wasumbufu

  1. Vladmir Putini

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya mkopo mtandaoni (online loan app) imenidhalilisha sana

    Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana. Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE". Hawa jamaa walinikopesha elfu 42 mtandaoni kwa muda wa siku 7. Siku jana nilitakiwa ndiyo nilipe...
  2. hp4510

    Benki Kuu ya Tanzania, Pitieni tena Sheria za hawa watoa mikopo mitandaoni wamekuwa kero na Wasumbufu sana

    Najua kuna watu wa bank kuu hapa. Me naona Pitieni tena Sheria zenu Kwa hawa watu au msimamishe huduma mpaka wajipange tena. How napigiwa simu 50 na msg 100 naambiwa nimemdhamini mtu kuchukua ela kwao na nimeshirikiana Nae kutapeli? Kwanini wakati wanapeana Mikopo hawakupiga simu kwangu...
  3. Restless Hustler

    Wadada wasomi ni wasumbufu alafu Wana mchango mdogo Sana kwenye mahusiano/ndoa

    Kuoa ni sawa na kutoa sadaka. Unachukua jukumu la kulea jitu lenye meno 32 huku likikupa stress na dharau za kipumbavu. Kwa upande wangu, Ni wakati Sasa wa kuwajaribu wale wa vijijini na wasio wasomi. Nina nia ya kuanzisha mahusiano yenye hatima ya kuoana lakini bado Kuna Tatizo kwa wasomi wajinga
  4. Selwa

    Wenyenyuma Wasumbufu watajwe

    Habari Wananchi, nimekuwa na wazo kwamba tuweze kuwareport wenyenyumba wasumbufu either hapa hapa au tufungue telegram. Mtu akiwa anapanga nyumba acheki telegram na thread afanye maamuzi sahihi ila tuwe na uthibitisho pia. Nimekutana na sakata moja la mwenyenyumba msumbufu sana. Ana lugha za...
  5. K

    Wale wanaotamba "Najua kuacha sijui kuachwa" mara nyingi baadae huwa wasumbufu kwa wapenzi waliowaacha

    Kuna wale wanajionaga mafundi wa mapenzi sababu ya mionekano yao,uzuri au fedha zao wanajiamini kwamba wanajua kuacha hawajui kuacha,ila baadae hujaga kuwa wasumbufu. Nakumbuka nilikuwa na demu mmoja mzuri, ki ukweli huyu demu alikuwa mzuri Black beauty bonge la figure, halafu mara nyingi...
  6. Bata batani

    Ni kwanini watu wenye pesa wakiwa na shida huwa kimbilio lao kwa masikini na kuwasumbua?

    Kuna vitu huwa najiuliza watu wengi wakiwa na pesa hujitenga sana na watu masikini tena hawa masikini hata wakiwatafutaga huwa simu zao hazipokelewi lakini sasa inapotokea watu wenye pesa wana shida basi kimbilio lao la kwanza ni kwa watu masikini. Yaani unashanga mtu kipindi ana pesa alikuwa...
  7. sky soldier

    Ni kero zipi uliwahi kupitia kwa kuishi na majirani wasumbufu/wakorofi?

    Kuna kipindi niliwahi kupanga nyumba hapo zamani, ilikuwa na miti mingi yenye matunda ndani ya fensi, nikaja kuambiwa kuna mtu huwa anakuja usiku nikizima taa anaruka ukuta anachuma matunda (asante kwa jirani yangu mzaramo alinijuza hili). Siku ijayo usiku ulipofika nilimwambia wife azime taa...
  8. The Boss

    Mawakili wasumbufu dawa yao nini?

    Nina Ndugu yangu mawakili wake wanamsumbua kwenye kesi aliyowapa.. Copy ya hukumu ..hawampi.. Ushirikiano sifuri... Je, dawa ya mawakili wasumbufu kama hawa ni IPI? Tanzania tunazo taasisi za kuwamulika na kuwachunguza mawakili aina hii? What if walikula rushwa? Je unaweza kwenda wapi kuomba...
  9. Mzee makoti

    Naomba ushauri: Mpangaji wangu msumbufu kulipa kodi nataka nifungie vitu vyake

    Wakuu habari: Unajua hizi nyumba za kupangisha zina matatizo sana, mtu umetumia pesa kibao kuwekeza, bado tena unakuja kupangisha majitu ambayo hayajielewi. Ni hivi, kuna mpangaji wangu now anakaribia miaka miwili kama na nusu kwenye mabanda yangu, sasa huyu tangu kipindi cha Corona ya kwanza...
  10. W

    Usafi majumbani na maofisini pamoja na kupiliza dawa ya kuua wadudu wasumbufu

    Habari wadau, tunawapenda kuwaalika watu wote wanaohitaji huduma ya usafi majumbani, maofisini pamoja na kunyunyizia dawa wadudu wasumbufu kama vile mende, mchwa, kunguni, mbu, nyoka nk. Tunapatikana Dar es Salaam, wasiliana nasi kwa namba zifuatazo 0716806933 , 0765013776. Au tembelea...
  11. K

    PSSSF haina ufanisi katika kulipa mafao kwa wakati. Maana ya Rais kuunganisha mifuko haionekani

    Yaani malipo ya wateja ni delays ambazo hazieleweki, ni majuto kufanyakazi na hawa watu kweli, wako na visuti na tai humo efficiency chini kabisa, bado tunapiga hesabu, tunasubiri baada ya uchaguzi, tunalipa kwa awamu hii inamuhusu mteja au big results ndo failure.
  12. Superbug

    Naomba msaada namna ya kuwafukuza wapangaji wasumbufu na wachafu kwenye nyumba yangu

    Jamani naomba msaada niwafukuzeje wapangaji wa aina hii kwenye nyumba yangu. 1. Mmoja hajalipa kodi miezi mitano 2. Wapili hajalipa miezi miwili 3. Amemaliza juzi baada ya kukaa miezi minne bila kulipa Kodi. Juu ya yote ni wachafu sana mpaka nyumba yangu mimi great thinker mwenzenu naionea...
  13. X

    Huduma ya fumigation

    Kwa yeyoteanaesumbuliwa na wadudu mbali mbali tuwasiliane kupitia +255758899901. au tembelea tovuti yetu ya Xfrey kufanya booking ya huduma kutoka kwetu.
Back
Top Bottom