mahakama ya rufani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huihui2

    Mahakama ya Rufani Itoe Ratiba ya Kesi Zote Walizonazo

    Kalenda ya Mahakama kwa mwaka 2024 ilianza rasmi tarehe 1/ 02/ 2024 na inatarajiwa itaisha pengine Desemba 15/ 12/ 2024. Mahakama ya Rufani wametoa ratiba ya kesi za Februari 2024 peke yake. Halafu itakapofika mwishoni mwa mwezi Februari watatoa za mwezi Machi. Huku chini kuanzia Mahakama za...
  2. M

    Tuwape maua yenu Mahakama ya Rufani Tanzania

    Anayestahili kupongezwa basi na apongezwe! Ni jambo dogo lakini nasukumwa kuwapongeza wafanyakazi wa mahakama ya RUFANI TANZANIA hasa kitengo Cha kupokea simu. Kutopokea simu au kutojibu barua za wananchi ni jambo la kawaida Kwa taasisi za serikali Tanzania. Ni KERO kubwa inayoongeza ugumu wa...
  3. NIPOSINGO

    Uteuzi na Mabadiliko: Ofisi ya AG, Mahakama na Wizara ya Mambo ya Nje

    Usiku huu, imetolewa taarifa kuwa Rais Samia amefanya teuzi katika nafasi mbalimbali. Rejea kiambatisho hiki:
  4. Roving Journalist

    Rais Samia ateua Majaji 6 wa Mahakama ya Rufani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewateua Majaji wa Mahakama ya Rufaa wafuatao: - Amemteua Jaji Zainab Goronya Muruke kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Kabla ya uteuzi huo, Jaji Muruke alikuwa Jaji Mfawidhi, Kituo Jumuishi cha Mashauri ya Ndoa, Talaka na...
  5. Richard

    Mahakama ya Rufani Nigeria yamruhusu Peter Obi kupinga matokeo ya Uchuguzi

    Mahakama ya Rufani nchini Nigeria imetoa ruhusa kwa mgombea wa chama kiloshindwa cha Labour bwana Peter Obi kupinga matokeo ya uchaguzi ambapo ulimpa ushindi mgombea wa chama cha APC bwana Bola Tinubu. Mapema mwezi huu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Nigeria bwana Mahmood Yakubu...
  6. Lord Diplock MR

    Mahakama ya Rufani: Maamuzi ya Rais kuhusu Wafanyakazi wa Umma ni ya mwisho

    MAHAKAMA YA RUFANI: CMA HAINA MAMLAKA WAFANYAKAZI WA UMMA Mahakama ya Rufani ya Tanzania imesema Tume ya Usuluhishi ya wafanyakazi (Commission for Mediation and Arbitration-CMA) haina mamlaka ya kusikiliza na kutolea maamuzi kesi zinazohusu migogoro ya wafanyakazi wa umma. Kupitia kesi ya...
  7. sajo

    Mvutano Mirathi ya Mengi wapamba moto. Abdiel & Benjamin wapinga kutupwa maombi yao na Mahakama ya Rufani

    Mtoto mkubwa wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini, marehemu Reginald Mengi amefungua maombi Mahakama ya Rufani akitaka ipitie upya uamuzi wake wa kutupilia mbali hoja zao za kutaka mahakama hiyo isisikilize shauri lililofunguliwa na mjane wa tajiri huyo, Jacqueline Ntuyabaliwe anayepinga...
  8. Replica

    Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa

    Mahakama ya Rufani leo October 13, 2021 imetupilia mbali mapingamizi ya mtoto mkubwa wa Reginald Mengi dhidi ya maombi ya mapitio ya kesi kutoka kwa Jacqueline Ntuyabaliwe. Awali Abdiel mengi na Benjamin Mengi walimuwekea pingamizi la awali la kisheria Jacqueline wakiiomba mahakama iyatupilie...
  9. Miss Zomboko

    Kenya: Mahakama ya Rufani yaweka zuio la Serikali kufanya mabadiliko ya Katiba

    Mahakama ya rufani nchini Kenya jana imekataa jaribio la serikali la kufanya mabadiliko makubwa ya katiba katika uamuzi ambao ni pigo kwa rais Uhuru Kenyatta aliyeasisi mchakato huo wenye utata. Jopo la Majaji saba limeunga mkono uamuzi wa awali uliotolewa na mahakama kuu ya nchi hiyo uliosema...
Back
Top Bottom