kulaumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard mtao

    Tusiwe wepesi kulaumu na kujaji

    Hellow wana JF. Leo nimeamua kushusha ki uzi hiki ili tuweze kukumbuka kwamba tunatofautiana katika upeo/maarifa au uelewa wa mambo. Na hii inajidhihirisha katika maelezi na makuzi tunayoyapata kutoka kwa wazazi ama walezi wetu. Katika dunia ya leo watu, tumekuwa wepesi sana kukimbilia kujaji...
  2. Jaji Mfawidhi

    Diaspora Tanzania Waonywa, Wasipojitambua Wataendelea kulaumu!

    Mjomba wangu Emma Maruma, mchagga. Baada ya kuishi Marekani kwa zaidi ya miaka 40,akiishi Houston Texas na kufanya kazi mbalimbali Serikali ya Marekani. Mjomba wangu Emma Maruma, akiwa na umri wa miaka 70, hatimaye alihamia Tanzania mwaka huu, akiishi katika nyumba yake kubwa ya vyumba vitano...
  3. Erythrocyte

    Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza...
  4. hermanthegreat

    Acha kulaumu kuhusu marafiki feki

    Hello wanajf, Siku hizi kumekuwa na ongezeko la chuki Kati ya ndugu na marafiki baada ya mmoja wapo kuona Kama anakosa msaada kwa wengine anaishia kulalama na kuona Kila mtu mbaya. Ukifahamu hakuna mtu aliyezaliwa kwa ajili ya matatizo yako utagundua kuwa hakuna mtu mbaya au mwenye roho mbaya...
  5. Pascal Mayalla

    DP World: Hizi Kelele, Kulalamika, Shutuma, na Lawama ni za Kweli au ni Ujinga Tu? Rais Samia Anastahili Kulaumiwa au Kupongezwa?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Kama kawaida yangu, kila nipotapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zinazozungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa, liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, na hufanywa kwa mtindo wa maswali fikirishi, kisha...
  6. S

    Mlifikiri yataishia kwa Wamasai wa Loliondo tu?

    Walipoondolewa Wamasai kule Loliondo, kuna watu walitetea sana maamuzi yale wakidhani maamuzi kama yale yataishiwa kwa Wamasai tu, hawakujua yale maamuzi yalikuwa yanaweka precedence mbaya kwa siku zijazo. Leo tunavuna tulichopanda halafu tunalialia! Tumelaniwa!
  7. ThisisDenis

    Kwanini tumekua wa kwanza kulaumu juu ya matatizo yetu kuliko kutafuta suluhisho?

    Wengi wetu tumekua wa kwanza kutafuta lawama kuliko kuangalia suluhisho, hii inatufanya kushindwa kuendelea kwa sababu ya kubaki na kinyongo. Tupambane tuachane na lawama zisizo za msingi.
  8. MamaSamia2025

    Baba zetu wakiamua kufunguka na kulaumu kama wanavyofanya mama zetu basi hapatakalika, hapatalika wala hapatalalika

    Mwaka 2002 nikiwa nyumbani kwa mzee wangu fulani niliemtembelea nilipata bahati ya kutazama albamu ya picha zake. Mnakumbuka enzi hizo hakuna social media hata Tv bado sio sana kwahiyo mgeni kupewa albamu kutazama ilikuwa mojawapo ya kiburudisho. Nilivutiwa na picha za familia alizopiga miaka ya...
  9. H

    Mwaka 2023 kuendelea uwe wa madiliko, tutoe ushauri, maoni na maelekezo kuliko kulaumu, kushambulia na kushambuliana

    Salaam great thinkers. Vurugu zimekuwa nyingi mno kwenye jukwaa au majukwaa.Minyukano mawe mkononi kulaumiana we unajua we hujui kitu maneno makali makali we mpumbavu tu hujui kitu mi ndo najua we hujatembea duniani ngumi mkononi mateke. Kifupi ni vurugu tupu majukwaani mwisho wa siku...
  10. MK254

    Iran yalia lia na kulaumu Israel kwa masaibu yanayoikumba

    Maandamano yanaendelea Iran ya kupinga dhuluma za dini ya kiislamu, huku serikali ikiua wananchi, ila wakuu wa nchi wanalaumu Israel kwa yale yanayoendelea... ===================== "Various security services, the fake Israeli regime and some Western politicians have planned a civil war...
  11. Ibrahimeliza

    Kulaumu ndiyo suluhisho ya matatizo yako?

    Kulaumu ndiyo suluhisho ya matatizo yako? Au kifichio cha kutokufanikiwa katika mambo yako? Acha kulaumu ndugu yangu acha lawama, acha kuwalaumu wazazi wako kwakila kitu unachokipitia, kuna mtu humu akipata ugumu au changamoto kidogo tu, baba angenifanyia hivi nisingekuwa na maisha haya au...
  12. Suzy Elias

    Serikali mkililea hili kundi msije kulaumu huko mbeleni

    Kuna kundi linajitangaza eti wao ni WAVAMIA VIWANJA. Kwenye mitandao ya kijamii kundi hili hu comment kwenye baadhi ya mada wakihamasisha wanachama wao waende kuvamia maeneo kadha wa kadha. "...umoja wa wavamizi wa maeneo unawatangazia wanachama wote twende tukavamie mahali fulani kuna eneo...
  13. R

    Tumpe Muda Rais Samia, ni Mapema sana kulaumu au kupiga makofi

    Muda siku zote ni msemaji na ni shahidi mzuri sana ,Mara zote husema ukweli hivyo tusubiri mpaka 2025 ndio tufanye majumuisho. Tunakosoa sana na kupongeza sana lakini ni Mwaka na kidogo tu Mama yuko madarakani. Mama anasafiri kila wakati, nchi tunakopa pesa ,anakusanya Tozo ,anatafuta maeneo...
  14. P

    Inategemea unaiangaliaje namba, usianze tulaumu

    Usianze kulaumu tuuuu, au kusifia tuuu huku ukipinga mawazo ya wenzako, Mambo yalivyo ni kwamba inategemea upo upande gani wa namba, Mfano ikiwa tumeketi huku tunaangaliana basi namba sita 6 itakuwa sita kwangu na tisa kwako, Mwacheni mama apige kazi, punguzeni lawama
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Wazazi acheni kulaumu wake zetu, Sisi hatuna Pesa za kuwapa wala hatujalogwa

    Assalamu alyekum! Sina maneno mengi leo si mnajua ni weekend. Nijikite kwenye mada. Wazazi nataka kuwaambia kuwa mnawaonea wake zetu(ambao mi wakamwana wenu) Kwa kuwatuhumu wametuloga, wametufumbata, wametuweka kiganjani Kama online business kisa tunashindwa kuwahudumia na kuwatumia pesa huko...
  16. Ndenji five

    Watu wengi hasa Watanzania tupo vizuri kwenye kukosoa na kulaumu kuliko kutoa njia za utatuzi

    Hii hupelekea hata viongozi wao washindwe kujua nini wawafanyie hawa binadamu hasa wa Kitanzania kuwaridhisha matokeo yake kila mmoja hufanya anachojua Tokea kuzaliwa kwangu mpaka kufa kwangu sijawahi kuona Rais au mtu yoyote akisifiwa akiwa ndani ya muhula wake zaidi ni vilevile "bora...
Back
Top Bottom