waonywa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaji Mfawidhi

    Diaspora Tanzania Waonywa, Wasipojitambua Wataendelea kulaumu!

    Mjomba wangu Emma Maruma, mchagga. Baada ya kuishi Marekani kwa zaidi ya miaka 40,akiishi Houston Texas na kufanya kazi mbalimbali Serikali ya Marekani. Mjomba wangu Emma Maruma, akiwa na umri wa miaka 70, hatimaye alihamia Tanzania mwaka huu, akiishi katika nyumba yake kubwa ya vyumba vitano...
  2. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi laonya wanaojichukulia Sheria mkononi

    Jeshi la Polisi Nchini limesema hivi karibuni kumejitokeza tabia ya baadhi ya watu kujichukulia sheria mkononi kwa kufanya vitendo vya kihalifu ambavyo havikubaliki, Akitoa taarifa kwa Vyombo vya Habari leo Februari 28, 2024 Msemaji wa Jeshi la Polisi Naibu Kamishna wa Polisi DCP David Misime...
  3. JanguKamaJangu

    Wanaomaliza vifungo waonywa kutojihusisha na uhalifu

    Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, amewaonya wafungwa na mahabusu wote nchini kuacha tabia ya kujihusisha na uhalifu pindi wanapomaliza kutumikia vifungo vyao na kuachiwa huru jambo linalopelekea kurudi gerezani kwa mara nyingine. Ametoa Onyo hilo alipotembelea na...
  4. BARD AI

    Serikali yawaonya Walimu wanaoendelea na adhabu ya viboko shuleni

    Serikali imeendelea kuzuia matumizi ya viboko katika ufundishaji wanafunzi na badala yake walimu wametakiwa kutafuta mbinu mbadala za ufundishaji ili wanafunzi wawaelewe. Akizungumza leo Ijumaa Desemba 16, katika mkutano wa mradi wa kuboresha mafunzo kwa walimu katika vyuo vya ualimu (TESP)...
  5. BARD AI

    Polisi: Madereva wa Serikali wana kiburi sababu ya Namba za Magari yao

    Kamanda Polisi Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema baadhi ya madereva wanavunja sheria za usalama barabarani kwa sababu ya namba za Serikali kama STK, STL, SM, PT na kulindwa na viongozi wanaowaendesha. Amesema baadhi ya madereva hawafuati taaluma zao na wanajiamini kuzidi kiwango huku...
Back
Top Bottom