Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,498
113,604
Wanabodi,

Hii ni Nipashe Jumapili ya leo 19 Nov. 2023.

Asante kwa muswada wa sheria, umuhimu wa mabadiliko ya katiba kwanza kabla ya mabadiko ya sher...png

Kama kawa, leo nimepata fursa tena kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa muktaasari wa sura zote 10 za sheria hii, kuwaelimisha elimu ya uraia na elimu ya sheria na haki ili Watanzania tuitumie kikamilifu hii miezi 3 ya kutoa maoni na mapendekezo ya maboresho ya sheria hii.

Muswada huu unatunga Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka, 2023. Kwa ujumla, Sheria hii inaunganisha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292. Hivyo sasa masharti ya uchaguzi wa Rais na Wabunge na Madiwani ni sheria moja na kutekelezwa na mamlaka moja ambayo ni Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Hapa ninapendekeza chaguzi zote nchini, uchaguzi wa Rais na Wabunge, Madiwani na Serikali za Mitaa, ufanyike siku moja na kusimamiwa na Tume moja Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Hili ni jambo jema!.

Muswada huu umegawanyika katika Sura Kumi.
Uchambuzi wangu wa sura kwa sura na maoni yangu.
Sura ya Kwanza ya Muswada[/B] inahusu masharti ya utanguliziyanayo jumuisha jina la Sheria inayopendekezwa, mawanda ya matumizi,utaratibu wa kuanza kutumika pamoja na tafsiri ya misamiati mbalimbalikwa kadri ilivyotumika ndani ya Sheria inayopendekezwa. Kwa mujibuwa masharti ya Sehemu hii, Sheria inayopendekezwa itatumika Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar kwa uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano, na itatumika Tanzania kwa uchaguzi wa Madiwani. Sura hii inajumuisha pia masharti kuhusu ugawaji wa maeneoyaqq uchaguzi na uteuzi wa watendaji mbalimbali wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambao husaidia kufanikisha shughuli mbalimbali za Tume kamavile uandikishaji wa wapiga kura, usimamizi wa uchaguzi na uratibu wataarifa, upatikanaji wa vifaa, rasilimali na masuala mengine muhimu kwaajili ya kuendesha uchaguzi.

Maoni: Miongoni mwa malamiko, wasimamizi wa uchaguzi ni makada wa CCM, Wakurugenzi, ma RAS na ma DAS ndio wasimamizi, hawa walikataliwa na mahakama kwenye kesi ya Bob Chacha Wangwe, wasimamizi bado ni hawa hawa!. Nashauri wawekewe watu neutral juu yao.

Sura ya Pili ya Muswada inaweka masharti kuhusu uandikishaji wawapiga kura. Sura hii imegawanyika katika Sehemu Nne ambapo Sehemu ya Kwanza inaainisha sifa za mtu kuandikishwa au kukosa sifa zakuandikishwa kuwa mpiga kura, sehemu ya kupigia kura na mashartikuhusu Daftari la Awali na Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Miongoni mwa sifa muhimu za kuandikishwa kuwa mpiga kura zilizoainishwa katika Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge Na Madiwani 2023

Sifa kuu ni kuwa raia wa Tanzania na kutimiza umri wa miaka kumi nanane. Sehemu ya Pili inaweka masharti ya uandikishaji ambayo yanajumuisha muda wa uandikishaji, wakala wa uandikishaji, kadi yampiga kura, utaratibu baada ya mtu kubadili makazi, namna ya kupata kadi mpya endapo kadi ya awali imepotea, imefutika au imeharibika na utaratibu wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura ambao unapendekezwa ufanyike mara mbili kati ya uchaguzi mkuu mmoja na uchaguzi mkuu unaofuata. Sehemu ya Tatu ya Sura hii inaainisha masharti kuhusu utaratibu wa kuweka pingamizi dhidi ya mtu kuandikishwa au dhidi ya jina la mtu kuendelea kubaki katika Daftari. Kwa mujibu wa Sehemu hii, pingamizi dhidi ya uandikishwaji litawasilishwa kwa afisa mwandikishaji. Sehemu ya Nne inajumuisha masharti kuhusu rufaa dhidi ya pingamizi la kuongezwa au kufutwa katika daftari ambapo kwa mujibuwa Sehemu hii, rufaa dhidi ya uamuzi wa afisa mwandikishajizitawasilishwa katika Mahakama ya Wilaya.

Maoni: Kwa vile Sifa kuu ni kuwa raia wa Tanzania na kutimiza umri wa miaka 18, bila shurti jingine lolote, hii ndio haki kuu ya msingi ya uchaguzi ni haki ya kuchagua kwa kupiga kura bila sherti lolote, haki ya kuchaguliwa pia iwe bila shurti la kudhaminiwa na chama cha siasa.

Sura ya Tatu ya Muswada inaweka masharti mbalimbali kuhusu uchaguziwa Rais na imegawanyika katika Sehemu Tatu. Sehemu ya Kwanza inajumuisha masharti ya uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais, idadi ya wadhamini wanaopaswa kuwa nao na utaratibuwa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za uteuzi. Sehemu hii pia inaweka utaratibu wa namna ya kuweka pingamizi dhidi ya mgombea wa kiti cha Urais na Makamu wa Rais. Sehemu ya Pili ya Sura hii inaweka mashartimbalimbali yanayohusiana na taratibu za uchaguzi wa Urais ikijumuishasiku ya uchaguzi wa Rais, watu wanaostahili kupiga kura katika uchaguziwa Rais, sifa za mgombea katika uchaguzi wa Rais, majumuisho ya kura katika uchaguzi wa Rais, mazingira yanayoweza kusababisha upigaji kura kurudiwa na masharti ya kutambulika kwa uchaguzi wa Rais kuwa uchaguzi wa Makamu wa Rais. Ili kuepuka kurudia masharti kuhusu taratibu za upigaji kura ambazo hufanana kwa uchaguzi wa mgombea wa kiti cha urais, ubunge na udiwani, Sehemu hii inaweka sharti la matumizi ya Sura ya Sita ambayo inaainisha utaratibu wa upigaji kura.

Sura ya Nne ya Muswada inaweka masharti yanayosimamia uchaguzi wa Wabunge na imegawanyika katika Sehemu mbili. Sehemu ya Kwanza inahusu sifa za wagombea katika uchaguzi wa Ubunge. Sehemu ya Pili inahusu uteuzi wa wagombea Ubunge ambapo inaainisha siku ya uteuzi, uteuzi wa wagombea, utaratibu wa namna ya kuweka dhamana kwa mgombea wa nafasi ya ubunge, masharti ya mgombea kuteuliwa kwajimbo moja tu, pingamizi na uamuzi juu ya uhalali wa fomu ya uteuzi na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023.

Sura hii pia inaainisha utaratibu wa kufuatwa endapo kuna mgombea mmoja tu halali wa nafasi ya ubunge au endapo hakuna mgombea. Kwa mujibu wa Sehemu hii endapo kutakuwa na mgombea mmoja halali wa nafasi ya Ubunge ameteuliwa, mgombea huyo atapaswa kupigiwa kura na atatangazwa kuwa amechaguliwa endapo atapata kura nyingi za ndiyo kati ya kura zote halali zilizopigwa.

Maoni: Hili ni jambo zuri na jema, sasa hakuna tena ushindi wa ubwete wa mtu kupita bila kupingwa!. Hii itaondoa zile figusu za kuzuia watu wasigombee, kuwanunua wapinzani na kuzuia fomu zisirejeshwe na mtu kutangazwa mshindi wa kupita bila kupingwa!. CCM ina wabunge 18 ambao wamepita bila kupingwa!.

Nitaendelea wiki ijayo,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
 
Wanabodi
Hii ni Nipashe Jumapili ya leo 19 Nov. 2023.View attachment 2818458

Sura ya Pili ya Muswada
inaweka masharti kuhusu uandikishaji wawapiga kura. Sura hii imegawanyika katika Sehemu Nne ambapo Sehemu ya Kwanza inaainisha sifa za mtu kuandikishwa au kukosa sifa zakuandikishwa kuwa mpiga kura, sehemu ya kupigia kura na mashartikuhusu Daftari la Awali na Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Miongoni mwa sifa muhimu za kuandikishwa kuwa mpiga kura zilizoainishwa katika Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge Na Madiwani 2023

Sifa kuu ni kuwa raia wa Tanzania na kutimiza umri wa miaka kumi nanane. Sehemu ya Pili inaweka masharti ya uandikishaji ambayo yanajumuisha muda wa uandikishaji, wakala wa uandikishaji, kadi yampiga kura, utaratibu baada ya mtu kubadili makazi, namna ya kupata kadi mpya endapo kadi ya awali imepotea, imefutika au imeharibika na utaratibu wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura ambao unapendekezwa ufanyike mara mbili kati ya uchaguzi mkuu mmoja na uchaguzi mkuu unaofuata. Sehemu ya Tatu ya Sura hii inaainisha masharti kuhusu utaratibu wa kuweka pingamizi dhidi ya mtu kuandikishwa au dhidi ya jina la mtu kuendelea kubaki katika Daftari. Kwa mujibu wa Sehemu hii, pingamizi dhidi ya uandikishwaji litawasilishwa kwa afisa mwandikishaji. Sehemu ya Nne inajumuisha masharti kuhusu rufaa dhidi ya pingamizi la kuongezwa au kufutwa katika daftari ambapo kwa mujibuwa Sehemu hii, rufaa dhidi ya uamuzi wa afisa mwandikishajizitawasilishwa katika Mahakama ya Wilaya.
Maoni: Kwa vile Sifa kuu ni kuwa raia wa Tanzania na kutimiza umri wa miaka 18, bila shurti jingine lolote, hii ndio haki kuu ya msingi ya uchaguzi ni haki ya kuchagua kwa kupiga kura bila sherti lolote, haki ya kuchaguliwa pia iwe bila shurti la kudhaminiwa na chama cha siasa.

Sura ya Tatu ya Muswada
inaweka masharti mbalimbali kuhusu uchaguziwa Rais na imegawanyika katika Sehemu Tatu. Sehemu ya Kwanza inajumuisha masharti ya uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais, idadi ya wadhamini wanaopaswa kuwa nao na utaratibuwa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za uteuzi. Sehemu hii pia inaweka utaratibu wa namna ya kuweka pingamizi dhidi ya mgombea wa kiti cha Urais na Makamu wa Rais. Sehemu ya Pili ya Sura hii inaweka mashartimbalimbali yanayohusiana na taratibu za uchaguzi wa Urais ikijumuishasiku ya uchaguzi wa Rais, watu wanaostahili kupiga kura katika uchaguziwa Rais, sifa za mgombea katika uchaguzi wa Rais, majumuisho ya kura katika uchaguzi wa Rais, mazingira yanayoweza kusababisha upigaji kura kurudiwa na masharti ya kutambulika kwa uchaguzi wa Rais kuwa uchaguzi wa Makamu wa Rais. Ili kuepuka kurudia masharti kuhusu taratibu za upigaji kura ambazo hufanana kwa uchaguzi wa mgombea wa kiti cha urais, ubunge na udiwani, Sehemu hii inaweka sharti la matumizi ya Sura ya Sita ambayo inaainisha utaratibu wa upigaji kura.

Sura ya Nne ya Muswada inaweka masharti yanayosimamia uchaguzi wa Wabunge na imegawanyika katika Sehemu mbili. Sehemu ya Kwanza inahusu sifa za wagombea katika uchaguzi wa Ubunge. Sehemu ya Pili inahusu uteuzi wa wagombea Ubunge ambapo inaainisha siku ya uteuzi, uteuzi wa wagombea, utaratibu wa namna ya kuweka dhamana kwa mgombea wa nafasi ya ubunge, masharti ya mgombea kuteuliwa kwajimbo moja tu, pingamizi na uamuzi juu ya uhalali wa fomu ya uteuzi na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023

Sura hii pia inaainisha utaratibu wa kufuatwa endapo kuna mgombea mmoja tu halali wa nafasi ya ubunge au endapo hakuna mgombea. Kwa mujibu wa Sehemu hii endapo kutakuwa na mgombea mmoja halali wa nafasi ya Ubunge ameteuliwa, mgombea huyo atapaswa kupigiwa kura na atatangazwa kuwa amechaguliwa endapo atapata kura nyingi za ndiyo kati ya kura zote halali zilizopigwa.
Maoni: Hili ni jambo zuri na jema, sasa hakuna tena ushindi wa ubwete wa mtu kupita bila kupingwa!. Hii itaondoa zile figusu za kuzuia watu wasigombee, kuwanunua wapinzani na kuzuia fomu zisirejeshwe na mtu kutangazwa mshindi wa kupita bila kupingwa!. CCM ina wabunge 18 ambao wamepita bila kupingwa!.

Nitaendelea wiki ijayo,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Kama mgombea hakubaliani na matokeo ya Urais anafanyaje??
 
Wanabodi
Hii ni Nipashe Jumapili ya leo 19 Nov. 2023.View attachment 2818458

Kama kawa, leo nimepata fursa tena kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa muktaasari wa sura zote 10 za sheria hii, kuwaelimisha elimu ya uraia na elimu ya sheria na haki ili Watanzania tuitumie kikamilifu hii miezi 3 ya kutoa maoni na mapendekezo ya maboresho ya sheria hii.

Muswada huu unatunga Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka, 2023. Kwa ujumla, Sheria hii inaunganisha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292. Hivyo sasa masharti ya uchaguzi wa Rais na Wabunge na Madiwani ni sheria moja na kutekelezwa na mamlaka moja ambayo ni Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Hapa ninapendekeza chaguzi zote nchini, uchaguzi wa Rais na Wabunge, Madiwani na Serikali za Mitaa, ufanyike siku moja na kusimamiwa na Tume moja Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Hili ni jambo jema!.

Muswada huu umegawanyika katika Sura Kumi.
Uchambuzi wangu wa sura kwa sura na maoni yangu.
Sura ya Kwanza ya Muswada[/B] inahusu masharti ya utanguliziyanayo jumuisha jina la Sheria inayopendekezwa, mawanda ya matumizi,utaratibu wa kuanza kutumika pamoja na tafsiri ya misamiati mbalimbalikwa kadri ilivyotumika ndani ya Sheria inayopendekezwa. Kwa mujibuwa masharti ya Sehemu hii, Sheria inayopendekezwa itatumika Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar kwa uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano, na itatumika Tanzania kwa uchaguzi wa Madiwani. Sura hii inajumuisha pia masharti kuhusu ugawaji wa maeneoyaqq uchaguzi na uteuzi wa watendaji mbalimbali wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambao husaidia kufanikisha shughuli mbalimbali za Tume kamavile uandikishaji wa wapiga kura, usimamizi wa uchaguzi na uratibu wataarifa, upatikanaji wa vifaa, rasilimali na masuala mengine muhimu kwaajili ya kuendesha uchaguzi.
Maoni: Miongoni mwa malamiko, wasimamizi wa uchaguzi ni makada wa CCM, Wakurugenzi, ma RAS na ma DAS ndio wasimamizi, hawa walikataliwa na mahakama kwenye kesi ya Bob Chacha Wangwe, wasimamizi bado ni hawa hawa!. Nashauri wawekewe watu neutral juu yao.

Sura ya Pili ya Muswada inaweka masharti kuhusu uandikishaji wawapiga kura. Sura hii imegawanyika katika Sehemu Nne ambapo Sehemu ya Kwanza inaainisha sifa za mtu kuandikishwa au kukosa sifa zakuandikishwa kuwa mpiga kura, sehemu ya kupigia kura na mashartikuhusu Daftari la Awali na Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Miongoni mwa sifa muhimu za kuandikishwa kuwa mpiga kura zilizoainishwa katika Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge Na Madiwani 2023

Sifa kuu ni kuwa raia wa Tanzania na kutimiza umri wa miaka kumi nanane. Sehemu ya Pili inaweka masharti ya uandikishaji ambayo yanajumuisha muda wa uandikishaji, wakala wa uandikishaji, kadi yampiga kura, utaratibu baada ya mtu kubadili makazi, namna ya kupata kadi mpya endapo kadi ya awali imepotea, imefutika au imeharibika na utaratibu wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura ambao unapendekezwa ufanyike mara mbili kati ya uchaguzi mkuu mmoja na uchaguzi mkuu unaofuata. Sehemu ya Tatu ya Sura hii inaainisha masharti kuhusu utaratibu wa kuweka pingamizi dhidi ya mtu kuandikishwa au dhidi ya jina la mtu kuendelea kubaki katika Daftari. Kwa mujibu wa Sehemu hii, pingamizi dhidi ya uandikishwaji litawasilishwa kwa afisa mwandikishaji. Sehemu ya Nne inajumuisha masharti kuhusu rufaa dhidi ya pingamizi la kuongezwa au kufutwa katika daftari ambapo kwa mujibuwa Sehemu hii, rufaa dhidi ya uamuzi wa afisa mwandikishajizitawasilishwa katika Mahakama ya Wilaya.
Maoni: Kwa vile Sifa kuu ni kuwa raia wa Tanzania na kutimiza umri wa miaka 18, bila shurti jingine lolote, hii ndio haki kuu ya msingi ya uchaguzi ni haki ya kuchagua kwa kupiga kura bila sherti lolote, haki ya kuchaguliwa pia iwe bila shurti la kudhaminiwa na chama cha siasa.

Sura ya Tatu ya Muswada inaweka masharti mbalimbali kuhusu uchaguziwa Rais na imegawanyika katika Sehemu Tatu. Sehemu ya Kwanza inajumuisha masharti ya uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais, idadi ya wadhamini wanaopaswa kuwa nao na utaratibuwa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za uteuzi. Sehemu hii pia inaweka utaratibu wa namna ya kuweka pingamizi dhidi ya mgombea wa kiti cha Urais na Makamu wa Rais. Sehemu ya Pili ya Sura hii inaweka mashartimbalimbali yanayohusiana na taratibu za uchaguzi wa Urais ikijumuishasiku ya uchaguzi wa Rais, watu wanaostahili kupiga kura katika uchaguziwa Rais, sifa za mgombea katika uchaguzi wa Rais, majumuisho ya kura katika uchaguzi wa Rais, mazingira yanayoweza kusababisha upigaji kura kurudiwa na masharti ya kutambulika kwa uchaguzi wa Rais kuwa uchaguzi wa Makamu wa Rais. Ili kuepuka kurudia masharti kuhusu taratibu za upigaji kura ambazo hufanana kwa uchaguzi wa mgombea wa kiti cha urais, ubunge na udiwani, Sehemu hii inaweka sharti la matumizi ya Sura ya Sita ambayo inaainisha utaratibu wa upigaji kura.

Sura ya Nne ya Muswada inaweka masharti yanayosimamia uchaguzi wa Wabunge na imegawanyika katika Sehemu mbili. Sehemu ya Kwanza inahusu sifa za wagombea katika uchaguzi wa Ubunge. Sehemu ya Pili inahusu uteuzi wa wagombea Ubunge ambapo inaainisha siku ya uteuzi, uteuzi wa wagombea, utaratibu wa namna ya kuweka dhamana kwa mgombea wa nafasi ya ubunge, masharti ya mgombea kuteuliwa kwajimbo moja tu, pingamizi na uamuzi juu ya uhalali wa fomu ya uteuzi na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023

Sura hii pia inaainisha utaratibu wa kufuatwa endapo kuna mgombea mmoja tu halali wa nafasi ya ubunge au endapo hakuna mgombea. Kwa mujibu wa Sehemu hii endapo kutakuwa na mgombea mmoja halali wa nafasi ya Ubunge ameteuliwa, mgombea huyo atapaswa kupigiwa kura na atatangazwa kuwa amechaguliwa endapo atapata kura nyingi za ndiyo kati ya kura zote halali zilizopigwa.
Maoni: Hili ni jambo zuri na jema, sasa hakuna tena ushindi wa ubwete wa mtu kupita bila kupingwa!. Hii itaondoa zile figusu za kuzuia watu wasigombee, kuwanunua wapinzani na kuzuia fomu zisirejeshwe na mtu kutangazwa mshindi wa kupita bila kupingwa!. CCM ina wabunge 18 ambao wamepita bila kupingwa!.

Nitaendelea wiki ijayo,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Hakuna Sheria yoyote ktk nchi hii inaweza kuwa nzuri ikiwa Sheria mama (Katiba) iliyopo ni mbaya, hiyo kamwe haiwezekani kutokea.
Kumbuka: "Nyumba imara inaanza na msingi imara, msingi wa nyumba ukiwa mbovu na nyumba yote kwa ujumla lazima itakuwa mbovu".
 
Wanabodi,

Hii ni Nipashe Jumapili ya leo 19 Nov. 2023.

View attachment 2818458

Kama kawa, leo nimepata fursa tena kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa muktaasari wa sura zote 10 za sheria hii, kuwaelimisha elimu ya uraia na elimu ya sheria na haki ili Watanzania tuitumie kikamilifu hii miezi 3 ya kutoa maoni na mapendekezo ya maboresho ya sheria hii.

Muswada huu unatunga Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka, 2023. Kwa ujumla, Sheria hii inaunganisha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292. Hivyo sasa masharti ya uchaguzi wa Rais na Wabunge na Madiwani ni sheria moja na kutekelezwa na mamlaka moja ambayo ni Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Hapa ninapendekeza chaguzi zote nchini, uchaguzi wa Rais na Wabunge, Madiwani na Serikali za Mitaa, ufanyike siku moja na kusimamiwa na Tume moja Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Hili ni jambo jema!.

Muswada huu umegawanyika katika Sura Kumi.
Uchambuzi wangu wa sura kwa sura na maoni yangu.
Sura ya Kwanza ya Muswada[/B] inahusu masharti ya utanguliziyanayo jumuisha jina la Sheria inayopendekezwa, mawanda ya matumizi,utaratibu wa kuanza kutumika pamoja na tafsiri ya misamiati mbalimbalikwa kadri ilivyotumika ndani ya Sheria inayopendekezwa. Kwa mujibuwa masharti ya Sehemu hii, Sheria inayopendekezwa itatumika Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar kwa uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano, na itatumika Tanzania kwa uchaguzi wa Madiwani. Sura hii inajumuisha pia masharti kuhusu ugawaji wa maeneoyaqq uchaguzi na uteuzi wa watendaji mbalimbali wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambao husaidia kufanikisha shughuli mbalimbali za Tume kamavile uandikishaji wa wapiga kura, usimamizi wa uchaguzi na uratibu wataarifa, upatikanaji wa vifaa, rasilimali na masuala mengine muhimu kwaajili ya kuendesha uchaguzi.

Maoni: Miongoni mwa malamiko, wasimamizi wa uchaguzi ni makada wa CCM, Wakurugenzi, ma RAS na ma DAS ndio wasimamizi, hawa walikataliwa na mahakama kwenye kesi ya Bob Chacha Wangwe, wasimamizi bado ni hawa hawa!. Nashauri wawekewe watu neutral juu yao.

Sura ya Pili ya Muswada inaweka masharti kuhusu uandikishaji wawapiga kura. Sura hii imegawanyika katika Sehemu Nne ambapo Sehemu ya Kwanza inaainisha sifa za mtu kuandikishwa au kukosa sifa zakuandikishwa kuwa mpiga kura, sehemu ya kupigia kura na mashartikuhusu Daftari la Awali na Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Miongoni mwa sifa muhimu za kuandikishwa kuwa mpiga kura zilizoainishwa katika Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge Na Madiwani 2023

Sifa kuu ni kuwa raia wa Tanzania na kutimiza umri wa miaka kumi nanane. Sehemu ya Pili inaweka masharti ya uandikishaji ambayo yanajumuisha muda wa uandikishaji, wakala wa uandikishaji, kadi yampiga kura, utaratibu baada ya mtu kubadili makazi, namna ya kupata kadi mpya endapo kadi ya awali imepotea, imefutika au imeharibika na utaratibu wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura ambao unapendekezwa ufanyike mara mbili kati ya uchaguzi mkuu mmoja na uchaguzi mkuu unaofuata. Sehemu ya Tatu ya Sura hii inaainisha masharti kuhusu utaratibu wa kuweka pingamizi dhidi ya mtu kuandikishwa au dhidi ya jina la mtu kuendelea kubaki katika Daftari. Kwa mujibu wa Sehemu hii, pingamizi dhidi ya uandikishwaji litawasilishwa kwa afisa mwandikishaji. Sehemu ya Nne inajumuisha masharti kuhusu rufaa dhidi ya pingamizi la kuongezwa au kufutwa katika daftari ambapo kwa mujibuwa Sehemu hii, rufaa dhidi ya uamuzi wa afisa mwandikishajizitawasilishwa katika Mahakama ya Wilaya.

Maoni: Kwa vile Sifa kuu ni kuwa raia wa Tanzania na kutimiza umri wa miaka 18, bila shurti jingine lolote, hii ndio haki kuu ya msingi ya uchaguzi ni haki ya kuchagua kwa kupiga kura bila sherti lolote, haki ya kuchaguliwa pia iwe bila shurti la kudhaminiwa na chama cha siasa.

Sura ya Tatu ya Muswada inaweka masharti mbalimbali kuhusu uchaguziwa Rais na imegawanyika katika Sehemu Tatu. Sehemu ya Kwanza inajumuisha masharti ya uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais, idadi ya wadhamini wanaopaswa kuwa nao na utaratibuwa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za uteuzi. Sehemu hii pia inaweka utaratibu wa namna ya kuweka pingamizi dhidi ya mgombea wa kiti cha Urais na Makamu wa Rais. Sehemu ya Pili ya Sura hii inaweka mashartimbalimbali yanayohusiana na taratibu za uchaguzi wa Urais ikijumuishasiku ya uchaguzi wa Rais, watu wanaostahili kupiga kura katika uchaguziwa Rais, sifa za mgombea katika uchaguzi wa Rais, majumuisho ya kura katika uchaguzi wa Rais, mazingira yanayoweza kusababisha upigaji kura kurudiwa na masharti ya kutambulika kwa uchaguzi wa Rais kuwa uchaguzi wa Makamu wa Rais. Ili kuepuka kurudia masharti kuhusu taratibu za upigaji kura ambazo hufanana kwa uchaguzi wa mgombea wa kiti cha urais, ubunge na udiwani, Sehemu hii inaweka sharti la matumizi ya Sura ya Sita ambayo inaainisha utaratibu wa upigaji kura.

Sura ya Nne ya Muswada inaweka masharti yanayosimamia uchaguzi wa Wabunge na imegawanyika katika Sehemu mbili. Sehemu ya Kwanza inahusu sifa za wagombea katika uchaguzi wa Ubunge. Sehemu ya Pili inahusu uteuzi wa wagombea Ubunge ambapo inaainisha siku ya uteuzi, uteuzi wa wagombea, utaratibu wa namna ya kuweka dhamana kwa mgombea wa nafasi ya ubunge, masharti ya mgombea kuteuliwa kwajimbo moja tu, pingamizi na uamuzi juu ya uhalali wa fomu ya uteuzi na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023.

Sura hii pia inaainisha utaratibu wa kufuatwa endapo kuna mgombea mmoja tu halali wa nafasi ya ubunge au endapo hakuna mgombea. Kwa mujibu wa Sehemu hii endapo kutakuwa na mgombea mmoja halali wa nafasi ya Ubunge ameteuliwa, mgombea huyo atapaswa kupigiwa kura na atatangazwa kuwa amechaguliwa endapo atapata kura nyingi za ndiyo kati ya kura zote halali zilizopigwa.

Maoni: Hili ni jambo zuri na jema, sasa hakuna tena ushindi wa ubwete wa mtu kupita bila kupingwa!. Hii itaondoa zile figusu za kuzuia watu wasigombee, kuwanunua wapinzani na kuzuia fomu zisirejeshwe na mtu kutangazwa mshindi wa kupita bila kupingwa!. CCM ina wabunge 18 ambao wamepita bila kupingwa!.

Nitaendelea wiki ijayo,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
shukrani san Pascal Mayalla
safi sana aise,
makala mujarabu, maoni amezing
 
Maoni: Hili ni jambo zuri na jema, sasa hakuna tena ushindi wa ubwete wa mtu kupita bila kupingwa!. Hii itaondoa zile figusu za kuzuia watu wasigombee, kuwanunua wapinzani na kuzuia fomu zisirejeshwe na mtu kutangazwa mshindi wa kupita bila kupingwa!. CCM ina wabunge 18 ambao wamepita bila kupingwa!.

Nimependa ulivyomalizia uchambuzi wako. Ni wazi kuwa umekiri Chama chako cha CCM huwa inawachezea rafu Wapinzani wao wenye Ushawishi Mkubwa kwa Wapiga Kura.
 
Tubalishe Sheria mama(Katiba) kwanza ndipo baadaye tuje kufanya mabadiliko ya Sheria zingine, kubadilisha hizi Sheria ndogo bila ya kubadilisha Katiba kwanza ni GHILGA tu za kiutawala ambazo hazina faida yoyote kwa nchi na wananchi wake kwa ujumla.
Watawala wanatuona wajinga sana,wanataka kubadilisha visheriasheria in their favour.Katiba itiliwe mkazo,ibadilishwe,mengine hayo ni porojo tu.Wapinzani nao inaonekana wanagawanywa tu,wanashindwa kuwa na msimamo mmoja,that's why Lissu namkubali sanà,ni consistent,sema baadhi ya wenzake wanazingua.Lissu is a true definition of real leader,tungekua na kadhaa wa kaliba yake,hakika CCM isingekua inaleta uhovyohovyo.
 
Huo muswada mbona wa kawaida sana, ni kama copy and paste. Ngoja tuone Kama watachukua maoni ya wadau.
Mkuu hayo unayoyasema maoni ya Wadau, wameshayandaa wanasubiri muda uwadie wachomeke kisha waseme ni maoni toka kwa Wadau.

Ni Bora Uchaguzi usogezwe mbele hadi pale Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi itakapopatikana.
 
Wanabodi,

Hii ni Nipashe Jumapili ya leo 19 Nov. 2023.

View attachment 2818458

Kama kawa, leo nimepata fursa tena kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa muktaasari wa sura zote 10 za sheria hii, kuwaelimisha elimu ya uraia na elimu ya sheria na haki ili Watanzania tuitumie kikamilifu hii miezi 3 ya kutoa maoni na mapendekezo ya maboresho ya sheria hii.

Muswada huu unatunga Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka, 2023. Kwa ujumla, Sheria hii inaunganisha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292. Hivyo sasa masharti ya uchaguzi wa Rais na Wabunge na Madiwani ni sheria moja na kutekelezwa na mamlaka moja ambayo ni Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Hapa ninapendekeza chaguzi zote nchini, uchaguzi wa Rais na Wabunge, Madiwani na Serikali za Mitaa, ufanyike siku moja na kusimamiwa na Tume moja Huru ya Taifa ya Uchaguzi. Hili ni jambo jema!.

Muswada huu umegawanyika katika Sura Kumi.
Uchambuzi wangu wa sura kwa sura na maoni yangu.
Sura ya Kwanza ya Muswada[/B] inahusu masharti ya utanguliziyanayo jumuisha jina la Sheria inayopendekezwa, mawanda ya matumizi,utaratibu wa kuanza kutumika pamoja na tafsiri ya misamiati mbalimbalikwa kadri ilivyotumika ndani ya Sheria inayopendekezwa. Kwa mujibuwa masharti ya Sehemu hii, Sheria inayopendekezwa itatumika Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar kwa uchaguzi wa Rais na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano, na itatumika Tanzania kwa uchaguzi wa Madiwani. Sura hii inajumuisha pia masharti kuhusu ugawaji wa maeneoyaqq uchaguzi na uteuzi wa watendaji mbalimbali wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambao husaidia kufanikisha shughuli mbalimbali za Tume kamavile uandikishaji wa wapiga kura, usimamizi wa uchaguzi na uratibu wataarifa, upatikanaji wa vifaa, rasilimali na masuala mengine muhimu kwaajili ya kuendesha uchaguzi.

Maoni: Miongoni mwa malamiko, wasimamizi wa uchaguzi ni makada wa CCM, Wakurugenzi, ma RAS na ma DAS ndio wasimamizi, hawa walikataliwa na mahakama kwenye kesi ya Bob Chacha Wangwe, wasimamizi bado ni hawa hawa!. Nashauri wawekewe watu neutral juu yao.

Sura ya Pili ya Muswada inaweka masharti kuhusu uandikishaji wawapiga kura. Sura hii imegawanyika katika Sehemu Nne ambapo Sehemu ya Kwanza inaainisha sifa za mtu kuandikishwa au kukosa sifa zakuandikishwa kuwa mpiga kura, sehemu ya kupigia kura na mashartikuhusu Daftari la Awali na Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Miongoni mwa sifa muhimu za kuandikishwa kuwa mpiga kura zilizoainishwa katika Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge Na Madiwani 2023

Sifa kuu ni kuwa raia wa Tanzania na kutimiza umri wa miaka kumi nanane. Sehemu ya Pili inaweka masharti ya uandikishaji ambayo yanajumuisha muda wa uandikishaji, wakala wa uandikishaji, kadi yampiga kura, utaratibu baada ya mtu kubadili makazi, namna ya kupata kadi mpya endapo kadi ya awali imepotea, imefutika au imeharibika na utaratibu wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura ambao unapendekezwa ufanyike mara mbili kati ya uchaguzi mkuu mmoja na uchaguzi mkuu unaofuata. Sehemu ya Tatu ya Sura hii inaainisha masharti kuhusu utaratibu wa kuweka pingamizi dhidi ya mtu kuandikishwa au dhidi ya jina la mtu kuendelea kubaki katika Daftari. Kwa mujibu wa Sehemu hii, pingamizi dhidi ya uandikishwaji litawasilishwa kwa afisa mwandikishaji. Sehemu ya Nne inajumuisha masharti kuhusu rufaa dhidi ya pingamizi la kuongezwa au kufutwa katika daftari ambapo kwa mujibuwa Sehemu hii, rufaa dhidi ya uamuzi wa afisa mwandikishajizitawasilishwa katika Mahakama ya Wilaya.

Maoni: Kwa vile Sifa kuu ni kuwa raia wa Tanzania na kutimiza umri wa miaka 18, bila shurti jingine lolote, hii ndio haki kuu ya msingi ya uchaguzi ni haki ya kuchagua kwa kupiga kura bila sherti lolote, haki ya kuchaguliwa pia iwe bila shurti la kudhaminiwa na chama cha siasa.

Sura ya Tatu ya Muswada inaweka masharti mbalimbali kuhusu uchaguziwa Rais na imegawanyika katika Sehemu Tatu. Sehemu ya Kwanza inajumuisha masharti ya uteuzi wa wagombea wa kiti cha Rais na Makamu wa Rais, idadi ya wadhamini wanaopaswa kuwa nao na utaratibuwa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za uteuzi. Sehemu hii pia inaweka utaratibu wa namna ya kuweka pingamizi dhidi ya mgombea wa kiti cha Urais na Makamu wa Rais. Sehemu ya Pili ya Sura hii inaweka mashartimbalimbali yanayohusiana na taratibu za uchaguzi wa Urais ikijumuishasiku ya uchaguzi wa Rais, watu wanaostahili kupiga kura katika uchaguziwa Rais, sifa za mgombea katika uchaguzi wa Rais, majumuisho ya kura katika uchaguzi wa Rais, mazingira yanayoweza kusababisha upigaji kura kurudiwa na masharti ya kutambulika kwa uchaguzi wa Rais kuwa uchaguzi wa Makamu wa Rais. Ili kuepuka kurudia masharti kuhusu taratibu za upigaji kura ambazo hufanana kwa uchaguzi wa mgombea wa kiti cha urais, ubunge na udiwani, Sehemu hii inaweka sharti la matumizi ya Sura ya Sita ambayo inaainisha utaratibu wa upigaji kura.

Sura ya Nne ya Muswada inaweka masharti yanayosimamia uchaguzi wa Wabunge na imegawanyika katika Sehemu mbili. Sehemu ya Kwanza inahusu sifa za wagombea katika uchaguzi wa Ubunge. Sehemu ya Pili inahusu uteuzi wa wagombea Ubunge ambapo inaainisha siku ya uteuzi, uteuzi wa wagombea, utaratibu wa namna ya kuweka dhamana kwa mgombea wa nafasi ya ubunge, masharti ya mgombea kuteuliwa kwajimbo moja tu, pingamizi na uamuzi juu ya uhalali wa fomu ya uteuzi na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani 2023.

Sura hii pia inaainisha utaratibu wa kufuatwa endapo kuna mgombea mmoja tu halali wa nafasi ya ubunge au endapo hakuna mgombea. Kwa mujibu wa Sehemu hii endapo kutakuwa na mgombea mmoja halali wa nafasi ya Ubunge ameteuliwa, mgombea huyo atapaswa kupigiwa kura na atatangazwa kuwa amechaguliwa endapo atapata kura nyingi za ndiyo kati ya kura zote halali zilizopigwa.

Maoni: Hili ni jambo zuri na jema, sasa hakuna tena ushindi wa ubwete wa mtu kupita bila kupingwa!. Hii itaondoa zile figusu za kuzuia watu wasigombee, kuwanunua wapinzani na kuzuia fomu zisirejeshwe na mtu kutangazwa mshindi wa kupita bila kupingwa!. CCM ina wabunge 18 ambao wamepita bila kupingwa!.

Nitaendelea wiki ijayo,
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Rubbish, unashukuru nini? Unashukuru haki yako kutoka kwa jangili aliyekupora? Stupid all business so far(alisema Samia)
 
Maoni: Miongoni mwa malamiko, wasimamizi wa uchaguzi ni makada wa CCM, Wakurugenzi, ma RAS na ma DAS ndio wasimamizi, hawa walikataliwa na mahakama kwenye kesi ya Bob Chacha Wangwe, wasimamizi bado ni hawa hawa!. Nashauri wawekewe watu neutral juu yao
Yaani nilikuwa nadhani Dr Samia ana nafsi tofauti kumbe na Yeye Mh Rais Samia ni wale wale tu tusitarajie mabadiliko yoyote ya Kiuchumi, kisiasa na kijamii chini ya uongozi wake.
 
Maoni: Hili ni jambo zuri na jema, sasa hakuna tena ushindi wa ubwete wa mtu kupita bila kupingwa!. Hii itaondoa zile figusu za kuzuia watu wasigombee, kuwanunua wapinzani na kuzuia fomu zisirejeshwe na mtu kutangazwa mshindi wa kupita bila kupingwa!. CCM ina wabunge 18 ambao wamepita bila kupingwa!.

Nimependa ulivyomalizia uchambuzi wako. Ni wazi kuwa umekiri Chama chako cha CCM huwa inawachezea rafu Wapinzani wao wenye Ushawishi Mkubwa kwa Wapiga Kura.
Kila mtu anajua ukweli huu.
 
Back
Top Bottom