mabadiliko ya katiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1

    Wanabodi, Hii ni Nipashe Jumapili ya leo 19 Nov. 2023. Kama kawa, leo nimepata fursa tena kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa muktaasari wa sura zote 10 za sheria hii, kuwaelimisha elimu ya uraia na...
  2. Salahan

    Maoni yangu juu mabadiliko ya katiba kwenye ukomo wa Urais

    Habari wanajamii Kwa mujibu wa katiba yetu inayotumika hadi sasa ukomo wa kugombea nafasi ya urais ni miaka 10 kwa kila kiongozi ikiwa ni awamu mbili yaani uchaguzi wa raisi kila baada ya miaka mitano. Asili hii ya ukomo wa raisi imeasisiwa toka taifa la Marekani "....Utaratibu wa kuweka ukomo...
  3. Venus Star

    Maswali ya mdau katika forum ya Katiba ya Watu kuhusu mikataba na mabadiliko ya Katiba katika mchakato wa kisiasa na kisheria

    Swali la kwanza Ni aina gani za mikataba ambayo inaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa? Majibu tota kwa mdau @G na wadau wengine Swali la kwanza. Kuna aina mbalimbali za mikataba ambazo zinaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa ni kweli. Hapa kuna baadhi ya mifano: 1...
  4. BARD AI

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ataka Mabadiliko ya Katiba yanayompa nafasi ya kugombea tena

    Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin Archange Touadera amesema Nchi hiyo itapiga Kura ya Maoni Julai 2023 kwaajili ya kupitisha mabadiliko yatakayowezesha Rais aliyeko madarakani kuwania Urais kwa kipindi cha 3. Kupitia hotuba yake kwa Taifa, Rais Touadera ameeleza kuwa tayari...
  5. Venus Star

    Mjadala kujikumbusha kuhusu mabadiliko ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (uliofanyika May 13, 2023)

    Kwa kifupi tu..Kupata katiba mpya nchini Tanzania kuna hatua kadhaa ambazo zinapaswa kufuatwa. Hapa ni baadhi ya hatua hizo: 1. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya: Hatua ya kwanza ni kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Hii inaweza kufanywa na Rais, Bunge au kwa kuitishwa na...
  6. K

    Sikubaliani na mabadiliko ya Katiba yenye lengo la kumpunguzia madaraka Rais

    Ni siku nyingine Mwenyezi Mungu ametujalia kuiona, tukiwa wazima wa afya na amani ya kutosha. Mungu ni mwema nyakati zote. Kama ilivyo kawaida, waona mbali huwa hawaeleweki kwa 'matomaso' na hawa ni mpaka waone ndio waamini na hivyo jukumu letu sisi waona mbali ni kuwasaidia 'matomaso' before...
  7. Pascal Mayalla

    Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa Jumapili ya leo, Tarehe 19 Mwezi Machi, ambapo leo ndio miaka miwili kamili ya Rais Samia madarakani, aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania siku kama ya leo, miaka miwili iliyopita. Kuna msemo wa Kiswahili usemao, "mgema akisifiwa, tembo...
  8. Lady Whistledown

    Kenya: Mahakama Kuu yazuia mapendekezo ya mabadiliko ya Katiba yenye "utata"

    Marekebisho hayo yangekuwa mabadiliko makubwa zaidi kwa mfumo wa kisiasa wa Kenya tangu ilipoanzisha katiba mpya mwaka wa 2010. Mahakama ya juu nchini Kenya imetangaza mabadiliko ya katiba yenye utata yaliyopendekezwa na Rais Uhuru Kenyatta na washirika wake kabla ya uchaguzi Mkuu mwezi Agosti...
  9. chiembe

    Mabadiliko ya katiba yanukia: Mahakama kuanzisha Supreme Court, jengo limeshajengwa Dodoma

    Katika hotuba yake, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ameelezea kwamba ujenzi wa jengo la supreme court unaendelea. Bila shaka muda wowote katiba itafanyiwa marekebisho ili kuijumuisha mahakama hii, ambayo itakuwa mahakama ya juu kabisa, kwa Sasa mahakama ya juu ni mahakama ya rufani(court of appeal)...
  10. F

    Mabadiliko ya Katiba natamani hili lingezingatiwa pia

    Wakati Katiba Mpya inaandikwa kama ningelikuwepo kwenye mazingira hayo, ningependekeza kuwepo na Mihimili minne katika Tz kwa jinsi mambo yanavyoenda tangu baada ya awamu ya kwanza ya uongozi wa nchi, yaani mitifuano ya kisiasa ambayo haina afya kwa ustawi wa taifa. Mhimili wa nne ungekuwa ni...
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Mizengo Pinda: Tuanze mchakato wa kuwa na Tume huru ya Uchaguzi

    "Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa upinzani na tuanze mchakato wa kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi" Mzee Mizengo Pinda Hii inatoka...
  12. Fundi Madirisha

    Mabadiliko ya Katiba ya nchi si takwa la watawala, hulazimishwa na wananchi

    Kuna mtu anaweza kuja na nadharia zake dhaifu kupinga lakini huu ndio ukweli. Hakuna mtawala aliyewahi kukubali kukaa chini na kupendekeza mabaliko ya katiba bila msukumo kutoka kwa wananchi kupitia matukio magumu yatakayomlazimu kukaa kupatanishwa na mahasimu wake. Alipata kuyasoma haya...
  13. Miss Zomboko

    Kenya: Mahakama ya Rufani yaweka zuio la Serikali kufanya mabadiliko ya Katiba

    Mahakama ya rufani nchini Kenya jana imekataa jaribio la serikali la kufanya mabadiliko makubwa ya katiba katika uamuzi ambao ni pigo kwa rais Uhuru Kenyatta aliyeasisi mchakato huo wenye utata. Jopo la Majaji saba limeunga mkono uamuzi wa awali uliotolewa na mahakama kuu ya nchi hiyo uliosema...
Back
Top Bottom