mikopo elimu ya juu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 18 walioshtakiwa kwa kughushi mikopo waachiwa huru na kukamatwa tena

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo, Jumatano tarehe 29/07/2026 imewaachia huru wanafunzi 18 wa Vyuo Vikuu mbalimbali Nchini wakiongozwa na Frank Benjamin Kayamba waliokuwa wanatuhumiwa kughushi nyaraka mbalimbali ili wanufaike na mikopo inayotolewa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu hairuhusu wanufaika kuwalipa madeni kwa kuyauza

    Mfumo wa ESS utumishi wamesindwa kuruhusu walionufaika na mkopo kuulipa kwa kuuzia bank madeni hayo. Sijajua wanakwama wapi kiasi hicho wakat kabla ya mfumo walikua wanaruhusu. Imekuwa ni kero kubwa kwetu watumishi ambao tulitamani kulipa madeni yao haraka. Kila wakiulizwa wanasema ahadi za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inakuwaje Wanafunzi kutoka Zanzibar wanapata mikopo mara mbili? Wanachukua kutoka Zanzibar na Tanganyika

    Nimedokezwa na kijana mmoja ambaye yupo Chuo kikuu kimoja hapa nchini. Anadai kuwa vijana kutoka Zanzibar wamemdokeza kuwa wao wanapata mikopo mara mbili. Yaani kutoka bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya Juu Zanzibar na Pia Tanganyika. Huu Muungano utawaumiza sana Watanganyika.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma kwa wateja Bodi ya Mikopo (HELSB) ni mbovu. Mawasiliano waliyoweka hayapatikani

    Hawa loan board yaani hawapatikani kabisa kutoa huduma na namba walizoweka ukipiga zote hazipatikani hata ukiwafuata katika page yao instagram hawajibu, email hawajibu, yaani kumekuwa na mazoea kwa taasisi karibia zote za serikali kuweka namba geresha na wala hazitumiki katika kuwafikia watoa...
  5. atupele ephraim

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya mikopo verifying NIDA kuna shida gani?

    BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU (HELSB)mbona kuverify nida inasumbua sana shida ni nini na itajirekebisha lini?
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Tanzania shida ni nini?

    Habarini ndugu, Hii inawahusu moja kwa moja bodi ya mikopo elimu ya juu,kunashida gani mpka wanachuo mpka wiki jana hawajapata boom? Na nikiangalia kwa umakini huo ni mkataba kati yenu ninyi na wanafunzi husika sasa inakuwaje mpka boom linachelewa hivo? (Haswa kwa wanafunzi wenye akaunti ya...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Je Wanafunzi walio omba mkopo wa kujiendeleza na elimu ya juu lakini walisoma shule binafsi je wanaweza pata mkopo

    Wana JF naombeni kujuzwa nina ndugu yangu ameomba mkopo wa kujiendeleza na elimu wakati selection ya kwanza inatoka account yake ilikuwa inaleta ( your application has been submited successful ). Then selection 2 inatoka account ya dogo ikachange kuenda SIPA lakin kila tukijalibu kuangalia...
  8. Axiom

    JamiiForums Tanzania Dirisha la Masahihisho maombi ya mikopo 2024/2025 kuwa wazi kwa siku 7

    Tunawataarifu waombaji wa mikopo ya Wanafunzi kwa mwaka 2024/2025 kuwa baada ya kufanya uhakiki wa maombi yao, tumebaini baadhi ya maombi hayo yanahitaji kufanyiwa masahihisho ili kuruhusu kuendelea kwa hatua inayofuata. Dirisha la kufanya masahihisho litakuwa wazi kwa siku 7 kuanzia Septemba 15...
  9. CyberTz

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tatizo katika uhakiki wa vyeti kwa wanafunzi wanaoomba Mkopo na huduma za RITA kwa ujumla

    Habari wanajukwaa. Kuna changamoto tunapitia katika uhakiki wavyeti vya kuzaliwa kupitia RITA. Wengi tupo katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu lakini kikwazo kimekuwa kwa RITA. Mimi binafsi nina wiki ya 2 sasa kuelekea ya 3 cheti hakijahakikiwa na nimeshalipia. Mbaya zaidi hata...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jesca Msambatavangu: Wanafunzi wanatumia Boom Kubeti badala ya Kusoma. Serikali itafute utaratibu mpya wa kuwakopesha

    Mbunge wa Iringa Mjini Madam Jesca Mtambasavangu bila kumung'unya maneno ameshutumu vikali tabia ya wanavyuo kutumia Fedha za Mkopo wa Kujikimu Boom kubeti badala ya kusoma na kutumia Kwa malengo yaliyokusudiwa. Akiongea Bungeni Kwa Uchumi amewashangaa Vijana wanaodhani betting itawatoa...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameongeza Bilioni 654 bajeti Mikopo Elimu ya Juu

    "Mikopo ni fedha. Tangu shughuli ya kukopesha fedha imeanza miaka 19-20 takriban Tril.7. 3 zimewekezwa. Huu unaitwa ni uwekezaji wa Serikali katika rasilimali watu. Na wanufaika Laki Saba wamepata mikopo. "Katika miaka Mitano au Sita kuanzia 2020-21 kiasi cha bajeti kilichopitishwa ni Bil. 464...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mikopo ya elimu ya juu 2023/2024 na changamoto zake

    Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam( UDSM), Jana Octoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka. Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepata mkopo chini ya 20% na walikuwa na sifa na vigezo vya kupata mkopo, wengi wao...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 56,132 Waanza Kunufaika na Mikopo Elimu ya Juu

    Ni vicheko kwa wanafunzi 56,132 waliopangiwa kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali nchini baada ya kupangiwa mikopo ya elimu ya juu katika awamu ya kwanza inayoenda sambamba na nyongeza ya fedha za kujikimu kutoka Shilingi 8,500 hadi Shilingi 10,000. Itakumbukwa kuwa Februari mwaka huu Rais Samia...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi waliothibitika kuiba fedha za umma hawawajibishwi zikarudishwa elimu ya juu nchini ikawa bure?

    Wahitimu waliomaliza elimu ya juu kwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kutwa wanabanwa kurudisha mikopo hiyo wakati wengi wao wanahangaika mtaani bila ajira wala shughuli za kufanya. Wakati ukiangalia upande mwingine kuna ubadhirifu mkubwa unafanywa serikalini, viongozi wanaiba mabilioni kwa...
Back
Top Bottom