapitisha kapu la donation kuwatapeli watu nchini, Je! Wanauwezo wa kulipia land huko kwa mabeberu? Je wanauwezo wa kusomesha watoto huko kwa mabeberu? Je! familia zao zinaishije huko kwa mabeberu? Wanatudhalilisha waafrica tunaonekana hatuwezi kutunza...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Lissu: Tunapomkosoa Mwalimu Nyerere tunathibitisha ubinadamu wake

    Akizungumza katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 jijini Dodoma, Tundu Lissu aliyekuwa Mkuu wa Sheria wa CHADEMA, aliwajibu waliokuwa wakidai kuwa amemtukana Mwalimu Julius Nyerere kuwa kiongozi huyo alikuwa binadamu na alikosea, hivyo kumkosoa ni kuthibitisha ubinadamu wake.
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Tanganyika uzungumzii waliofikisha ila unazungumzia Nyerere na Zanzibar swala Mapinduzi umzungumzii John Okello.Kwa nini?

    Kuna mzee hapa JF ni mzee wetu ana mchango mkubwa wa kutupa historia ya uhuru wa tanganyika na waliofikisha naombeni mtag. Ila kwa kuwa ndio wajanja wakatumia njia hiyo kuonesha wao hakuna utofauti kama ule wa mzee shayo na koyi mzungu. Ukija Zanzibar kuna jamaa alikwenda kufanya kipindi...
  14. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Legacy kuu za Mwalimu Nyerere: Mwiba mkali kooni mwa Watanganyika

    Mwenye macho haambiwi tazama. Haya ndiyo mambo makuu ambayo Mzee Nyerere aliiachia Tanzania na yamedumu hata baada ya yeye kuondoka, na kuna hatihati kwamba yataendelea kuwepo kwa muda zaidi hapa nchini. Ukweli mchungu ambao wafuasi wa Mzee Nyerere hawapendi kuukubali ni kwamba mambo haya yana...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kuna siku ukweli wote utajulikana wazi kuhusu kifo cha Nyerere, lakini kwa wenye akili alichosema Jenerali Ulimwengu kinatosha

    Kuna mambo mawili ambayo wenye akili wanayatafakari sana: 1. Nyerere alikuwa ameshaamua Mkapa asingekuwa raisi wa awamu mbili 2. Nyerere angekuwa hai, Kikwete asingekuwa Rais, maana alimshamkataa katakata 3. Mkapa alimwambia Kikwete waziwazi, kwamba kwa mazingira yaliyopo mimi nisipokuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa kubwa alilolifanya Mwl Nyerere ni kusaidia mataifa ya kusini kupata uhuru. Mpaka leo hili kosa linatugharimu

    Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake. Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru. Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo. Naishia hapa....
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nyerere Hakutaka Somo la Falsafa Kupewa Kipaumbe Kwenye Elimu Yetu' - Dk Camillus Kassala

    28 May 2026 Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere 2026 UDSM Nyerere Hakutaka Somo la Falsafa Kupewa Kipaumbe Kwenye Elimu Yetu' - Dr.Camillus Kassala https://m.youtube.com/watch?v=bUMCKBv_7jk Dr. Camillus Kassala mwanafunzi wa falsafa ambaye ni Mkurugenzi wa hadhi ya utu wa binadamu...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Nyerere na Magufuli Walikataa, Rais Samia Usikubali Nchi Yoyote Kuingilia Sovereignty Yetu, Iwe ni US, UK or EU!, Kwani Marekani Ndio Nani, Nini?

    Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbeli, kwa kumtia Moyo Rais Samia, na Watanzania, tusikubali vitisho vyoyote kutoka kwa nchi yoyote, kuingilia sovereignity yetu, na kutolea mfano Rais...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere adai yeye ni mkubwa kuliko Chadema, Je amerukwa na akili?

    Akihojiwa na vyombo vya habari mitandaoni, Mamluki huyo ametamba kwamba yeye ni Taasisi na ni Mkubwa kuliko Chadema. Ikumbukwe kwamba Yericko hana Cheo chochote CHAUMA Bali ni mbeba begi wa Salum Mwalimu Kwa kauli yake hiyo mnadhani ana akili timamu au ni kichaa kamili?
  20. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hivi Indira Gandhi alipomwambia Nyerere, "nitaimeza hiyo Tanzania yako ndani ya India yangu", alimaanisha nini? 🤔.

    Wakuu, aliyekuwa waziri mkuu wa India bibie Indira Gandhi, alipomwambia baba wa Taifa letu kuwa, "nitaimeza hiyo Tanzania yako ndani ya India yangu", alimaanisha nini? Kama Kuna anayejua kile alichomaanisha Indira binti Jawaharlal Nehru, anijuze tafadhali 😎. Mshana Jr Mbaga Jr Mzee...
Back
Top Bottom