Kilichojiri Septemba 8, 2026: Mwendelezo wa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, shahidi wa nne wa utetezi, Brenda Rupia, ambaye ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho, alisema hotuba ya Lissu ya Aprili 3, 2025 ilihusu mageuzi ya mfumo wa Uchaguzi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, akiwa katika Chumba cha Mahakama kabla ya kesi kuanza leo Agosti 26, 2026, amesikika akimwambia Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche, aongeze moto wa kazi
Lissu na Magufuli hawa sio watoto wa mjini hawa shule ndo iliwaleta mjini naweza kusema Watoto wa mjini ni watu wajanja wajanja hata shule zao huwa za kuunga unga walio wenge japo sio wote.
Hakuna mwenye...
Mchambuzi wa masuala ya jamii na siasa, Filipo Mwakibinga, anatoa tahadhari kwa wanachama wa CHADEMA kuhusu mienendo ya viongozi wao mbele ya vyombo vya habari.
Mzungumzaji anahoji kwanini John Heche yuko huru wakati Tundu Lissu anashikiliwa na polisi, licha ya kuwa wote wawili walitoa matamshi...
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, atakapoachiwa huru na vikao halali vya Chama kuketi na kutoa uamuzi kuhusu hatua zinazofuata.
Heche ametoa msimamo huo Julai...
Maisha ya Lissu yamekua ya mchaka mchaka toka anasoma mpaka kwenye SIASA ni maisha yaliyojaa milima na mabonde kwa ushawishi alionao ni mda wa Lissu kutupatia kitabu kinachoeleza maisha yake. Kwa ushawishi ulionao Lissu najua atauza nakala za kutosha kuna mengi hatuyajui kuhusu Lissu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Super breakfast cha EATV radio leo Juni 17, 2026.
"Lissu ni mtu ambaye influence yake kwenye nchi hii ni kubwa kuliko mwanasiasa mwingine yeyote across the board. Ikiwemo...
Nipata Mawasiliano ya mtu mzito CCM amenambia
Lissu amekaba hoja zote hawana jipya, leo ilikuwa afikishwe Mahakamani lakini Jana nilivyodekeza sehemu Dawati la Ikulu wakiwa na watu wanne wa upande wa Magereza
1. Jeremiah Yoram Katuma
2. Emmanuel Malisa,
3. Edith Mbogo
Ndani ya ukumbi wa...
Tunajua nyie mmeshika mpini sisi tumeshika makali tunaomba sasa mwachieni Balozi Polepole tunaomba sana mwachieni Tundu Antipas Lissu hawa ni watanzania wenzetu tunapkosana na kukosea tujifunze kua wavumilivu
Kumwekana sawa kumweka Tundu Lissu jela na kuendelea kumshikilia Polepole sio...
CCM wakimsimamisha Emanuel na Lissu nafasi ya urais nitaondoka na Lissu sio Emma japokua mwana ccm mwenzangu nina sababu za msingi kama tatu.
Emanuel ni mtu mwenye misimamo Ila ni mtu muoga hawezi kutoka kusimamia anachokiamini mpaka mwisho. Walivyomkata Lowasaa 2015 yeye na sophia simba ndo...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ameiomba Mahakama iitishe na kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu ili kesi iishe na Lissu akafanyiwe matibabu ambapo amesema kama Lissu atapatwa na lolote akiwa gerezani kuna Watu watalazimika kujibu ni nini kimempata...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, amesema kwamba ingawa katika uchaguzi wa ndani wa chama hicho alimuunga mkono Freeman Mbowe, katika maisha yake binafsi alikuwa rafiki zaidi wa Tundu Lissu tangu walipokuwa pamoja bungeni...
Mbowe alipenda sana siasa za kujaza tumbo lake.
.
Alikuwa yupo tayari kuuza watu ili mradi yeye na tumbo lake washibe na kwenda chooni.
Kwa namna alivyoteswa Tundu Lissu leo hii Mbowe angekuwa ameenda Ikulu kunywa juisi za Ceres.
Lissu hanunuliki. Na hii ndio Sababu CHADEMA inazidi kuwa na nguvu.
Leo (Jana, Desemba 17, 2025) nimemtembelea Mteja wangu Mhe Lissu, Ukonga Gerezani kujadiliana naye hatima ya kesi zinazomkabili, ashukuliwe Mungu kwa kuendelea kumjalia afya na siha njema kiongozi.
Gerezani kuna utaratibu mpya umeanzishwa ambao ni kinyume cha sheria, Nilichokutana nacho leo...
Nilisema humu kuwa hakutakuwa na Msalia mtume wala nini.
Tatizo mmeua sana Ndugu zetu, mmeua Sanaa.
Hamjaishia kuua, Mmezika kwa Halaiki, haikutosha, Mmechoma Miili ya Ndugu zetu.
Oaaaa unyama mloufanya kwa Taifa hili, NI LAZIMA TUTAWANYONGA, TUTAWAFUNGA NA TUTAWAFILISI TU.
Nchi hii inashangaza sana.
Kuna double standard ya hali ya juu mno. Aliyesema atakinukisha hakuchukua round akawekwa nyuma ya nondo, saivi anapambana asinyongwe hadi kufa.
Lakini aliyesema atakata watu vichwa yupo mtaani tu anajidai na kunywa alkasusu bila shida.
Lakini tutashinda. Safari hii...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Tundu A. Lissu amewasilisha Maombi mahakama kuu ya Tanzania akiomba kuunganishwa kwenye shauri namba 8323/2025 lililofunguliwa na SAID ISSA MOHAMED na wenzake dhidi ya Bodi ya wadhamini wa Chama na Katibu Mkuu wa Chama.
Mhe Lissu anaiomba mahakama aunganishwe...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imeanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Novemba 10.2025
Hata hivyo, tofauti na siku zote ambapo Lissu ambaye anajitetea mwenyewe kwenye...
KESI ya uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inatarajiwa kuendelea siku ya jumatatu, tarehe 10 Novemba 2025, katika Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.